Nilikuwa na rafiki yangu ambaye ni mwanaume naaliwahi kukaa nchi za nje mda mrefu bila mkewe na nilipojaribu kumdadisi mkewe kuw mumewe unawezaezaje kukaa mda mrefu akanitonya kuwa anafanya masterbation kwa maji ya moto.
Sasa jana nimefanikiwa kuoga kwneye nyumba ambayo bomba linatoa maji ya...
Jamani kila siku najiuliza kuhusu mtihani wa mchujo wa utumishi, unakuwa na mhundo gani?
maana watu ni wengi na wanasiku moja ya kusaisha na kuwainterview waliopasi.
Kama kuna mdau amewahi kufanya tafadhali nitoe ushamba
Nyie mnamshangaa huyo.. mie nilibaki mdomo wazi pale ambapo best wangu kipenzi Bibi Mwanahamisi Omari Kitogo mwazo wa mwezi huu alichaghuliwa kuwa mshauri wa Raisi kuhusu mambo ya jamii.
Hata sikuamini macho yangu nikawa namwamboa huenda majina yamefanana maana yeye ni mkadriaji majengo katika...
kuna ndugu zangu wanaishi ikwirir,i kuna mda kulikuwa na tetesi kuwa mashamba yao wamegaiwa wawekezaji wakikorea.. walipo enda Wilayani kweli wakataarifiwa kuwa wilaya Imetenga zaidi ya Eka 3000 kwa ajili ya mwekezaji mkorea na wao wenyewe wakiwa ndani ya hilo eneo bila kupewa taarifa...
wewe huyo ndugu gani ambaye ni lazima muongee uaku wa manane...
/usiku watu wanaongea na wapenzi wao.. kama ndio umewazoesha ndugu zako hivyo waache!!!
alafu hizo form zina ulazima gani hadi muziongelee usiku..
Wanaume mnamambo
makubwa kumbe kuna kufanya writen interview!!!
Vijana hawa wanambo!!
Siku moja nimewaoma walikuja kwetu kuongea na mkurugenzi wa assess watu wangapi wanaitajika..ni vijana wenzetu naamini wanachapa sana kazi... na hawana upendeleo...
Japo kwa maswala kama kuwa na trancript pekee inabidi wawe...
Binafsi nasikitika sana, kuna mambo mengi hapa Tanzania yanayokatisha vijana Tamaa
Mfano Vijana waliomaliza Uclas ukiwa under UDSM then wakaamia ARDHI University mpaka leo kesi yao iko mahakamani na kwa hivyo hawapewi vyeti vyao, na kama unacheti Chako cha undergraduate tangu miaka ya 2007...
Mama Mzee yeye anakisingizio eti yeye akusoma... na kwa sasa anaona umuhimu wa elimu hivyo Mzee kukaa kwa baba yake mdogo kutamsaidia kupata elimu....
Lkn the point ni kwamba ni too late sana kumnyoosha mzee aingie kwenye mfumo wa kiuanafunzi na kumuondoa ujinga ukizingatia Mzee ameshajua hela...
At some point mtu unafikiria .. I would like to help lkn there is no way of helping na kama mama mtu ameshindwa kwa nini mimi ndio huo mzigo uniangukie
Umezaa watoto wako wawili ukiamini wanatosha kwa maisha ya sasa. Mmeo kwa sasa ndio mkubwa kwao na pia wanakaka yao ambaye alikuwa ni mkubwa kwake akafariki na kuacha mototo mmoja wa kuime jina MZEE, mama MZEE aliondoka na mwanae baada ya mmewake kufariki. Mama MZEE baada ya kufiwa na mme...
ni bora usingejibu kabisa, kuliko kuja kuandika haa mapunda yanayotoa picha ya jinsi akili yako ilivyo finyu na umetawaliwa na uCCM badala ya Taifa.
Mapunda ya hivi uwe unaishia kumweleza mkweo na sio jamii
NONE SENSE MAN
Huyu hana tofauti na ndungu yangu mie, anadai house girl wake anamkumbusha maisha aliyoishi kwao..lkn for hard working ameweza kuyaepuka .. kwa hiyo housegirl wake ni mzembe kuishi maisha hayo..na hawezi kumheshimu
Jamani wana jamii,
Nimetokea kuona kupitia kwa marafiki zangu wa uganda., wanaoshiriki kwenye grand challenges za Canada.
walinitaarifu niwapigie kura kwenye aplication zao..
baada ya kuangalia nikaona application hii ya Tanzania nikaipenda sana... Nadhani idea ni nzuri na very creative..
Grand...
Mdau tunaweza kupata na wema sepetu.. maana na yeye ni wale wale viingireza vingi vya kuchomekea
. ni vyema na yeye tumjue kabisa maana na yeye alikoswa koswa kuwa ndio lulu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.