Search results

  1. Tukundane

    Rais tumemsikia waziri mkuu naye tumemsikia

    Rais tumemsikia na utendaji wake nao tumeuona,waziri mkuu aliye teuliwa juzijuzi naye tumemsikia na utendaji wake tumeuona. Vipi huyu mgombea mwenza wa rais ambaye ni makamu wa rais,yuko wapi?mbona tangu amechaguliwa pamoja na rais hajasikika na yuko kimya tu,wakati hata waziri mkuu ambaye...
  2. Tukundane

    Nilikuwa CHADEMA (UKAWA)

    Nilikuwa CHADEMA (UKAWA) chini ya utawala wa serekali ya CCM na nitaendelea kuwa CHADEMA (UKAWA) katika utawala mpya wa serekali ya CCM,pamoja na kwamba CHADEMA (UKAWA) tumeshindwa katika uchaguzi uliopita iwe kwa halali ama kwa goli la mkono lakini ukweli bado uko palepale kuwa UKAWA...
  3. Tukundane

    Watanzania tumempa kazi Lowassa

    Watanzania tumempa kazi Lowassa ya kuichapa CCM,hakuna mtu mwingine anayeweza akawachapa CCM zaidi ya Lowassa kwa kuwa amekaa nao muda mrefu,amefanya kazi katika serekali ya CCM kwa kipindi kirefu,ujanja wao wote na hila zao zote mpaka rangi za nguo zao za ndani ana zifahamu. Pamoja na...
  4. Tukundane

    Magufuli ana hitaji kura za CCM kura UKAWA na wasio na chama hazihitaji.

    Wanachama wote wanaotokana na vyama vinavyounda UKAWA na wananchi wote wasiokuwa na chama chochote hawatakiwi kumpa kura mgombea wa CCM mh Magufuli. Kwa kuwa kura za wapinzani na za wananchi wasiokuwa na chama chochote,Magufuli hazihitaji pamoja nakwamba Magufuli anapopita kwenye kampeni zake...
  5. Tukundane

    Mgombea wa CCM awapiga mkwara wapiga kura warudishe mali zake kabla kifo hakijafika

    Mgombea Ubunge aliyeshindwa katika kura za maoni kupitia chama cha mapinduzi ambaye jina lake halijatajwa katika jimbo mojawapo la wilaya ya Chunya mkoani Mbeya. Akiwa amepandwa na hasira kutokana na kushindwa kwenye kura za maoni amewapiga mkwara wapiga kura wa jimbo hilo kwa kuwataka...
  6. Tukundane

    Kilichompata Mtela Mwampamba

    Nimepata taarifa kutoka kwa rafiki yangu wa karibu aishiye wilayani mbozi kuwa Mtela mwampamba amepata aibu kubwa mbele ya wana CCM wenzake baada ya kuambulia kura 18 katika mchujo wa kura za maoni kupitia chama cha mapinduzi katika jimbo la Mbozi,aliyeibuka kidedea katika mchujo huo ni Godfrey...
  7. Tukundane

    Baada ya wagombea wa urais kushindwa kupitishwa na vyama vyao nini kitafuata?.

    Katika kipindi hiki ambacho tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu,baadhi ya watangaza nia wameweka wazi kabisa kuwa hawatagombea ubunge tena kwenye majimbo yao kwa kuwa wanakwenda kugombea ngazi ya juu ambayo ni ngazi ya urais. Kwa wale watangaza nia ambao ni wabunge katika majimbo yao ambao hawaja...
  8. Tukundane

    Upepo siyo mzuri kwa wanasiasa.

    Mwishoni mwa mwaka 2014 karibu na uchaguzi Wa serekali za mitaa na mwanzoni mwa mwaka 2015 mwaka ambao watanzania wanategemea kufanyika uchaguzi mkuu,kumetokea matukio yasiyo ya kawaida ya kuvamiwa kwa vituo vya polisi sambamba na mauaji ya askari polisi. Wakati wa uvamizi huo majambazi...
  9. Tukundane

    CCM wakisimamisha jiwe wakaliandika CCM watashinda tu

    Enzi za CCM kuamini kuwa hata wakisimamisha jiwe wakaliandika CCM kushindana na wapinzani wao lazima CCM watashinda zimeanza kuyeyuka baada ya chama cha CHADEMA kuanza kushika nafasi hiyo. Ilikuwa ni vigumu kushinda kwenye kura za maoni za chama cha mapinduzi kuliko kuwashinda wapinzani...
  10. Tukundane

    Viongozi wa mapingamizi wana wakati mugumu baadhi ya maeneo

    Baadhi ya viongozi wa chama tawala walio kuwa na furaha ya kupata ushindi wa bwerere katika uchaguzi wa serekali za mitaa baada ya wapinzani wao kuenguliwa kwa mizengwe ya chama tawala,furaha yao imeanza kutumbukia nyongo. Kwa baadhi ya maeneo ambayo wananchi wamelazimishwa kuongozwa na...
  11. Tukundane

    Huu ni mtihani kwa chadema.

    Katika uchaguzi wa serekali za mitaa uliofanyika hivi karibuni,CHADEMA wamepata ushindi mnono,baadhi ya miji ambayo ni halmashauri ya miji.Kwa maana hiyo CHADEMA ndio watakao kuwa wanaratibu mapato yote yanayo kusanywa katika halmashauri hizo.Ikiwa ni pamoja na kubuni vyanzo vya mapato kusimamia...
  12. Tukundane

    Mgombea wa CHADEMA aenguliwa,mgombea wa CCM aenguliwa na kurudishwa

    Habari nilizo zipata kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika kutoka ndani ya CCM na CHADEMA wilaya ya Momba mkoa wa Mbeya. Mgombea wa nafasi ya kijiji cha kamsamba wilayani Momba kupitia chama cha CHADEMA anayejulikana kwa jina la Kamwili Nzala ameondolewa baada ya kugunduliwa kuwa hajui kusoma na...
  13. Tukundane

    Wananchi wagoma kuhudhuria mkutano wa diwani wa CCM.

    Mh diwani Hezrone Sapali ambae ni diwani wa kata ya kamsamba kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi wilaya Momba mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na viongozi wa kata wa chama hicho juzi walilazimika kusomba viti ambavyo vilikuwa vimeandaliwa kwa ajijli ya mkutano na kuvirudisha kwenye ofisi ya...
  14. Tukundane

    Endapo ikatokea muungano ukavunjika nini hatima ya chama cha CCM na CUF?.

    Kwa wanajf ninaomba kujuzwa hatima ya chama cha CCM na CUF endapo itatokea muungano ukavunjika.Kama wengi wao tunavyo faham Tanzania ni muungano wa nchi 2 kati ya nchi iliyo kuwepo hapo zamani ya Tanganyika na nchi ya Zanzibar ambayo ipo mpaka sasa.Katika hili hakuna shaka kuwa ikiwa muungano...
  15. Tukundane

    Kisukari kimenitenda, sasa uume wangu ndembendembe

    Mwaka 1995 nikiwa mkoani Kagera tumbo lilianza kujaa gesi na kunguruma sana likiambatana na kuharisha. Niliweza kutumia dawa mbalimbali za hosptali ambazo sizikumbuki kwa vile ni muda murefu umepita.Dawa hizo zilinisaidia sana mpaka nikasahau kama nilikuwa na tatizo hilo.Wakati huo wote sikuweza...
  16. Tukundane

    Tunaomba mrejesho wa kikao cha Tunduma

    Wadau mlioko Tunduma tunaomba mrejesho wa kikao kilichoongozwa na mkuu wa mkoa wa Mbeya kuhusu maafikiano ya kuchinja.
  17. Tukundane

    Chama cha mapinduzi kinatuhusu vipi watanganyika wakati hakina sura ya Tanganyika?.

    Kwa anae elewa kuhusu chama cha mapinduzi (ccm).naomba anijuze kwa mtizamo wangu naona hicho chama hakituhusu watanganyika ni chama cha wazanzibar.kwa sababu wao ndio waliyo fanya mapinduzi na wanaserikali ya mapinduzi mpaka leo.kama chama chenyewe kinavyo itwa kuwa ni chama cha mapinduzi.sasa...
  18. Tukundane

    Chadema watowa kichapo cha mbwa mwizi kwa wanaccm.ccm nan wamtowa nundu mwanatakukuru

    Wanachama wa chadema waliwashambulia wanachama wa ccm kwa marungu na kuwajeruhi kwa kuwakata kwapanga usiku wa tarehe 28 kuamkia tarehe29.baada ya kuwafuma wakiwa wanazunguka kila nyumba ya mpiga kura majira ya usiku na kumuhonga kila mpiga kura kiasi cha tsh10000/=.chadema waliamuwa kufanya...
  19. Tukundane

    Naona kama maono kumbe ndivyo ilivyo.

    Nimewakuta wanaccm walioko kwenye uchaguzi wa ndani ya chama kwenye mughahawa mmoja wapo wilayani mbozi.wakilalamika kuwa wakati wanaelekea kwenye chaguzi. wameshuka kwenye kijiji fulani ili wajipatie chakula. wauzaji walipo waona wamevaa kijani waliwaambia kuwa mungekuwa cdm tungewauzia chakula...
  20. Tukundane

    Kumbe ukiwa mwanachama wa CCM ni kosa?

    Katika pitapita zangu katika vijiji vya mkoa wa mbeya wilaya ya momba.nimekutana na mzee mmoja akiwa amekamatwa na vyombo vya dola huku akiwa amezingilwa na kundi la vijana kwa kuwatishia kuwaua vijana hawo kwa njia za kishirikina.katika tukio hilo alijikezo kijana mmoja anaekadiliwa kuwa na...
Back
Top Bottom