Search results

  1. Tingitane

    Biashara ya spare za magari makubwa(malori)

    Habari wana jamvi, nina nia ya kufungua biashara ya spare za magari makubwa naomba ushauri kwa yeyote mwenye uzoefu wa mtaji wa kuanzia, location, manunuzi n.k
  2. Tingitane

    Duka la AK’s Fashion - Mtaa wa Zanaki limehamishiwa wapi?

    Habari za humu wana jamii, Kuna duka moja la nguo na vitu vingine vya kıume lilikikuwa mtaa wa ZANAKI mjini Dar es salam limehamishwa/ kufunhwa naomba kujua anaefahamu wamehamia wapi au duka lingine ambalo naweza kupata vitu kama vya AK’s FASHION Shukrani
  3. Tingitane

    Msaada wa ufafanuzi katika ujenzi wa ghorofa moja

    Kaka umeelezea vizuri sana ahsante kwa moyo wako hakika Mwenye nia ya kweli amejifunza kitu naomba ushauri wako mim nimejenga nikanunua vyoo vile vya kuchimbia Matank ukutani sasa fundi hakunishauri vizuri nikamwaga na zege sehemu niliyoweka matank sasa Kuna tank moja choo chake ni European( cha...
  4. Tingitane

    Msaada wa ufafanuzi katika ujenzi wa ghorofa moja

    Kaka umeelezea vizuri sana ahsante kwa moyo wako hakika Mwenye nia ya kweli amejifunza kitu naomba ushauri wako mim nimejenga nikanunua vyoo vile vya kuchimbia Matank ukutani sasa fundi hakunishauri vizuri nikamwaga na zege sehemu niliyoweka matank sasa Kuna tank moja choo chake ni European( cha...
  5. Tingitane

    Nahitaji vyoo vya kukaa na kuchuchumaa

    vile ambavyo flush tank inachimbiwa ukutani ukienda kwenye hayo maduka niliyokuambia utaviona
  6. Tingitane

    Nahitaji vyoo vya kukaa na kuchuchumaa

    karibu bro na kama ndo unajenga nakushauri weka conceal toilet utaifurahia nyumba yako,
  7. Tingitane

    Nahitaji vyoo vya kukaa na kuchuchumaa

    kuna maduka mengi tu brother nenda spanish tiles pale victoria, line hiyo hiyo kuna duka lina bango kubwa la grohe na duka lingine ni dar ceramica haya yapo kariakoo na njia ya kawe mbele kidogo ya clouds kama upo Dar es salaam .
  8. Tingitane

    Nahitaji vyoo vya kukaa na kuchuchumaa

    Grohe, geberit, castleware, cotto, hizi zote ni brand nzuri ila bei yake kidogo imechangamka
  9. Tingitane

    Wanawake mlioolewa njooni tujadili jambo

    Anachepuka vizuri sana sema yeye ana akili ndio maana hujawahi kujua nukta
  10. Tingitane

    Naomba ushauri, nataka kuanza kuanza biashara ya maji ya kunywa

    Mkuu umeiweka vizuri sana hongera kwa hilo hivi katika kuchimba kisima nawezaje kujua kama nikichimba kisima napata maji ya chumvi kidogo au chumvi nyingi?
  11. Tingitane

    Msaada

    Mtafute afisa mwandamizi hapo hapo voda hilo suala ni kweli voda wana uwezo nalo wakati mwingine maafisa wadogo front desk officers wanakuwa na uelewa mdogo na vitu wanavyofanya.
  12. Tingitane

    Naomba ushauri, nataka kuanza kuanza biashara ya maji ya kunywa

    Hongera sana mdau kwa kupata wazo hili napenda sana mawazo kama ya kwako nakutakia kila la kheri ushauri wangu ni kwamba mambo ya uzalishaji wa chakula yana taratibu zake hivyo basi kuepuka kuingia gharama sizizokuwa za lazima fuatilia utaratibu mzima kabla hujaanza kuimplement then kuhusu...
  13. Tingitane

    Hivi inakuwaje wale wanaomwaga maji?

    Shangazi mkubwa na wew unataka kuloanisha godoroo!!!
  14. Tingitane

    Nini madhara ya kuzuia shahawa (semen retention) wakati wa majambozi?

    Hii unayosema kitaalam inaitwa dry orgasm yaan unapata mshindo bila kuijaculate hii inaweza kukupa pleasure kama unavyoijaculate kawaida lakin ina madhara yake kwani hapo ni kwamba sperm zikitoka zinarudi kupitia njia ya mkojo na baadae unazitoa na mkojo ila hii wanasema inaweza kusabanisha...
  15. Tingitane

    Uzi wa kupeana info za uwekezaji na biashara za uzalishaji na makampuni

    Mkuu uzi wako ni mzuri sana ila huu ni uzi ambao huwezi kupata wachangiaji wengi, mim nakushauri kama unataka kufanya biashara na nchi za SADC AU EAC basi ukiingiza mzigo kutoka kwenye nchi hizo hutalipa ushuru wa bidhaa kwa maaana ya import duty mfano wa hizo nchi ni kenya uganda, rwanda...
  16. Tingitane

    Mambo magumu kwa mwanamke na suala la kufika kileleni

    😂😂😂😂 Ni kweli yataka moyo kidogo kunywa ila unaweza tengeneza ambayo sio nzito pia unaweza weka limao au vinegar kidogo.
  17. Tingitane

    Mambo magumu kwa mwanamke na suala la kufika kileleni

    Zote lakin mbichi ndio nzuri zaidi unakata kata kama tatu unaweka kwenye chupa unafikicha halafu unakunywa juice yake.
  18. Tingitane

    Hivi inakuwaje wale wanaomwaga maji?

    Mim sipo mzuri kwenye hii mada ila natoa uzoefu wangu binafsi, wasemavyo ni kwamba sio kila mwanamke anatoa hayo maji ila kuna ukanda ambao wengi wanatoa maji kama bukoba, rwanda, uganda na kaskazini ( arusha na moshi ) kidogo. Kwa wenzetu wahaya yapo sana ila pia kuna tumbegu flani hivi...
  19. Tingitane

    Pale Kariakoo ukitaka utoboa uuze bidha zipi zenye fast moving items

    Hongera kwa kuweza kutafuta kiasi kama hicho wazo lako ni zuri lakin kama ulivyoshauriwa hapo juu kwanza baishara gani ambayo iko moyoni mwako( japo sio lazima sana ) mpate mtu anaefanya hiyo biashara muombe akushike mkono akiwa na roho ya kukusaidia utatoboa lakin asipokuwa nayo utapoteza...
Back
Top Bottom