Search results

  1. a4afrika

    Je, ni sahihi kwa nchi moja moja za kiafrika kuota Maendeleo? Je, sio kujidanganya?

    Ni zaidi ya miaka 50 sasa, tangu nchi ya kwanza Afrika kupata uhuru, na miaka karibia 20 tangu nchi ya mwisho ipate uhuru. Katika kipindi hiki chote kila taifa limejitahidi kujitutumua kuimba wimbo wa maendeleo, wengine wakaungana, wakabadili mifumo, wakabadili uongozi, nk. Lakini bado hakuna...
  2. a4afrika

    Natamani Dr. Slaa aje aniambie haya!

    Tukishampa nchi 2015 (japo tunaweza hata kesho), atawafanyaje watu hawa! Wenye majumba ya thamani hali jirani zao wanalala nje! Wenye kumiliki magari makali hali jirani zao hawana uwezo wa kununua hata ndala! Wenye kulimbikiza fedha benki hali jirani alala njaa? Wenye kuishi Masaki na...
  3. a4afrika

    Viongozi wa Chadema ni malaika?

    WanaJF, inakuwaje pale mtu anapotokea kuhoji juu ya viongozi wa Chadema, basi wengi huja na majibu makali hata matusi? Je, wao ni malaika, hawakosei chochote? Msipokuwa makini, mtaifuga mijitu ambayo ni mamluki na wezi kama wale wa ccm, mwisho wake ushawishi wenu utashuka na kupotea kabisa...
Back
Top Bottom