Search results

  1. S

    JKT wachukueni panya road kama rasilimali watu wazalishe

    Wazo zuri sana Mkuu. Sio Panya Road tu hata wale Vijana wanaohitimu vyuo mbali mbali ambao wako Mitaani bila ajira ambao pia ni bomu lililotulia likisubiri kulipuka. Angalia program za wenzetu wazungu ambao upeleka vijana kujitolea kwa kipindi cha miezi 6 mpaka miaka miwili kwajili ya kupata...
  2. S

    Serikali ya CCM Dar imeshindwa kushughulikia tatizo la takataka?

    Tatizo la taka kwa Dar ni changamoto kubwa ambayo ina mtandao wake. Chunguza sana Idara za taka katika manispaa zote tatu wafanyakazi wake hasa wakuu wa idara utapata majibu mazuri. Chunguza pia kampuni na vikundi vilivyopewa tenda ya kukusanya taka napo pia utapata majibu yake. Kuna wataalam...
  3. S

    I am looking for Logistics Officer

    Position Description: Logistics Officer Area: Dar es Salaam Application Deadline: 31/08/2012 at 17:30 Hrs Duties and Responsibilities 1. Typingall general correspondence, reports and other required documents 2. Makingtravel arrangements for...
  4. S

    Tunamuonea Rais Kikwete?

    Ni hapo ninaposhindwa kumuelewa Rais Kikwete na dhamira yake halisi ya kuingia Ikulu. Tulishuhudia mtandao wake ukiundwa tangu mwaka 1995 baada kukosa kuteuliwa pale Dodoma. Kujiandaa karibu miaka 10 kuingia Ikulu sio kipindi cha mchezo na kubeza, Wengi walimpigia kura baada ya kushawishika na...
  5. S

    Sitaki kuamini, Dk Chami, alikuwa Tanzania one, mara mbili?!

    Tatizo letu ni kutokuwa na Viongozi hao wa kisiasa ambao sio wabunifu na hawaji na mapya. Hivyo wanazidiwa ujanja na watendaji kwa kuwategeshea tamaa za mali nao wanaangukia katika mfumo huo ulio corrupt. Angalia Mh. Magufuli kila mara anaonekena kuwa hai kidogo. Ubunifu wa namna ya...
  6. S

    Rais Kikwete na Maendeleo ya Michezo na Sanaa

    Je tumemtumia vizuri Rais Kikwete katika kuinua kiwango cha Maendeleo ya michezo na Sanaa? Rais Kikwete ni rais ambaye kati ya marais wa awamu zote nne amekuwa mwanamichezo na mpenda michezo kwa kiasi fulani kushinda marais wengine. Sababu nitazieleza hapo baadae. Kufuatana na asili yake,tabia...
  7. S

    Mvuto!!!

    Mama Ashirat hii ni kali na ya maana. Hata akikucheat mwafaka sio kumnyima unyumba maana yanazungumzika hayo. Kucheat katika mapenzi kunatokana na namna gani unampa nafasi ya kwenda kucheat!! Nimelipenda somo lako
  8. S

    Usugu wa tatizo la ATM za benki zetu hapa nchini

    Mkuu ni kweli nakuunga mkono maana sasa hivi ili linakuwa tatizo sugu sana. Bank inabidi ziwe makini na siku za mapumziko maana wateja tunateseka sana mpaka kupata karaha. Inatokea mara nyingi na unapopiga simu haupati msaada!!!!
  9. S

    Huu ndo uhuru wa mahakama kwani ni mhimili unaojitegemea katika maamuzi yake...!!!

    Hongera wana sumbawanga, jiandaeni kwa uchaguzi mpya na pia zingatia changamoto zilizosababisha mkanyimwa haki zenu! Tuipongeze mahakama kwa kufanya kazi zake vizuri na pia yawe mafundisho kwa majaji wanaoamua kupindisha haki kwa kuondekeza ubinafsi. Mara zote haki ya mtu hailiwi bali...
  10. S

    natafuta mume

    Nitakufaa san bidada kwani sifa zote ninazo! kama bado haujapata nipe nafasi ya kuanza mawasiliano na wewe!! mungu ndo anayejua na usishangae tukawa wote! Niko kati ya 36-43
  11. S

    Nahitaji mwenza wa maisha

    Naona mie ndo wako maana vigezo vyote ninavyo kinakosekana kimoja ambacho tutaelewana! nitumie mail yako nikupe profile yangu
Back
Top Bottom