Search results

  1. C

    Nape Nnauye chunga kauli zako!

    sasa kama wote ni ukawa kwa nini wafanye mkutano bila wengine kuwepo? huoni kasoro hapo imbayo iko wazi? mnamwonea nape bure. subirini muone ukawa itakavyosambaratika na ndoto za mchana za kuishinda ccm kutoweka. tatizo lenu mnataka muambiwe habari za kuwafurahisha tu hata kama si za kweli.
  2. C

    Ukimchunguza kuku huwezi kumla, tuache kuwachunguza wake zetu sana

    Kwani yeye hajawahi kutoka nje ya ndoa?
  3. C

    Jakaya Mrisho Kikwete, Mungu atakulipa!

    Umesema kweli, mazuri aliyofanya yanaonekana wazi tumpe haki yake!
  4. C

    Tunasubiri tamko la BAKWATA juu ya Mahakama ya kadhi

    Idadi ya wananchi wote wa zenji haifiki 2m wewe hiyo 3m ya waislam huko zenji umeipata wapi?
  5. C

    Kwanini watu wenye akili sana sio wazungumzaji wazuri?

    Suala siyo kuwa na akili sana au kutokuwa nazo. Kila mtu ana akili za kiwango kilekile. Tatizo ni nani anazitumia zaidi Akili zake kuliko mwingine.
  6. C

    Tested HIV positive, looking for a soul mate

    Lakini uwe mwangalifu sana usije ukatapeliwa. Maana makanisa mengi wanatafuta watoa sadaka. Wanaweza kukufilisi kwa kutake advantage ya tatizo lako na baadae kukuacha katika hali mbaya zaidi. Uwe na taadhari kubwa na utumie akili zako vyema.
  7. C

    Mke wangu nikiomba penzi anadai nimlipe hela

    Watu wengi tu wamezaa na wanawake lakini siyo wake zao. Kuoa Mke ni kitu tofauti na kuzaa na mwanamke
  8. C

    Mke wangu nikiomba penzi anadai nimlipe hela

    Kumbe hujalipa mahari. Kwa hiyo siyo Mke wako.
  9. C

    Hivi ndivyo ninavyomfahamu Edward Lowassa; wewe je?

    Mawazo yako yatabakia kuwa ya kwako na hutatulazimisha kuchagua unayemtaka wewe. Kila mtu yuko huru kutumia akili zake kuchagua anayemtaka. Kwani wewe ushapimwa? Unawaaminisha watu ugonjwa wa kusadikika kwani we umekuwa daktari wake na ulimpima lini? Wadanganye vilaka wenzako.
  10. C

    Hivi ndivyo ninavyomfahamu Edward Lowassa; wewe je?

    Mtu mwenyewe hata avatar yako inasema wazi kuwa wewe ni kilaza na ndivyo ujumbe wako ulivyo
  11. C

    Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!".

    Pamoja na hayo yote bado payback ya mradi ni kubwa kuliko kama mikopo ya gharama zaidi ingetumika. Pia suala la kampuni za kichina hata kama ingekuwa ni mkopo au msaada kutoka marekani au world bank bado wangeleta makampuni ya kwao. Kwa hiyo kwa hilo hakuna tofauti na siyo hoja yenye mashiko.
  12. C

    Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!".

    Hesabu zako ni shida!!!!!!!! Itabidi urudi darasani au uombe tuisheni. 1% ya 1.2 bn ni 12m na siyo milioni 1,200 na kwa miaka 20, ni 12m x 20 = 240m na siyo milioni 24,000,000. Rudi darasani au waachie hisabati wenye zao.
  13. C

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    ?????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
  14. C

    Hivi Lowassa hana washauri? Naona anapoteza muda na fedha zake bure!

    Acha uongo wako. Nani amekutuma uwasemee watu. Na wewe unalazimisha kuwa msemaji wa watu wakati hawajakutuma, huna Washauri? We wa ajabu sana unafanya kilekile unachokipinga? Kama wewe humpendi au humtaki usitulazimishe na wengine tunaompenda.
  15. C

    Surveyed plots at Kigamboni for sales

    Kwa nini usiweke details za kutosha hapa ili watu wajue moja kwa moja location, size na bei za hizo plots? Huoni kama unaongeza urasimu usio na sababu kuwaambia watu wahamie tena mtandao mwingine wa mawasiliano?
  16. C

    Ni tamu lakini zinachakaza na kuzeesha sana

    Mnasahau kuwa ile kitu ni elastic kila mara baada ya mechi inajirudia hali yake ya awali.
Back
Top Bottom