Search results

  1. K

    Mbunge wa Bahi -Omar Badwel asema kesi yake ina mkono wa Takukuru na Wanasiasa.

    badwel anaonewa. tunafahamu msimamo wake kuhusu uchimbaji wa urani unaotarajiwa kufanyika jimboni kwake hivyo aliwaandaa wananchi wake wasihame bila malipo sasa hiyo imewakera wakubwa ndo maana wanataka wamuondoe ubunge! ninavyomfahamu anamiliki vituo viwili vya mafuta na alikuwa na pesa kabla...
  2. K

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    Anaonekana siku ya kwanza kutumia kioo aliibishia hata sura yake!
  3. K

    Posho za Wabunge na Maisha ya Dodoma

    Wamemtuma awasemee, kwasababu wanaogopa kuianzisha tena mbele ya wananchi! MIMI NAISHI DODOMA HIYO HOTEL ALIOITOLEA MFANO HAWAISHI KABISA HAPO! HOTEL ZA MITAANI BEI YAKE NI 40000 yaani hiyo ndo ya juu. ASIWADANGANYE HUYO!
Back
Top Bottom