Search results

  1. M

    On STAR TV: Ipi misingi ya Amani? Sehemu ya Pili

    Tanzania hakuna amani bali kuna utulivu wa wananchi kutojuwa haki zao... Hakuna amani kama mwananchi hapati dawa hospitali, shuleni hakuna elimu bora na yenye tija, wakulima wa pamba wanadhulumiwa pamba yao, wakulima wa korosho wapunjwa bei ya korosho yao kuliko bei inayouzwa katika super...
  2. M

    On STAR TV: Ipi misingi ya Amani? Sehemu ya Pili

    Naomba bwana Nape atupe maoni yake kuhusu - vurugu na mauaji ya Zanzibar 2001 ambayo watu waliuwawa kule Pemba, Mabomu aliyokuwa anapigwa Mrema miaka ya 2005 ambayo jeshi la polisi walikuwa wanawanyamazisha nguvu ya Mrema na Pia kauli ya IGP Mahita alipowaambia CUF kuwa kama wao Ngangari pilisi...
  3. M

    Rufaa Igunga: Kafumu atofautiana na CCM

    Mnakumbuka Tendwa amesema huu si wakati wa kampeni............ sasa mikutano inayoendelea huko Iginga ni ya nini au ndiyo double standard zenyewe hizo.
  4. M

    SMZ yaifunga mdomo UAMSHO

    Wawaache watu watoe mawazo yao kwani wameshaona muungano wa aina ya sasa hauna tija kwa pande zote mbili
  5. M

    Salam wana jamii

    Baada ya kupitia kwa kina, nimeona bora nijiunge na jumuia yenu. tafdhali nikaribisheni kwa upendo
  6. M

    Swali la uzushi, nani anatakiwa kusema asante?

    Kila mmoja anatakiwa kumshukuru mwenzako, they have enjoyed equally
Back
Top Bottom