Search results

  1. M

    Kumbe hii kitu tamu namna hii dah!!

    Pweza bwana !!!!!! wanasema hana mfupa huyo, waweza kumla hata gizani, ni wewe tu na uwezo wako wa kula na vionjo uvipendavyo
  2. M

    Ningalikuwa Kikwete, ningaliwateua mawaziri wengi kutoka Zanzibar

    usilolijua kweli usiku wa giza, Inawezekana ikawa tafsiri ya ufisadi ya huku bara ni tafauti na ile ya Zanzibar, ila kimsingi si kubaliani na hoja hiyo
  3. M

    Wajumbe tume ya katiba hawajapata barua zao hadi sasa, wengi hawajajiuzulu kazi zao

    Nakumbuka waliiambiwa kuwa wataanza kazi mwezi huu , na ndio kwanza watu wanatoka kwenye Mei Mosi, wengine wapo kwenye matayarisho ya budget. Hivi lakini kwanini waache kazi , hapo mbona sijafahamu, kwani hii si ni kazi ya muda tu. nahisi wangeeomba likizo tu kwa manufaa ya TAIFA
  4. M

    mapendekezo ya katiba mpya

    Ni vizuri tumeanza kupokea maoni, Nashauri na wengine wetu pia tutoe maoni yetu kwa mujibu tunavyotaka KATIBA yetu iwe. Bila ya shaka Mabadiliko ya KATIBA yetu ni lazima yatokana na mawazo yetu wenyewe, Ni vyema kama hatutosubiri mpaka Serikali ama tume watuletee mapendekezo
Back
Top Bottom