Search results

  1. GEMBESON

    Hii tabia ya Wanamichezo kumsifia Rais wa nchi kwenye kila jambo tuiitaje?

    Namshukuru Mama Samia, Leo mvua imenyesha kidogo, hii ni dalili ya ushindi kwa Timu yangu hapo kesho
  2. GEMBESON

    Mdomo unaumba, jinenee mema

    Mdomo unaumba au Maneno huumba?. Ngoja basi na mimi nikaongeze idadi ya wanaomsapoti Jay Melody. Kijana mwenzetu huyu na kiukweli ngoma zake ziko poa.
  3. GEMBESON

    TANZIA Ramadhani Wasso afariki dunia

    Kwa kweli tayari. Kuna ushindi utatokea siku tatu zijazo na mvua itanyesha
  4. GEMBESON

    Kama tumekubaliana kuwa wamoja kimataifa, sasa kwanini tumeanza kurogana wenyewe kwa wenyewe?

    Ndio kusema yale majini ya Jangwani yalishateketezwa na Azam, hayana nguvu tena. Mamelod wanakuja kujipigia tu
  5. GEMBESON

    Uzinzi umeharibu maisha ya familia yetu

    Pole sana mtoa mada. Ukweli ni kwamba kwenye kila familia kunakuwa na jambo zuri au baya ambalo linaiandama familia hiyo na huwa inatokana na wazazi na huendelea hadi kizazi cha tatu cha huyo mzazi msababishi. Kwa mfano kuna familia utakuta mzazi wao alikuwa na akili sana, hii itaenda hadi kwa...
  6. GEMBESON

    Huyu bibi bikra mwenye miaka 86 anawakilisha mentality ya wanawake wengi

    Hata hawa tulionao wana mitazamo kama ya huyu Bibi. Mwanamke huwa anamkubali mwanaume ambaye ana kazi na uwezo wa kumtunza. Angalia jinsi wanaume wengi wanaoachishwa kazi, utakuta na ndoa zao zinakuja kuvunjika. Wanawake wengi hawawezi kuwa faraja kwa mwanaume asiye na uwezo, wao wanaangalia...
  7. GEMBESON

    Kibu na Mzamiru watozwa faini ya Sh. 1,000,000 kwa Ulozi

    Walijuaje kama kuondoa Taulo ni imani za kishirikina?.
  8. GEMBESON

    Tunaomba mechi ya Young Africans na Mamelodi Sundowns ipewe hamasa ya Gamondi Day

    Ni heri tuiite Aly Kamwe Day. Kwa kila goli tutakalofungwa kuwe na mashabiki wanaozimia, hadi dakika 90 tuwe tumezimia uwanja mzima
  9. GEMBESON

    Robo Fainali CAFCL: Simba kukutana na Al Ahly, Yanga yapangwa na Mamelodi Sundowns

    Ni kweli, Simba ikivuka hapa, Mechi zote zinazofuata ataanzia ugenini. Angekuwa na timu nzuri msimu huu angetoboa hadi Fainali. Yanga ina mlima mrefu Robo fainali. Nusu fainali kuna mteremko, kisha akifika fainali atamalinzia gemu ugenini hapa pagumu.
  10. GEMBESON

    Robo Fainali CAFCL: Simba kukutana na Al Ahly, Yanga yapangwa na Mamelodi Sundowns

    Mechi za Robo fainali ni ngumu kuliko za Nusu fainali.
  11. GEMBESON

    Robo Fainali CAFCL: Simba kukutana na Al Ahly, Yanga yapangwa na Mamelodi Sundowns

    Yanga vs Mamelod (Majini ya Njano tupu!) Simba vs Ahly ( Mashetani wekundu tupu!) Hapa kila mtu kapewa swahiba wake, safari ya timu zetu zote imefikia tamati. Tujipange tena msimu ujao. Tujivunie kufika Robo fainali na tumevuna points nyingi za viwango vya CAF tunashukuru
  12. GEMBESON

    Robo Fainali CAFCL: Simba kukutana na Al Ahly, Yanga yapangwa na Mamelodi Sundowns

    Kama Barbra ni Kiongozi wa CAF, Basi leo droo itakuwa hivi. Simba vs Petro Atletico Young African vs Mamelod
  13. GEMBESON

    Ushauri: Ndugu wameharibu ndoa ya dada yangu

    Inawezekana hiyo Mimba ni ya mume wake, Maana wanawake wakipata ujauzito kuna hali ya kumchukia mumewe inaongezeka. Ndiyo sababu iliyopelekea wakagombana. Nini cha kufanya (ushauri wangu); 1. Ni wazi Mke alifanya kosa la kutomjulisha mapema mume kuwa anaujauzito, hivyo asubiri hadi ajifungue...
  14. GEMBESON

    Wapeni Milioni 600 yao mliyowaahidi Wakimfunga 'Juaeni Juaneni' halafu Kipa 'Manua Manua' aache kutumika mno na MSG Kuiumiza Timu

    Hakuna timu isiyowahi kufungwa Duniani. Soka lina matokeo ya aina tatu (Ushindi, Suluhu na Kichapo) Asiyekubali kufungwa huyo si mshindani.
  15. GEMBESON

    Ishu ya Prince Dube na Fei Toto ni tofauti, huyu mwanasheria wa Yanga mbona sio muelewa?

    Na inakuwaje mchezaji aombe kuvunja mkataba katikati ya msimu, tena wiki moja kabla ya Azam kucheza na Yanga?. Kwa nini asisubiri ligi imalizike ndio aombe kusepa? Hapa kuna mchezo unafanyika ili Dube asicheze game na Yanga na msimu ujao aende utopoloni.
  16. GEMBESON

    Mechi za CAF jukumu la ulinzi uwanjani nani anahusika? Simba ikanushe hizi tuhuma

    Tena huwa wanawakabidhi hadi funguo za vyumba mapema ili wakae nazo na bado wakishafungwa ndio wanalalamika. Kwa nini wasiwe wanalalamika kabla ya mechi ili waruhusiwe kujihami mapema?. Wanajitoa mchezoni wenyewe tu kwa kuingia kwenye mfumo ambao kiuhalisia wala haupo
  17. GEMBESON

    Kumekucha sakata la Prince Dube na Azam

    Kweli Yanga wana akili kubwa. wamemshawishi na kumrubuni Duba afanye hivi, ili asiwepo kwenye mechi yao na Azam wiki ijayo!.
  18. GEMBESON

    Mechi za CAF jukumu la ulinzi uwanjani nani anahusika? Simba ikanushe hizi tuhuma

    (*Hotelini waliwekewa sumu kwenye chakula ikawathiri wachezaji wao watano na wakapona kabla ya mechi kwa jitihada za madaktari wao.) Jibu: Anayestahiki kulaumiwa ni mmiliki wa Hiyo Hoteli. (*Kipa wao kuibiwa simu na walinzi na kumpiga) (*Wachezaji wao kujeruhiwa na kutupiwa chupa) (*Kuumizwa...
  19. GEMBESON

    Nimewaonya mapema tu kuwa kamwe msiutumie Uwanja wa Jamhuri Morogoro kama wa Nyumbani, bali tumieni CCM Mkwakwani Tanga mmenipuuza Asanteni

    Ile mechi kama waamuzi wangehongwa basi Simba ingeshinda hata goli 9. Maana kulikuwa na goli la Chama lilikataliwa pia Kibendera alikuwa bize kunyoosha offside za Jobe
  20. GEMBESON

    Ahmed Ally: Robo fainali wamefuzu washamba sembuse sisi

    Huyu mbona ana nafuu, huko siku za nyuma Nakumbuka msemaji wa Yanga kipindi kile Jerry Muro alikuwa anakichafua hasa kwa maneno ya shombo. Kwa uzoefu wangu nafikiri ukiona Ahmed Ally anaongea hivi ujue anamjibu mtu aliyemkera. Hawa wasemaji sikuhizi wanatabia ya kushindana kwa kupigana vijembe...
Back
Top Bottom