Search results

  1. Tingitane

    Biashara ya spare za magari makubwa(malori)

    Habari wana jamvi, nina nia ya kufungua biashara ya spare za magari makubwa naomba ushauri kwa yeyote mwenye uzoefu wa mtaji wa kuanzia, location, manunuzi n.k
  2. Tingitane

    Duka la AK’s Fashion - Mtaa wa Zanaki limehamishiwa wapi?

    Habari za humu wana jamii, Kuna duka moja la nguo na vitu vingine vya kıume lilikikuwa mtaa wa ZANAKI mjini Dar es salam limehamishwa/ kufunhwa naomba kujua anaefahamu wamehamia wapi au duka lingine ambalo naweza kupata vitu kama vya AK’s FASHION Shukrani
  3. Tingitane

    Ni sahihi kusoma Economics katika mazingira haya?

    Habari za leo wakuu, Ni imani yangu kuwa mko wazima na mnaendelea na shughuli zenu za kila siku, niende kwenye mada nina kijana wangu wangu amemaliza HGE kidato cha sita na alikuwa anatamani sana kusoma ECONOMICS katika ngazi ya chuo. Ombi langu kwenu ni kupata mawazo yenu kama ni sahihi...
  4. Tingitane

    Msaada wa kisheria kwenye suala la bima

    Habar za humu wakuu, Naomba msaada wa kisheria kuhusu tatizo linalonisumbua.Ni hivi mnamo mwaka 2018 mwezi wa sita nillipata ajali ya gari ikihusisha gari yangu na niliendesha mwenyewe na gari yakampuni moja ya usafirishaji wa abiria jijni Dar es salaam almaarufu kam ...... Traffic alikuja na...
  5. Tingitane

    Tahadhari: Kuna tatizo la 'Heart Failure' kwa wanawake wanaojifungua tuwe makini

    Habari wakuu, Kuna tatizo la heart failure kwa wanawake wanaojifungua nafikiri tatizo hili linasababisha vifo vya kina mama wengi sana lakini sijui kama mimi ndio nilikuwa silijua au wengi pia hatulifahamu na kwanini elimu juu ya tatizo hili haitolewi wakati wa clinic kwa kinamama. Iko hivi...
  6. Tingitane

    Ujenzi wa nyumba yenye ghorofa tano

    Naomba mwenye uzoefu na mambo ya ujenzi, anisaidie gharama za kujenga msingi tu wa jengo la ghorofa tano plot size ni 20 * 20m.
  7. Tingitane

    Hii ni mahususi kwa civil engineers tu!

    Habari za asubuhi. Naomba kufahamishwa gharama za kujenga msingi wa jengo lenye ghorofa kumi kwenye kiwanja cha sqm 400.Naomba ifahamike hapa kwamba kiwanja kitakuwa "full utilized" Naomba engineers tafadhari ushauri wenu wa kitalaam. Kwa kuongezea jengo lenyewe litakuwa mahusus kwa ajili ya...
  8. Tingitane

    Yeye mke wa mtu mi mme wa mtu lakini.......

    Wanajamii naombeni mtizamo wenu kwenye hili: Mim ni kjana nimeoa na nina mtoto 1 na ninafanya kazi serkalin, sasa ofisin kwetu kuna mdada kaolewa kwa sasa ana watoto 2 na huyo mtoto wa pili hapishani sana kiumri na mwanangu. Wakati nafanya mipango ya harusi alikuwa ananitania sana pale ofcn...
  9. Tingitane

    Dawa ya kusafisha tumbo baada ya kujifungua

    Habari za asubuh wana JF naomba msaada kwamba utaratibu wa kusafisha tumbo baada ya kujifungua ukoje na dawa zake ni zip?? Ahsante
  10. Tingitane

    Nijinasue vp hapa??

    Habar za asubuh wanajf mi nina D tano tu kwenye haya matikeo yaliyoteka sura za magazeti i.e 4m4 naomben ushauri wenu nawezaje kuendelea kielimu??
  11. Tingitane

    Expected delivery date (edd)

    Ndio wana JF Naomba kuuliza kuna habari kwamba ili kujua siku anazojifungu mwanamke mjamzito unaweza kuanza kuhesabu siku kwa kutumia ultra sound iliyopigwa ndani ya wiki nane mpaka kumi na mbili.Naomben mawazo yenu na maelezo ya ziada kama yapo.
Back
Top Bottom