Search results

  1. Mfamaji

    Ufafanuzi kuhusu zuio la mifuko ya plastiki

    Napenda kupongeza uamuzi wa kupiga marufuka mifuko ya plastic nchini. Jambo moja linanitatiza. Je katazo hili inasemekana halihusu bidhaa zinazofungashwa kwenye karatasi za plastic. Lakini halijafafanua bidhaa hizo ni zipi. Je juice, soda maji ambazo wafanya biashara hizo huzifunga kwa plastic...
  2. Mfamaji

    Tulisikia toka kwa Rais "Watanzania sio wajinga"

    Ni kweli Watz. sio wajinga na wana uelewa sana. Ukiangalia mambo yenye akili wayafanyayo kibinafsi utashangaa sana. Lakini wanasiasa wanawaona hawana akili , wenye akili ni wao tuu. Wazee wawili kwenye kijiwe chao hapa karibu na kazini kwangu walikuwa wanabishana kuhusu tafsriri ya ughaifu...
  3. Mfamaji

    Kukopa benki na changamoto zake

    Wadau wa jukwaa hili salaam zenu wote, Leo ni nane nane na wengine tumetembelea au tuna mpango wa kutembelea maonyesho mbali mbali ya wakulima. Kwenye banda moja mfanyabiashara/mkulima huyu ananidokeza changamoto alizokumbana nazo hususani kutoka benki. Alianzisha kilimo cha green house na...
  4. Mfamaji

    Marufuku ya Mifuko ya Plastiki

    Wakuu salaam. Kumekuwa na nyuzi nyingi na michango mingi sana kuhusu suala la matumizi ya plastiki humu nchini hususan Tz bara. Tumesikia azma ya serikali kupiga marufuku uzalishaji wa vifungashio hivyo badala yake itumike mifuko ya karatasi amabyo ni rafiki kwa mazingira. Nikiwa ni mmoja wa...
  5. Mfamaji

    TIB Develpoment Bank Yawa ya Kibiashara

    Kwa muda mrefu hii benki ilikuwa inafanya kazi kama taasisi ya serikali ya kukopesha kwa ajili ya maendeleo. Ilivyokuwa inafanya kazi kwa staili hiyo watumishi wake walikuwa wanajifanyia kama taasisi nyingine za serikali ambapo urasimu na rushwa vilitamalaki. Hatimaye badala ya kutopa mikopo kwa...
  6. Mfamaji

    Manispaa ya Arusha acheni hii Biashara

    Wadau nimeona tangazo la Manisapaa ya Arusha Kuuza kwa mnada viwanja kwenye mlima uliohifadhiwa wa Suye. Hii imeniacha hoi maana miaka michache iliyopita watu waliokuwa wamejenga nyumba zao eneo hilo walivunjiwa nyumba zote kwa madai kuwa ni hifadhi. Leo wanatanganza kuuza viwanja eneo lile...
  7. Mfamaji

    Ukawa, janga la umeme mnalichukilaje kwenye ajenda zenu za kampeni?

    Tatizo la umeme linatuumiza sana sisi wananchi. Tanesco wamekuwa wakitoa taarifa za uongo kila kukicha. Mgao ni mkubwa lakini Tanesco hawatoi hata ratiba ya mgao. Sasa tunahitaji kujua, je yule kalasinga wa Escrow amegoma kutoa umeme? Hao wengine wanolipwa capacity charges kwa mamilioni nao...
  8. Mfamaji

    Sababu 10 za kutokuwa na dini zaelezwa, soma wengine wanavyofikiri

    Najua Mods wataitoa tu lakini kujua ya wengine ni vizuri. Msitoe. Written by Steve Pavlina on his site www.stevepavlina.com | While consciously pursuing your spiritual development is commendable, joining an established religion such as Christianity, Islam, or Hinduism is one of the worst...
  9. Mfamaji

    God Does Not Roll Dice

    Wakuu habari zenu kwa mpigo. Ninafahamu kuwa wengi wetu tunafahamu maana ya neno IGNORANCE. Kama hamkumbuki basi maana yake kwa kimombo ni hii " Ignorance does not mean lack of knowledge but of self knowing" Kuna maandiko mengi katika dunia ya sasa yanayomzungumzia binadamu na nature na hasa...
  10. Mfamaji

    Tecno L3 Imekwama Screen Naomba Msaada

    Naomba msaada jamani. Hii simu imekwama sreen. Nifanyeje iamke? Msaada wakuu.
  11. Mfamaji

    Bonite mmeharibu maji yenu

    Habari wana jamvi. Wengine watanishangaa lakini acha niwaambie Bonite Bottlers kuwa kitendo chao cha kupaki maji yao kwenye makaratsi ya nailoni kimedhoofisha kabisa soko la maji hayo. Sasa yanaonekana kama yale mengine ya kawaida. Aliyewashauri amewadanaganya sana. Kama mlikuwa hamtambui...
  12. Mfamaji

    Baada ya kuokoka mama akiri kumloga mumewe

    Hii imetoka kwa jamaa ambaye aliachana na mkewe baada ya mke kuokoka na akitaka mume aache pombe na sigara aokoke. Mama huyu alirubuniwa na mama wa jirani na kumpeleka kanisani kwao ambako aliokoka. Baada ya muda mama akahamishia maskani kanisani toka asubuhi hadi jioni yuko kanisani kwao tu...
  13. Mfamaji

    Polisi Wapiga Mabomu Ya Machozi Hovyo Barabarani Mkesha.

    Watu waiokuwa wanatoka makanisani mkesha wa mwaka mpya walikipata cha moto pale polisi walipoamua kupiga mabomu hovyo barabarani. Nilishuhudia gari ya Polisi ikipita mbio huku mabomu yanapigwa hovyo. Haileweki sababu hasa ni nini.
  14. Mfamaji

    Tatizo la msingi la CCM hili hapa

    Wakuu salaam. Nimefuatilia siasa za CCM hasa dhidi ya vyama vya upinzani na viongozi wake nikagundua kuwa kuna jambo la msingi linalosumbua roho zao. "Hawajawahawi kutafuta wafuasi" Waliwakuta wako tuu wakarithi wanachama pale vyama vingi vilipoanzishwa Tz. Kutokana na hilo, ni dhahiri CCM...
  15. Mfamaji

    Term loan

    Wakuu salaam. Naomba kubadilishane uzoefu kwenye hili. Nataka kuomba mkopo -(term loan) kwa ajili ya project yangu. Bank ipi haina longo longo? TIB , NBC, CRDB , etc Mwenye kujua /uzoefu naomba msaada tafdahali
  16. Mfamaji

    Njaa za Wabunge Wa CCM Ndio Chanzo Cha Vurugu bungeni

    Ni aibu sana kwa magamba kufanya mbinu za kijanja janja ili wawepo kwenye Bunge maalum la katiba bila kufikiri umuhimu wa bunge hilo kwa wananchi. Kumbe sababu ni POSHO ikizingatiwa watakaa siku 70. Wanafikiria matumbo yao tu , ni wabinasfi hawaweki maslahi ya Taifa mbele. hivi hawajui kuwa...
  17. Mfamaji

    Utafutaji wa waliolipuwa mkutano wa chadema.

    Ndugu wanajamvi. Nawasalimu wote itifaki ikizingatiwa. Sote tunafahamu kwamba upinzani mkubwa katika uchaguzi wa madiwani ulikuwa kati ya CCM na CHADEMA. Takwimu zinaonyesha CHADEMA walikuwa wanafanya vizuri zaidi maana Arusha inafahamika kuwa ni ngome ya CHADEMA. Sote tuliona na kushuhudia...
  18. Mfamaji

    RPC Arusha Ajivua Vurugu za Polisi leo. Asema ni AICC Wanahusika

    Nilimsikiliza Kamanda wa polisi Arusha akihojiwa na Radio Sunrise jioni na alisema hivi. AICC walikataa uwanja wao usitumike kuaga miili ya waliouwawa juzi Jumamosi kwa hiyo polisi waliwekwa eneo hilo kuzuia CHADEMA wasitumie uwanja huo kwa shughuli hiyo kwa kuombwa na AICC. My take. Uwanja...
  19. Mfamaji

    Wametutawala Kwa Miaka 50 Na Sasa Wameamua kutuuwa

    CCm imetutawala zaidi ya miaka 50.Ikatunyonya , ikafilisi, ikauza, ikaisambaratisha kidini nchi yetu iliyokuwa nzuri sana na ya kupendeza. Bado hawajatosheka na hayo yote waliyotufanyia, na sasa wameanzisha vita vya mabomu, na risasi za moto kwa raia wale wale walishibisha matumbo yao kwa...
  20. Mfamaji

    Dangerous preyers -msaada

    Wakuu, kwa wale wenye vitabu hivyo(series) au ajuae vinapaitakana wapi atujuze tafadhali.
Back
Top Bottom