Search results

  1. B

    Tujielimishe Kuhusu Katiba Pendekezwa! Tena Kwa Hoja na Si Ushabiki! Nawauliza wa-TZ sasa!

    MASWALI SABA YA KUJIULIZA SISI KAMA WANANCHI HOJA ;Mapendekezo ya Wananchi kupitia Tume ya Jaji Warioba na Mapitio ya Rasimu yapili yaliyofanywa na Bunge Maalumu la Katiba yamekuwa na Uwiano wa 80% -Wananchi na 20% - Bunge. SWALI LA KWANZA;(a) Kwanini maoni na matakwa ya Wanachihayakukubalika...
  2. B

    Maswali Saba juu ya Katiba Pendekezwa

    Napenda kusikia kwenu waungwana wananchi!
  3. B

    Maswali Saba juu ya Katiba Pendekezwa

    MAMBO MUHIMU KUYAFAHAMU KUHUSU KATIBA PENDEKEZWA YA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. MASWALI SABA YA KUJIULIZA SISI KAMA WANANCHI HOJA ; Mapendekezo ya Wananchi kupitia Tume ya Jaji Warioba na Mapitio ya Rasimu ya pili yaliyofanywa na Bunge Maalumu la Katiba yamekuwa na Uwiano wa 80% -...
  4. B

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Ni vizuri sana kurejelea historia! Ili uweze kuona utofauti wa nyakati na mabadiliko! Ukiwa wa kusahau sana, ni shida!:cool2:
  5. B

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Kulikua pia na yale ya kichwa cha ng'ombe kama Kishari Bus Service, Ushirika Karmeli,Nyota Bus service! Hapa Arusha kulikua na Nyuki Bus Service kwenda Babati/Kondoa na Highland Bus Service na Sabena Bus service! Enzi ni Enzi tu!:smile-big:
  6. B

    Namwombea Nape Aishi Maisha Marefu Ili Ashuhudie CHADEMA Itakavyowakomboa Watanzania

    Kwa maoni yangu! Nape anakazi ya kukishauri chama kutambua uwepo wa enzi, alama za nyakati, na hivyo kujenga ustaarabu wa kukubali mbio za kupokezana vijiti katika kutawala nchi! Hakuna kinachoitesa CCM zaidi ya kuandaa mazingira bora ya kupokeza kijiti! Hou ndio ustaarabu unaohitajika kwa...
  7. B

    CCM katika hali mbaya Arusha; kigogo mwingine (Bananga) atimkia CHADEMA

    Nawaomba mtambue kuwa hata siku moja MUNGU hakushuka duniani kuleta mabadiliko! Nyakati zote alitumia watu either positivel or negatively, hivyo JK ni mmoja wapo wa watumika! Mpango wa Mungu juu ya MAUMIVU ya Watanzania unachkua kasi towards 2015! Mkono wake umeingia ndani! Kinachoendelea ni...
Back
Top Bottom