Search results

  1. blackberry m

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Chuki hupofusha. Huo msemo umebeba maana kubwa sana kwani kupitia comment za ndugu zetu hawa wanaojiita wakooaji wasiopenda uongo, unaona kabisa namna gani na kwa kiwango kipi wamejawa na chuki isiyo kipimo. Kama unaona ni uongo, basi pita hivi na usisome kwani haikupendezi kudanganywa ila...
  2. blackberry m

    Wafugaji Wilaya ya Mvomero wahamishia Minada yote Wilaya ya Kilosa

    WAFUGAJI wa wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro wameamua kuhamishia minada ya mifugo katika wilaya zilizo karibu na wilaya hiyo kutokana na sintofahamu iliyoibuka hivi karibuni. Wakizungumza kwa nyakati tofauti tofauti, wafugaji hao walieleza kuwa wamekuwa wakinyanyaswa na Mkuu wa Wilaya ambaye...
  3. blackberry m

    Bobi Wine kwa Wakenya: Defend your Constitution before it's too week to defend you

    Maumivu ya kichwa huanza pole pole. Ndivyo ndugu zetu Wa UDA wanavyoanza ila wamesahau kuwa wameanza mapema zaidi kuliko ilivyokuwa hapa jamhuri ya danganyika. Wao wameanza kuonesha makucha mapema sana ila yote kwa yote watafeli tu.
  4. blackberry m

    Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

    Hiyo siyo mkuu. Ajali ya moto wa mafuta ilitokea pale ndaga karibu na kona
  5. blackberry m

    Je! Nikimpenda huyu bi mkubwa jamii ikijua itanichukuliaje?

    Kwani mkuu unaipenda jamii au huyo bi mkubwa? Fanya mambo yako kwa kufuata kitu moyo unapenda. Umri na jamii ni vitu visivyo na umuhimu katika mapenzi.
  6. blackberry m

    Ushauri: Ni sehemu gani nzuri ya kuishi kati ya Tukuyu ama Kyela?

    Kwa kukushauri tu, ni vema ukachagua kuishi Tukuyu ila katika kijiji cha Kiwira kwani hapo ndiko yaliko hayo maisha uyatakayo. Nimeishi sehemu zote unazozitaja ila pazuri zaidi ni hapo nilipokwambia. Kyela kuna joto kali na maisha ni ghali kama Dar tu.
  7. blackberry m

    Ulishawahi kukutana na hii kwenye mapenzi?

    Utaanzaje kuuchoka utamu? Hiyo kitu kuna siri kubwa ilifichwa ndani yake.
  8. blackberry m

    Nyumba 10 ambazo design zake ni gumzo la dunia

    Kuna wahandisi wabobezi sana
  9. blackberry m

    Usifosi tufanane

    Ujumbe mujarabu kabisa. Kwa lugha nyingine tunasema usikihukumu kitabu kwa mwonekano wake (jarada lake).
  10. blackberry m

    Ushauri: Baba mzazi

    Sidhani kama iko haja ya wewe kuwa na msukumo mkubwa namna hiyo wa kumtafuta huyo baba yako mzazi. Unachotakiwa kufanya, ni kutuliza akili na kuacha mwaka mmoja upite ndipo uanze mchakato wako. Ukianza mapema namna hiyo, huyo mlezi wako atapunguza upendo na kusitisha mipango aliyonayo kwako...
  11. blackberry m

    Chombezo: Kivuruge Wa Tandale

    Tag ni muhimu maana simulizi hatari hii
  12. blackberry m

    Chombezo: Kivuruge Wa Tandale

    Aiseèeee. Nimejikuta nasoma yote. Hatareee
  13. blackberry m

    Ushauri: Niombe fedha kwa mchepuko au niache?

    Itisha mgegedo wa dharula kisha baada ya shughuli, weka wazi kuwa dogo anatakiwa aende shule ila umekosa doo. Mpe hakikisho kwamba umekwama ila utamrudishia ukizinyaka
  14. blackberry m

    Orodha ya magazeti ya kufungia nyama Tanzania (The meat wrapping news papers)

    Chuki ikimea rohoni mwali, hakika unakuwa kipofu. Jambo Leo lina miaka miwili tangu liache kuzalishwa.
  15. blackberry m

    Tuliowahi kutafuna ada katika pitapita zetu za elimu tukutane hapa

    Hiyo kitu nimeila sana ila haikuwahi kunitesa. Pia Mishe za kushirikiana na mhasibu kupiga cha juu, nimezipiga sana. Nilikuwa namkopesha hela ya Ada ili anirudishie na riba. Nyakati zingine nikiwa sina Ada, najiandikia risiti ofisini kwako.
  16. blackberry m

    Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo...

    Nimefanya sana huo mchezo na mara kwa mara wavulana wote ilikuwa ni bakora tu
  17. blackberry m

    Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo...

    Huo ndio msingi wa adabu kwa vizazi vilivyopita. Si wa sasa ambao mtoto anaambiwa 'No Junior, this is bad'. Zamani utapata wapi nafasi ya kuambiwa hivyo? Hapo ni mwendo wa kelbu, konzi na bakora. Halafu ukilia sana unaambiwa una nyodo ndiyo maana unalia muda mrefu.
Back
Top Bottom