Search results

  1. B

    Je, unahitaji NEMBO/LOGO

    Habari zenyu bana. Nimetuma sample za logo kwa wale wote walionipatia email address zao.
  2. B

    Je, unahitaji logo/nembo designer?

    Tutor B. Vipi hali. Nimeshakupigia sana but simu yako haipatikani bro.
  3. B

    Je, unahitaji logo/nembo designer?

    Allien. Nitumie email address na no. Yako ya simu tafadhali. Nakutakia siku njema
  4. B

    Je, unahitaji logo/nembo designer?

    Hi Bujibuji. Nitumie details za kuihusu hiyo serikali. Mnakaa kijijini au mjini? Rangi gani ungezipendelea ktk logo yk, jina utakalotumia ktk logo; slogan (Kama ipo). Ukishatuma details tutaongea kuhusu gharama. Bila shaka hatutashindwana
  5. B

    Je, unahitaji logo/nembo designer?

    Za Leo? Shukran. Nitakutafuta kaka
  6. B

    Je, unahitaji NEMBO/LOGO

    Yaani we acha tu. Nalijua Hilo kaka. Ntakwambia kitu kimoja. Kwangu Mimi ni bora kuridhika na kitu kidogo kuliko kupigania kikubwa na kumkosea Mungu. Zamani nilikuwa nafanya Kazi mbalimbali but wajua kuna muda unafika inabidi ubadilike bro. Sasa hivi Nina miaka Kama 47/48 hivi na najiweka ktk...
  7. B

    Je, unahitaji NEMBO/LOGO

    Katika jitihada zangu za kutengeneza blog, nimekuta kuna jamaa wengine tayari wanatumia jina "bongologo" sasa basi, ili kuondoa confusion na pia kuheshimu masuala ya hatimiliki imenilazimu nibadili jina la project wangu. Nafiria kuihita "NACHORANEMBO". Sijui wadau mwasemaje
  8. B

    Je, unahitaji NEMBO/LOGO

    Habari sista Mimtamu. Usijali nitakutumia. Pia ukishaona baadhi ya Kazi zangu ndo utajua Kama nina uwezo Wa kukusadia kimawazo nami kujifunza mengi kwako. Muhimu, kutokana na Imani yangu, sijihusishi na project za watu au kampuni zinazojihusisha na pombe, ulevi, Kamari, na mambo kama hayo
  9. B

    Ushamba bwana! Siku zote najua "thread" ni uzi...

    Kumbe hata mkusanyiko wa haya maneno ninayoandika hapa unaitwa hivyo. Well, It's the case of "New Kid in the Block".
  10. B

    Je, unahitaji NEMBO/LOGO

    Brother X-Paster, you are very considerate. Kitendo chako tu cha kunipa ushauri kwanza, ni sadaka mbele ya Mungu. Pili, ni msaada mkubwa kwangu. Tayari nilikuwa nimeshaanza mpango wa kuji-expose more professionally ila jana tu usiku wakati Nina-contemplate nini cha Luda ya ktk mikakati...
  11. B

    Je, unahitaji logo/nembo designer?

    Hi. Nina-design nembo(logos). Pia naweza kuboresha nembo unayomilki. Ila sijhusishi na design zinazohusu kampuni au bidhaa zinazohusika na ulevi, kamari na vitu kama hivyo. Hii ni katokana na imani yangu. 0652 999009. Bongologo@yahoo.com. Thanks & May ALLAH bless you dear.
  12. B

    Je, unahitaji NEMBO/LOGO

    Nitawatumia nyote Mungu akipenda kesho. Thanks
  13. B

    Je, unahitaji NEMBO/LOGO

    Nina-design label za products vilevile. Pls. Nitumie email yk ili nikutumie sample ya labels nilizowatengenezea clients wengine. Na kaka, label ya product ambayo Ina-function Kama Brand identity ya hiyo product ni tofauti na logo. Logo ni identity ya kampuni inayotengeneza hiyo product. Mfano...
  14. B

    Je, unahitaji NEMBO/LOGO

    Pia unaweza kuwasiliana na jamaa Wa TBS for more info: Tanzania Bureau of Standards Ubungo Area, Morogoro Road / Sam Nujoma Road Postal Address P O Box 9524, Dar es Salaam, TANZANIA.* Telephone +255 22 245 0298 | +255 22 245 0206 | +255 22 245 0949 Telefax: +255 22 245 0959...
  15. B

    Je, unahitaji NEMBO/LOGO

    TBS operates three product certification schemes; namely the Standards Mark of Quality Certification Scheme; the Batch Certification Scheme and the Tested Product Certification Scheme. The Bureau also operates the Systems Certification Scheme. Batch Certification Scheme for Imports Batch...
  16. B

    Je, unahitaji NEMBO/LOGO

    Utambulisho Wa mwanzo Wa biashara/huduma au jina la kampuni yako ni NEMBO/LOGO. Wasiliana nami Kama unahitaji nyenzo muhimu katika utambulisho wako ili ni-design NEMBO/ LOGO yako. Pia kama unataka kuiboresha au kuipa mtazamo mpya NEMBO/LOGO uliyokuwa nayo kwa sasa. 0652 999009. Bongologo@yahoo.com
Back
Top Bottom