Search results

  1. Judi wa Kishua

    Usafi, mapambo na mpangilio wa nyumba: Special thread

    Huu ni uzi maalum wa kupeana ideas, uzoefu na elimu ya kupamba nyumba, namna ya kusafisha ndani na nje ya nyumba, pamoja na mpangilio wa vitu katika nyumba zetu.
  2. Judi wa Kishua

    Ninapata maumivu makali sana ya tumbo nikila nanasi

    Hello, Naomba mnisaidie kufahamu shida itakuwa nini. Mimi ni mpenzi sana wa tunda la nanasi ila kila nnapojaribu kula napata maumivu makali ya tumbo tena tumbo la kukata. Huwa najaribu kutotumia nanasi kwa muda mrefu ila siku nikijaribu tu basi siku yote imeharibika. Guys tatizo litakuwa...
  3. Judi wa Kishua

    Suphian ni nani kwenye siasa za nchi hii?

    Nimemuona leo kwenye front page ya gazeti fulani, nilipojaribu kumtafuta google nikamkuta twitter anapost nyingi zenye mlengo wa kuipinga serikali ya JPM. Wajuzi wa mambo naomba mnifafanulie huyu jamaa ni nani? Na habari iliyotoka leo ina ukweli kiasi gani?
  4. Judi wa Kishua

    Hongera Mbosso kwa kujenga hii nyumba nzuri

    Moja ya wasanii ninaowapenda Mbosso amefanikiwa kujenga nyumba nzuri kwa kipindi kifupi alichoanza muziki. Nampa hongera sana, inafurahisha kuona vijana wadogo kama hawa wanapiga hatua katika umri mdogo. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Judi wa Kishua

    Aliyah presenter mwenye kila kitu!

    Nakukubali bibie upo vizuri. Full package ya mtangazaji bora! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Judi wa Kishua

    Hongera Fid Q kwa kuwa balozi wa "Hedhi Salama"

    Natumia nafasi hii kumpa hongera msanii Fid Q kwa kuaminika na kupewa ubalozi wa kutangaza hedhi salama kwa watoto wa kike. Hakika unastahili sana kuwa balozi na mtoa elimu ya hedhi kwa vijana wa kike. Watoa deal wameitendea haki kampeni yao. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Judi wa Kishua

    Rayvanny na Harmonize nimeshindwa kuona nani zaidi ya mwenzie

    Siku zote awa vijana wawili kutoka wcb napenda kuwasikiliza. Lakini mpaka leo nimeshindwa kung'amua nani anamzidi mwenzie. Leo naweza ona Ray mkali zaidi, kesho Hamo nae nikamuona zaidi. Sasa hivi ndio wamenichanganya kabisa na nyimbo zao mpya. Ama kweli Dai alichagua haswa vipaji.
  8. Judi wa Kishua

    Maandamano ya UKUTA: CHADEMA mmewaacha njia panda wananchi

    Ikiwa yamebaki masaa machache kabla ya zoezi la kuandamana nchi nzima almaarufu UKUTA. Wananchi mtaani haswa walio wengi ambao sio watumiaji wa mitandao ya kijamii wamebaki njia panda kuhusu ukuta. 1. Maandamano haswa kwa hapa Dar es Salaam yanaanzia wapi na yatakuwa yanaelekea wapi? 2...
  9. Judi wa Kishua

    Wema: Natamani nikutane na Diamond tuyamalize, ila …..

    Nani ambaye alikuwa hayajui mahusiano ya Wema Sepetu na Diamond? Hakuna ila yalikuja yakazima ghafla kama mwanga wa mshumaa, kila mtu akaendelea na maisha yake lakini vita ya mashabiki wao haijaisha kiasi cha wao wenyewe kushindwa hata kupeana support. Hali hiyo imemchosha mwanadada, Wema...
  10. Judi wa Kishua

    Msanii Ray C azidiwa na Madawa ya Kulevya; asaidiwa na Polisi

    Msanii wa muziki Rehema Chalamila aka Ray C usiku wa jana alikamatwa na jeshi la polisi maeneo ya Kinondoni Manyanya almaarufu ‘Kinondoni kwa Mpemba’ jijini Dar es salaam baada ya kupiga makelele barabarani akidai anataka kutekwa. Ray C akiwa kwenye gari la polisi ================= More...
  11. Judi wa Kishua

    Nini kinaendelea kati ya Mwanahalisi na KKKT?

    Najua wote mnafahamu historia ya gazeti la Mwanahalisi kuwa inapolikomalia jambo ujue kuna msukumo maalum nyuma yake. Kwa sasa kumekuwa na mashambulizi makali kutoka Mwanahalisi kwenda KKKT. Mwenye kufahamu nini haswa kinachoendelea basi atujuze.
  12. Judi wa Kishua

    Sukari ya kutosha yaingia bandarini leo

    Nimeshuudia sukari nyingi sana bandarini iliyoagizwa na serikali. Itaanza kusambazwa kesho asubuhi nchi nzima. Utaratibu utakaotumika kuwafikia wananchi nitawaambia baadae kidogo. Chanzo: Mimi mwenyewe
  13. Judi wa Kishua

    Kigogo wa Sukari: Magufuli ametunyoosha

    Mfanyabiashara mmoja mkubwa, ambaye hivi karibuni alikutwa na tani nyingi za sukari katika ghala lake (jina lake linahifadhiwa) amekiri kuwa utawala wa Rais John Magufuli umewanyoosha kwa vile hataki mchezo kazini. Akizungumza na gazeti hili ofisini kwake hivi karibuni, pamoja na kutoa...
  14. Judi wa Kishua

    Ali Kiba kwa nini amewadharau kiasi hiki mashabiki wake?

    Ni karibu wiki moja sasa toka Ali Kiba atoe wimbo mpya Aje. Lakini cha kushangaza wimbo umezinduliwa nje ya nchi na unachezwa huko karibu wiki nzima huku washabiki wake wa bongo wakiendelea kusubiri kuuona wiki nzima. Sio vibaya kuzindulia huo wimbo TV za nje ila inapofika wiki nzima watu...
  15. Judi wa Kishua

    BEEF: Vanessa Mdee na Shilole hali ni tete

    Nimetoka kutazama akaunti ya instagram ya Shilole anatoa maneno mabaya kwa Vanessa. Mashabiki wanahisi anamshambulia Vanessa Mdee japo hajanyoosha maelezo. Nilichokiona sijawahi kukiona instagram kwa muda mrefu. Team zote zimeungana kumnyoosha Shilole kwa kumkosea adabu Vanessa. Team Diamond...
  16. Judi wa Kishua

    Lowassa anaibadilisha Chadema au Chadema inambadilisha Lowassa?

    Chadema ilikuwa ni chama kinachopambana na kuchukia ufisadi kwa nguvu zote. Leo Chadema wamekuwa watetezi wakuu wa mafisadi. Leo hii kila anaeguswa Chadema watakuja kumtetea kwa visingizio kibao mara dagaa,au kafara au kwa kuwa rafiki wa lowassa (sio chadema) au wengine wanaconclude tu serikali...
  17. Judi wa Kishua

    Hizi ndio dalili za serikali ya Magufuli kushindwa? Au tuendelee kuwapa muda?Nimeamka asubuhi natoka

    Nimeamka asubuhi natoka kuelekea kazini. Nimefika kituoni nikakuta daladala imesimama inapakia abiria huku ikiwa tayari imejaa, nikaitwa nipande nikakumbuka AMRI ya serikali kwamba ni marufuku kusimamisha abiria. Sikupanda nikasubiria nyingine nikazunguka nayo ndani ya daladala abiria tumejaa...
  18. Judi wa Kishua

    Mkali wa celebrities forum 2015 ni...

    Tupia hapa jina la member ambae huu mwaka amefanya ulipende jukwaa la celebrities kwa michango yake na useme kwa kiufupi unapenda nini kwake au ni topic gani ilikufuraisha toka kwake ili tufunge mwaka. Mwenye kura nyingi tutamtangaza mkesha wa mwaka mpya. Na kutambua mchango wake. OK let's go!
  19. Judi wa Kishua

    Exclusive: Bifu zito kati ya Diamond na Rommy Jones

    Kuna bifu kubwa linaendelea chini chini kati ya Diamond Platinumz na binamu yake na mtu wake wa karibu Rommy Jones. Chanzo cha bifu hilo japo wenyewe hawataki kuweka wazi inasemekana ni kitendo cha Diamond kumwambia Rommy aweke utaratibu wa kujitegemea yeye mwenyewe alafu yeye atamsapoti...
Back
Top Bottom