Search results

  1. Justin Dimee

    Hivi watu wanapataje mimba bila kujipanga?

    ebana eeh comment nzuri sana hii.
  2. Justin Dimee

    Baada ya kazi...... burudiko

    kuna watu wana hela za mchezo jamani? ivi mtu hakujui humjui imetokea bahati mbaya kuonana tu kwa siku moja. na gari anakupa kama zawadi we mdada una bahati isiyo ya kawaida kama ni kweli? na hali hi ya utawala wa kibabe kumbe bado kuna wenye jeuri ya pesa.
  3. Justin Dimee

    Uchawi na muujiza ni mapacha

    hi ndio faida ya jf hujuti wala kupoteza muda ukiwa jf hupotezi muda badili unapata marifa makubwa ya kujitambua na kujiongoza. nafuraha sana na jf yangu hii kwani imekuwa ikinifunza mambo mengi sana. ubarikiwe mtoa mada tunaku subiri utufunulie mambo zaidi.
  4. Justin Dimee

    Ukweli wa maisha tunayoyapitia vijana (true story ya maisha yangu)

    mtoto mdogo sana we bwana mdogo acha tamaa yake20% sikiliza ule wimbo 18 unakimbilia papuchi sijui nini we tulia soma dogo. wanawake wapo kila siku na wanazidi kuzaliwa wazuri zaidi .18 hii miaka yako na kuanza kujiumiza na mapenzi ivi.unajitesa bure..
  5. Justin Dimee

    Inakuwaje mtu anaamini mambo ya nguvu za giza kiasi hiki?

    asante sana haya ndio majibu ya kishuja ngoja ni sindikizie na tu uglasiii wa maji hapa.
  6. Justin Dimee

    Dunia imefikia mwisho wake!!

    bora tu idondoke makufuli ana tuzingua tu.. tukifa wote si mnajua kama kawaida kuna maisha mapya haya tunayo ishi nikama ndoto tupo tumelala tukija kuamka ndio kufa kwenyewe na kuishi maisha mengine.?
  7. Justin Dimee

    Teknolojia hizi zimetushinda?

    hapo ndipo napo shanga kumuona mtuu kasoma na viuo mpaka india ila akili yake ipo pale pale utombo mtupu haina haja ya kusoma kama na walio soma wanashindwa kuwa muhimu katika jamii zetu. bure kabisa elimu tuzipewzo.
  8. Justin Dimee

    Ruvuma: Wananchi wamuua mamba na kutoa mwili wa mtoto aliyemla

    kijana aliye mtawanya huyo mamba hapo pichani ana ujasiri sana. mwanaume wa dar hapo hati maguu...
  9. Justin Dimee

    MGANGA KUTOKA UFIPA ANAYETOA TIBA MBALIMBALI IKIWEMO YA KUZUIA SIMU KUFUNGIWA NA TCRA

    kumbe ukawa imepanda bei tena kutoka 1500 mpaka 1800 kuna nini tena hapo mganga wangu fanya fanya na umo basi....?
  10. Justin Dimee

    Sababu za Battery za Simu kwa sasa kuwa Unremovable

    biashara tu hapo hakuna kingine
  11. Justin Dimee

    Gigy Money: Nimeshatembea na Kiba, Mavoko na Hemed PhD, walinitongoza instagram

    sio mzima kichwani huyu ana akili kama za yule mvaa nepi za watoto . lak5 si mshara wa mtu mwezi mzima huo yeye anapewa kila siku.... apeleke mitako yake huko.!?
  12. Justin Dimee

    Viwango vya gharama daraja la Kigamboni ni uhalifu dhidi ya ubinadamu

    TANZANIA hi nchi yetu ina mambo ya ajabu sana jamani?
  13. Justin Dimee

    Huu ndio utapeli wa Kupatana.com

    we ni wakala wao nini?
  14. Justin Dimee

    Jules Gabriel Verne: In The Year 2889

    maono ya mbali sana haya.
  15. Justin Dimee

    Jifunze kufanya meditation

    hamna kitu cha bure mjini hapa. Tahajudi ni kitu kizuri sana mi nimejaribu kufanya na tofauti na anza kuona.
  16. Justin Dimee

    Tundaman, Chegge na Ferouz sio wasanii kabisa

    mtoa mada pengine kazoea kukariri . raha ya mziki ni utamani ku sikiliza tena we lile beat la dar mpaka moro chege kaweka mambo mule wee. pita ivi mziki hu ujui vizur wewe
Back
Top Bottom