Search results

  1. a4afrika

    Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    Wengi Fikra zao juu ya Watu wa bara zimejaa makamasi. Wanakera hata kujadili nao. Kuna siku atakuja rais kichaa atamaliza huu ujinga wao kwa style ambayo hawatakaa waamini, na wasiweze kufanya chochote. Wanajiona special sana kumbe ni makamasi tu vichwani mwao!
  2. a4afrika

    Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    Option bora zaidi ni kuifanya kuwa Mkoa tu. Peleka Jeshi, vunja mamlaka zote za kipuuzi, Makonda ahamishiwe huko kama Mkuu wa Mkoa. Atakayezingua ahamie kwa wajomba zake Oman. Maana hawa wapuuzi wanachosha sana, vichwani ni empty kabisa yaani.
  3. a4afrika

    Hatumchukii Hayati Magufuli ila hatutaki atokee Magufuli mwingine

    Kama tupo tunaompenda, hakuna ajabu ya kuwepo wanaomchukia. Na sisi tunatamani arudi tena walau akae kwa miaka 20-30 walau.
  4. a4afrika

    Hii hapa Miji na Wilaya 60 zenye mapato mengi na mzunguko mkubwa wa biashara Tanzania

    N Natamani kujua Morogoro DC ina vyanzo vipi vya mapato kiasi cha kuzipita Halmashauri nyingi hivyo?
  5. a4afrika

    Video Clip: Rufiji litangazwe kuwa ni eneo la hatari na Serikali iwahamishe wananchi mara moja

    Wapuuzi ni waliotunza maji bila ya kuyafungulia mapema yalipofikia kiwango chake cha mwisho. Ni aidha a) Wamedhamiria Kuhujumu. b) Wamefanya miscalculation. Mvua za mwaka huu ni nyingi sana, wenyewe hata hawakutarajia kama maji yatajaa mwaka huu.
  6. a4afrika

    Viongozi wa Yanga Fanyeni hivi Haraka iwezekanavyo Lazima Yanga icheze Nusu Fainali

    Yeah, shida ni Yanga kutokuwa na ushawishi wa namna hiyo. Engineer ni Raid wa vilabu Afrika, vipi, ni cheo hewa?
  7. a4afrika

    Viongozi wa Yanga Fanyeni hivi Haraka iwezekanavyo Lazima Yanga icheze Nusu Fainali

    Njia pekee labda ni kushawishi vilabu vilivyomo kwenye mashindano KUGOMEA mashindano ili Kushinikiza Haki kutendeka katika mechi ya Jana. Ushawishi huo sijui kama tunao, ila nafikiri ingesaidia. Mazembe Waarwbu wote Asec Petrol Wagomee next match zao. Ikiwezekana washinikize kujiuzulu kwa Motsepe
  8. a4afrika

    Wasemavyo wadau na club nyingine Afrika na kile Kinachoendelea katika Page ya CAF baada ya Goli la Yanga kukataliwa

    Huwa mnasema Mechi ya Simba na Yanga marefa watoke nje, marefa wenyewe ndio hao nguruwe.
  9. a4afrika

    Mamelodi isiyofunga magoli mengi ikohatarini kuondolewa na Yanga yenye advantage ya goli la ugenini

    Dakika ya 76 Yanga anafunga goli la kuongoza South, Wenyeji wanahaha kama nyuki kuvuka mlima ulioongezeka Kimo. Bacca anaburugwa kama hana akili nzuri, dakika 5 za zinaongezwa, dakika ya 97 Mamelod wanasawazisha na isiwasaidie kitu. 98 filimbi ya mwisho 1-1.
  10. a4afrika

    Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

    Nami nataka kujua aisee hii 2024
  11. a4afrika

    Huenda hii ndiyo ajali mbaya zaidi ya mwendesha bodaboda nchini 2024

    Hiyo gari ingekuwa speed kama ya pkpk isingesimama hapo, ingekutwa porini tayari nayo.
  12. a4afrika

    Daraja la J.P.Magufuli (Kigongo-Busisi) ni la 1 kwa urefu katika Jumuiya ya Afrika Mashariki na Kati. Litaondoa tabu ya wananchi kutumia dakika 120

    Naona wamejikaza kutamka Jina MAGUFULI vinywani mwao. Wajitahidi kulizoea, maana Uchaguzi mwakani, watalazimika kulitamka kwenye kila Jukwaa.
  13. a4afrika

    Wataalamu wa mchezo wa draft tu:Je mwenye nyekundu anaweza kwepa kufungwa supa hapo?

    Swali lako halijakamilika, Sema mchezo upo kwa nani na kanuni zipi zinatumika, French au nini?
  14. a4afrika

    M23 watwaa mji wa Nyanzale kule DRC

    Ajabu ni yule anayeumia kwa yanayoendelea Gaza na asitake hata kujua kinachoendelea Kongo, Msumbiji, Somalia, Nigeria. Wao wapiganao kwa kutetea Desturi zao wanaeleweka zaidi, ila yule auaye au kuuawa kwa kutetea maslahi ya colonial Master wake, naye ni jirani yako, ANAUMIZA zaidi. Hakika...
  15. a4afrika

    Kwa waliochanja Chanjo ya CORONA Njoni mtoe uzoefu Ili tupime ufanisi.

    Madhara ya Chanjo kama ni yenye nia ovu hayawezi kujitokeza kwa miaka 3/5. Na yanaweza yasitokee kwenye mwili wako, ila yakatokea kwenye kila mtoto utakayemzaa. Labda awe zezeta, au awe shoga, au ashambuliwe na magonjwa mazito kama Kansa na kisukari, nk... Katika miaka ya hivi karibuni, tuseme...
  16. a4afrika

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Ni majeruhi ya senior players. Wakipona wote anawarudisha benchi. Hana Uthubutu wa kuwaamini watoto, japo anapokwama anawatumia na wanampa matokeo. Hata dak za mwisho akiwa anaongoza, bado aliwaingiza kina Milner. Ni mwoga katika hilo, japo ni jasiri katika mengi.
  17. a4afrika

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Huyu jamaa aliwaingizia wenzake laana kwa rafu hii, ikitegemea tulimuhitaji akatuaibisha, anakuja kutuumizia mchezaji wetu makusudi kabisa.
Back
Top Bottom