Search results

  1. G

    Janga jipya :Pacha wa ugonjwa wa UKIMWI waingia

    WAKATI wanasayansi wakiwa wanakaribia kukamilisha utafiti wa kuwezesha kupata tiba ya Ukimwi, ugonjwa mpya ambao unafanana kwa karibu kabisa na huo, umeibuka. Adult-Onsets Immunal Deficiency (AOI) umeripotiwa kuibuka katika nchi za Ulaya na kusambaa kwa kasi duniani. Kuibuka kwa ugonjwa...
  2. G

    Maoni ya katiba: ‘Walimu wanaopewa mimba na wanafunzi kushitakiwa’

    BAADHI ya wanafunzi wa sekondari wilayani Mpanda na Mlele mkoani Katavi wamejitokeza mbele ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba na kupendekeza Katiba ijayo ibane walimu wa kike ambao wanapewa ujauzito na wanafunzi wao. Pia wanafunzi hao walipendekeza wanafunzi wanapopeana mimba, mvulana na...
  3. G

    Celina Kombani akerwa na wanasiasa wanaomchafua

    MBUNGE wa Ulanga Mashariki (CCM), Celina Kombani amewasihi viongozi wa vyama vya siasa nchini kutumia vizuri majukwaa ya siasa kwa kueleza sera zao, badala ya kutoa kashfa na maneno ya kejeli zinaweza kusababisha machafuko. Kombani ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi), alisema...
  4. G

    Watu 3000 kuhamishwa Mbagala

    WAKAZI zaidi ya 3,000 wa Bugudadi, Mbagala katika Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam wako mbioni kuondolewa kwenye maeneo wanayoishi mabondeni ili kupisha uhakiki na tathimini ya nyumba zao.Tayari nyumba zao ziwekewa alama ya ‘X’ huku kukiwa hakuna taarifa za kutosha kutoka kwa viongozi...
  5. G

    Malema awahamasisha wanajeshi kudai haki zao.

    Mwanaharakati wa kisiasa nchini Afrika Kusini Julius Malema, amewashauri wanajeshi wenye manung'uniko kujipanga vyema na kupigania kazi zao. Malema aliyatoa matamshi hayo kwa wanajeshi wanaokabiliwa na makosa ya kinidhamu yaliyotokana na maandamano waliyoyafanya mwaka 2009 wakidai mishahara...
  6. G

    Simba kujitoa Ligi kuu, yasema kuonewa sasa basi.

    KAMATI ya Utendaji ya Simba SC inatarajiwa kukutana kesho katika kikao cha dharula, kupanga tarahe ya Mkutano Mkuu kwa lengo la kuomba Baraka za wachama wake kujitoa kwenye Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, kutokuwa na kutokuwa na imani na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Zacharia Hans Poppe...
  7. G

    Kusudio la Mpendazoe latupwa; Jaji Mkuu M. Chande aamuru kusudio hilo liondolewe

    JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman, ameamuru taarifa ya kusudio la kukata rufaa iliyowasilishwa katika Mahakama ya Rufani na Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Fredy Mpendazoe, iondolewe. Mpendazoe aliwasilisha kusudio la kukata rufaa kupinga hukumu ya Mahakama Kuu...
  8. G

    Wagombea UVCCM Na UWT Watakiwa Dodoma Kwa Mahojiano

    Aliyevaa skafu na kofia katikati ni Asenga Abubakar mwenyekiti wa wanaccm wa vyuo vikuu mkoa wa Dar es salaam akiwa na wagombea wenzake kabla ya kuingia kwenye usaili wa nafasi wanazogombea CHANZO: GUMZO LA JIJI
  9. G

    Maandamano ya wanahabari Sept 11, 2012

    Katika hali ya isiyokuwa kawaida kutokea katika nchi hii wanahabari jijini Dar es Salaam wamemzomea na kumfukuza katika maandamano yaliyoandaliwa kulaani mauaji ya mwanahabari Daudi Mwangosi Leo jijini Dar. Hatua hiyo imetokea baada ya Waziri huyo wa wizara ya mambo ya ndani ya nchi kufika...
  10. G

    Baada ya kupanda mafuta,nauli kwenda mikoani nazo zapanda.

    HALI ya usafiri katika Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani cha Ubungo (UBT), Jijini Dar es Salaam imekuwa tete baada ya shule kufunguliwa.Uchunguzi uliofanywa na Mwananchi jana asubuhi katika kituo hicho, ulibaini nauli ya kwenda Morogoro ni Sh6,000 lakini jana ilikuwa Sh8,000...
  11. G

    Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA Sept 10, 2012

    CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeonyesha picha za mnato na video zinazoonyesha jinsi Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Television cha Channel Ten, Daudi Mwangosi, alivyouawa. Picha hizo zilionyeshwa jana jijini Dar es Salaam, wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho...
  12. G

    Prof. Lipumba atoa tahadhari kuhusu sera ya gesi na Mafuta.

    MWENYEKITI wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amewatahadharisha Watanzania kuhusu upatikanaji wa rasilimali za gesi na mafuta.Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Viwanja vya Jangwani Dar es Salaam jana, kuzindua kampeni yao ya Vision For Change (V4C), Profesa Lipumba alisema...
  13. G

    UVCCM yawaonya vibaraka wanaowania Urais

    UMOJA wa Vijana wa CCM (UVCCM), umesema hautasita kumuengua mgombea yeyote atakayebainika kutumiwa na makundi yanayodaiwa kuwania urais ndani ya chama hicho mwaka 2015. Katibu Mkuu wa Umoja huo, Martin Shigela alitoa kauli hiyo jana wakati akizungumza na waandishi wa habari katika Makao Makuu ya...
  14. G

    Serikali: Hatuna mpango wa kuwafukuza Madktari 374 waliogoma

    Serikali imesema haina nia ya kuwafukuza madaktari 374 waliokuwa kwenye mafunzo kwa vitendo katika hospitali mbalimbali nchini baada ya mgomo wao. Akizungumza na NIPASHE Jumapili, Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Donan Mmbando, alisema serikali haina nia hiyo...
  15. G

    Mhakama nchini Iraq yamhukumu adhabu ya kifo Mkamu wa Rais wa nchi hiyo.

    Mahakama nchini Iraq imepitisha hukumu ya kifo kwa makamu wa rais, Tariq al-Hashemi, baada ya kumkuta na hatia kwa kuongoza makundi ya kuuwa watu, yaliyowalenga Washia na askari wa usalama. Makamo wa rais, wa madhehebu ya Sunni, hakuweko mahakamani wakati wa hukumu hiyo kwani alishaikimbia Iraq...
  16. G

    Mchina mbaroni kwa kuchimba madini kwenye pori la akiba

    Baadhi ya raia wa China na Watanzania wakishirikiana kuchimba madini katika pori la Akiba la Lwafi,wilayani Nkansi kinyume cha sheria,ambapo raia hao wa china walifikishwa mahakamani na kuhukumiwa kulipa faini. Mkurugenzi wa Kampuni ya REDore Mining mwenye asili ya Asia Chaoxian Zhou...
  17. G

    Bi Tekka amfungulia Kesi ya madai Dc wa Korogwe

    HATIMAYE Mwanasheria wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, mkoani Tanga, Bi. Najum Tekka, juzi ametimiza dhamira yake ya kumfungulia kesi Mkuu wa Wilaya hiyo Bw. Mrisho Gambo, kwa madai ya kumdharirisha na kudai fidia ya sh. milioni 96. Akizungumza na gazeti hili jana, Bi. Tekka alisema kesi hiyo...
  18. G

    Ngono yakithiri Makazini

    TUME ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) imeeleza kuwa rushwa ya ngono sehemu za utumishi wa umma ni changamoto mpya, inayochangia kukwamisha juhudi za kupunguza maambukizi mapya ya Ukimwi nchini. Mwenyekiti Mtendaji wa Tacaids, Dk Fatma Mrisho, alisema hayo mwanzoni mwa wiki hii kwenye...
  19. G

    Dkt. Slaa: Sitta ni kielelezo cha mfumo uliooza, mlinda mafisadi na ufisadi

    KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa amesema Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta ni mtu hatari ambaye CHADEMA kimegundua kuwa anaweza kufanya lolote kupata madaraka. Dk. Slaa alisema Sitta hatakiwi kuaminiwa kwa kuwa hata alipokuwa...
  20. G

    Morogoro: Katibu CCM afariki dunia

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro kimepata pigo kutokana na kifo cha Katibu wa Mkoa huo, Asha Kipangula, aliyefariki leo asubuhi katika Hospitali ya TMJ, Dar es Salaam. Habari za kifo hicho zimethibitishwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa, Mhandisi Petro Kingu. Hata hivyo, taarifa za...
Back
Top Bottom