Search results

  1. L

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    lowassa
  2. L

    Mabadiliko yatamfikia Nape Nnauye

    Salaam! ni ukweli usio pindika, kua kila mwanadamu anapitia mabadiliko na mabadiliko huwa hayana hodi, unaweza ukayapinga leo, kesho ukayakubali naamin katibuvwa itikadi atayafuta mabadiliko na alishaanza kuyatafuta tangu zamani bila kujua, siku akiona watu wote wameyapata atakuja ungana na...
  3. L

    Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    mtataga mwaka huu, subir tu utapata majibu
  4. L

    Vyombo vya Habari na Habari ya Prof. Lipumba kujiuzulu Uenyekiti CUF

    mtizamo wangu100%:tbc sasa wamekua wazuri jwana wanaonesha harakati za ukawa, ccm kuliko kipindi chochote. big up, kuna improvement
  5. L

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM na waandishi wa habari Peacock Hotel

    kweli tulipokua wadogo tuliambiwa kua uyaone, na kweli sasa tunayaona. bigup ukawa
  6. L

    Elections 2015 Mgombea Urais CCM 2015: Ni Bernard Membe au January Makamba

    nataman raisi angekua January tungepiga hatua kimaendeleo
  7. L

    Wabunge wa CCM msikubali kufanywa watoto wadogo!!

    tabu tupu.wamejaza mawazo yenye kutu,ila kinacho wasumbua ni serekali tatu.ila watashindwa because they are primitive and they are not willing to change.People now need a changes:flypig:
  8. L

    Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

    soma maelezo kamili kwa kubofya hapa chini http://ziro99.blogspot.com/2012/08/ccm-yapoteza-kiti-cha-ubunge-igunga.html
  9. L

    Nape alinunua kadi za CHADEMA

    aaaa! mabasi yote haya, mimi sisemi kitu maana ccm inajipendekeza kwa watu ili waonekane wana huruma sana kumbe ni mafisadi utaona tu wafidia kwenye bajeti
  10. L

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    tulikua tunajiandaa kurudisha Kadi za cdm huku Arusha lakini zoezi tumelisimamisha hadi kufa kwa ccm.Tunaomba radhi kwa kukurupuka.
  11. L

    Uchaguzi Mdogo Arusha Mjini, Hypothetical Case: Jk vs Matonya

    siwezi kumchagua matonya
  12. L

    Penda usipende CCM inachukua jimbo la Arusha kwenye uchaguzi mdogo

    sio njaa, wala sina njaa ya kuchukua buku yako.Bali tunataka kujenga nchi sio kuzunguka nchi nzima na kuchangisha hela kama kanisani. Turudi na wale walio onyesha dhamira ya kupokelewa na Nape wasikate tamaaa.Turudi Tujenge chama na kuwatetea wanyonge.Dhamira ya kweli haikwamishwi na propoganda...
  13. L

    Penda usipende CCM inachukua jimbo la Arusha kwenye uchaguzi mdogo

    Mimi nipo Arusha na ni mwanachama wa CHADEMA lakini nimeshapata ushawishi wa vijana 10000 mpaka sasa hivi wenye kadi za CHADEMA. Kwa hiyo namsubiri Nape afike A - TOWN kuvisha watu uzalendo.Na muelewe kwamba nguvu ya uma ipo CCM.
  14. L

    Penda usipende CCM inachukua jimbo la Arusha kwenye uchaguzi mdogo

    Sasa hivi sisi vijana wa Arusha tunategemea kujiondoa CHADEMA na kuhamia CCM, kwa sababu CCM imeanza kumkumbuka kijana wa kitanzania na inaonyesha njia ya kutatua matatizo ya rushwa, ufisadi, makundi mbalimbali. Kama unachukia wewe chukia tu, habari ndiyo hiyo. :first:
  15. L

    LIVE ON Star TV: Kwanini Uwajibikaji kwa Viongozi si suala hiyari?

    huyu jamaa wa ADC katiba yake hairuhusu kuwajibisha viongozi wa chama sijui anafuta nini kujadili hoja hii.
  16. L

    Updates kutoka Sahara - Mwanza mkutano wa CHADEMA

    peoplesssss kamua mikutano mingi hata usiku kucha. NANUKUU MSEMO WA LEMA,HAKUNA DHAMBI KUBWA DUNIANI KAMA UWOGA, NA HATA SIKU MOJA HAKUNA UWONGO ULISHAWAHI KUSHINDA UKWELI. kwa hiyo acha CDM wafanye mikutano usiku na mchana at ikiwezekana tufanye maandamano usiku na night
  17. L

    Kweli CHADEMA wanapendwa hivi au Macho yangu!?

    hapo sawasawa, hapa Arusha kwetu ni kawaida sana,nimefurahishwa sana arifu na kama m4c inaendelea kusambaa naamini mpaka mwezi wa sita kila mmoja isipokuwa wale mafisadi watakuja kwa the peoplesssssssssssssssssss! powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Back
Top Bottom