Search results

  1. L

    Wawekezaji hawa kweli wanataka kuwasaidia watanzania?

    Mimi ni mmoja wa wafanyakazi wa kampuni ya TanzaniteOne Mining LTD,kiukweli tunashangaa sana kwa uongozi uliopo hapa kwa kutojali malalamiko ya wafanyakazi wao, Kuna Meneja mmoja anitwa Wessel,huyu ni kaburu amabye amekaa hapa nchini kwa muda mrefu sana zaidi ya miaka kumi hatuelewi ni kigezo...
  2. L

    Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

    Tunatarajia Mh.rais kutangaza baraza jipya la mawaziri,je tunatarajia nini kwenye baraza hili jipya?
  3. L

    Mzungu kupiga watanzania risasi kila mara ni haki?

    Kaka kama mwizi hajakimbia unampiga tu risasi?kama ndio matumizi yake basi kila siku tungesikia mauaji ya silaha kisa tu mtu kaingia ndani kwako.
  4. L

    Mzungu kupiga watanzania risasi kila mara ni haki?

    Ndugu zangu wana jamii,mimi ni Mtanzania ambaye nasikitishwa sana habari ya kila siku kwa Watanzania kunyanyasika katika nchi yetu,Habari hii ni kutoka Mirerani Mkoa wa Manyara Wilaya ya Simanjiro katika kijiji cha Naisinyai ambako ndipo ilipo kampuni ya uchimbaji madini ya Tanzanite iitwayo...
Back
Top Bottom