Search results

  1. A

    Natafuta ICT Job.

    mbona hy mody hans hayuko active? Amekaa na hizo cv tu? Na hatuanbii chochote!
  2. A

    Live from Brazil: Kikwete Salutes Maximo

    unajua hy jamaa kaenda na m2 ngapi hk brazil? M2 21,yeye na waziri wake,na vidosho vyao,wanaka hotel tofauti na hz m2 zingine,wanakaa 5*htl prezdensho suit ya dola 820 per day,na hao wengine ni usd 500 per day
  3. A

    Nafasi za kazi Precision Air

    he! Judi, unakuwaje tena? Mbona ushua wenyewe siuoni?tena kwa jinsi ulivyo, mi nakushauri uapply,coz unavutia,afu kabila lenu mule wamo kibao! Ila na wasiwasi na huo urefu. Na huko kuogelea.
  4. A

    Best paying company in tanzania

    je mnaweza kuamini kuna mtanzania hapa dar anafanyakazi kampuni moja ya simu ya hapahapa tz,analipwa tsh.6omillion???!!! Nina ushahidi wa kutosha coz nimeona saraly sleep yake,na nikaipiga picha ktk cm yangu. Ila nahofia maisha yangu,kwani ana bastola zaidi ya mbili, na ni halali,moja kati ya...
  5. A

    Best paying company in tanzania

    je mnaweza kuamini kuna mtanzania hapa dar anafanyakazi kampuni moja ya simu ya hapahapa tz,analipwa tsh.6omillion???!!! Nina ushahidi wa kutosha coz nimeona saraly sleep yake,na nikaipiga picha ktk cm yangu. Ila nahofia maisha yangu,kwani ana bastola zaidi ya mbili, na ni halali,moja kati ya...
  6. A

    What's your best love song?

    adante adante- uliopgwa na bonny m, Na love to love you beby-uliopigwa na .donna summer, yote hiyo kwa sasa ni gold, coz ni ya 80's.
  7. A

    Computer Engineer, looking for a job!

    eng.ni zaid ya technician.mi kdg nimegusagusa huko, nawajua vzr hao watu, twende tukajaribu barric african mine kule buzwagi
  8. A

    Nafasi za kazi Precision Air

    scrabing saloon zipo tele hata huku kwetu mza, sauna ndo ucseme ! Hebu 2jaribuni jamani ili ukikosa, watu waseme ndio, likini alijitahidi kuliko kwenda kukaa kwenye majlisi za mrungi!!
  9. A

    Nafasi za kazi Precision Air

    jamani mi naenda jaribu, ya mungu mengi,nimefanya kazi ya kuhudumia wateja sana pale salma cone, kibaya mi ni mfupi na mnene cjui nitawavutia?! Kuhusu u-good looking, nahakikisha naenda
Back
Top Bottom