Search results

  1. N

    Pumba Dar es Salaam inapatikana wapi

    Ninayo niko manzese gunia 17000
  2. N

    Uzembe wa madaktari waua tena Hospitali ya DDH Bunda

    DDH ni noma nilishawahi kupewa dawa za sukari kumbe sina sukari..
  3. N

    Nimeoa na ninaishi na mke mwenye VVU kwa miaka 7

    Hili pito huwa ni gumu kulielezea hasa kwa ndugu..lakini ni kwa Neema tu..
  4. N

    Nimeoa na ninaishi na mke mwenye VVU kwa miaka 7

    I'm going through the same brother..
  5. N

    Share business ideas

    ni add 0755405027
  6. N

    Tanzia: Mtoto afa baada ya mama yake kumnywesha sumu ya mende badala ya dawa ya minyoo

    Hii habari ni ya kweli huyu mama namfahamu ni mjasiriamali mjasiriamali anasaga sembe manzese yani hata sisi hatujaelewa dawa gani ya mende inakaa kwenye chupa? Na hiyo chupa ya dawa ya mende iweje ifanane na chupa ya dawa ya minyoo? Kwa kweli tumebaki midomo wazi.
  7. N

    Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo haya

    Wadau nahitaji nyumba ya kupanga ya vyumba vi 3 maeneo ya kijitonyama,sinza,mwenge au makumbusho.kama unayo weka namba yako nitakupigia.
  8. N

    Fursa kwenye uzalishaji wa Madirisha ya Plastic (PVC Window)

    Ni add na mimi namba yangu ni 0755405027
  9. N

    Natafuta soko la mahindi

    Mahindi mwaka huu sio biashara wakulima wamepata mazao lakini soko hakuna.mahindi ya dodoma yanauzwa 300 kwa kilo.tanga 150.morogoro 200.imekua hasara kwa wakulima. Wafanya biashara wakubwa hawawezi kununua bado wana stock ya mwaka jana.
  10. N

    Nunua mazao kwa bei rahisi kipindi hiki cha mavuno

    Ni pm namba yako tuongee.
  11. N

    Mahindi yangu nitauza wapi

    Nipigie kwa namba hizi 0715405027 tuongee mi huwa nanunua mahindi . mi
  12. N

    Soko la mahindi

    Ndugu yangu dar leo bei ya soko ni 450
  13. N

    Unga wa sembe,dona na kande.

    EAGLE FOOD PROCESSOR. Tunakuletea. Unga safi wa sembe,dona pamoja na mahindi yaliyo kobolewaKwajili ya makande kwa bei ya jumla na rejareja.unga wetu una ubora wa phali ya juu ,ni mweupe na lainiNa bei zetu ni nafuu sana50kg-40,000/=25kg-20,000/=10kg-9500/=5kg-4500/=Kwa mawasiliano piga simu...
  14. N

    Inflation ya hatari, Mchele kilo 2800?

    tutakoma mwaka huu,
  15. N

    Nahitaji mahindi tani 30

    Habari zenu wakuu kwa yeyote mwenye mahindi naitaji tani 30 napatikana dar ukiwa nayo nipigie kwa namba 0755405027,0715405027.
Back
Top Bottom