FF. Doctors heshima kwenu,
Mimi ninasumbuliwa na matatizo ya maumivu upande wa bega la kushoto, juu kidogo ya moyo.
Nimekuwa nikisumbuliwa na hii shida kwa muda wa zaidi ya miezi mitatu na hapa nishaenda muhimbili kupata vipimo ikaonekana upande wa moyo hakuna shida, vipimo ya damu yaani full...
Mtoa huu Uzi analeta siasa, huyu jamaa ni kweli kafariki lakini, hakufia INDIA, amefia hosptali ya mkoa SOKOINE LINDI. Amepelekwa juzi usiku baada ya kujisikia vibaya na jana saa 12 asubuhi akaitikia wito wa muumba, RIP BRO SHEBBY!
Uko sahihi mtoa mada, mi ni kama wewe huwa ninapatwa na mashaka hata na uwepo wa huyo mungu. Hivyo vitabu ni utaratibu tu ulianzishwa na watu wachache na vikawa developed time after time, ndiyo maana hivyo vitabu kama qu_ruan havikuakamilika mara moja. Hivyo ni kama katiba tu za nchi zetu kwa...
Kama umeliona hilo we GAMBA vilaza wenzako kule bungeni hawajaliona, akili ya kisiasa na great thinkers, hili shauri lilitakiwa liharakishwe. Labda nikuweke sawa kidogo, wapinzia mara zote ni watetezi wa wananchi na ndiyo maana hata maovu mengi ya mafisadi hutumbuliwa na wapinzani, kwahiyo basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.