Umesema kweli mkuu maana kwetu hata wapinzani wakigombea hawana hata mhuri wa tawi maana hayafunguliwi tunasubiri ruhusa ya shughuli za siasa zitakapofunguliwa
Siku sensa ya kutambua wakulima ikianza ili muuze mazao kama ilivyoagizwa mmmm. Maana hapa kwetu Morogoro mashamba yote ya wafanyakazi, walimu, askari, wahadhiri sasa sijui kama mkipeleka mazao mtalipwa maana mtaonekana kila kona. Kazi hizi za ujasilimali na vitambulisho we acha.
Sent using...
Walimu tulishindwa hata kutoa mawazo kwenye tume ya Tukamazina aliyounda Kikwete kuomba nyongeza ya mshahara zaidi kuomba maafisa wao watolewe kazini
Sent using Jamii Forums mobile app
Br Kivumishi imewaua watoto wa wenzako hizo picha tu namba za gari hata kama walifanya siku moja wameisha kazi hawana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mawazo ya kusigana wakati tunaambiwa tunaona matumaini 2019 dini inatuongoza kinyume basi tuombe maana pia tumepewa karama ya kusahau
Sent using Jamii Forums mobile app
Utabiri tu kutakuwa na uchaguzi halali kabisa ila wapinzani hawatashiriki na vyama kama ADP, TLP nk vitasindikiza mpambano huo na CCM Itapata majimbo yote. Refer Zenj wa marudio
Sera za nchi hazikubaliani na kupunguza bali kuongeza shule sekondari kila mtaa na kila kijiji na hivyo walimu nao waongezwe ila kwa sasa Tanzania tumeichoka elimu sana tutapkea kila aina ya maoni.
*Maisha ya ajabu sana, Raila kajiapisha kuwa Raisi wa Kenya halafu anarudi nyumbani badala ya kwenda Ikulu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.