Search results

  1. M

    Madampo ya Maji taka jijini Dar es Salaam

    Mabibo nako hakutumiki.
  2. M

    Madampo ya Maji taka jijini Dar es Salaam

    Serikali hadi leo hii haijato tamko kuhusu haya madampo kufunguliwa hali ni mbaya sana hata kwawenye sehemu za biashara kama mabaa na mahotel hali sio. good advise @ kabindi. Ila sasa wakuchukua huo ushauri na kuufanyia kazi ndo pagumu hapo.
  3. M

    Madampo ya Maji taka jijini Dar es Salaam

    Maajabu mengine jijini Dar es Salaam, katika pitapita yangu nimekutana na wananchi wanalalamika wanaitaji magari ya maji taka yafike kuwanyonyea vyoo vyao vimejaa na wenye magari wamegoma maana hawana sehemu yakumwaga majitaka maana madampo yamefungwa ghafla, madreva wamedai dampo la tabata...
  4. M

    Uchambuzi wa dr. Lwaitama kuhusu sakata la Zitto na maamuzi ya kamati kuu ya CHADEMA

    Udini udini udini lini tutabadilika jamani!!!!!!?????
  5. M

    Pendekezo: CHADEMA muwasamehe Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo

    Hakisamehewa tabia haina dawa atasaliti tu bora ajiunge na chama kilichompa utajiri.
  6. M

    Pendekezo: CHADEMA muwasamehe Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo

    Wameumia maana lengo lao halikutimia sasa ni bora wampokee ccm akawe mbunge uko wasaliti cdm hawana nafasi.
  7. M

    Mama Zitto atoa ya moyoni, alitamani mwanaye afukuzwe CHADEMA

    Wanataka blue ibadilike iwe nyeupe.
  8. M

    TAMKO rasmi la Ndugu Zitto Z. Kabwe kuhusiana na kinachoitwa "Taarifa ya Siri ya CHADEMA"

    Mimi sikutegemea majibu tofauti na Zitto aliyoyaweka hapa! pesa mbaya sana.
  9. M

    CHADEMA Ianzishe mabadiliko ya Ndani, Vinginevyo kuiondoa CCM 2015 ni ndoto - Sehemu ya 1

    Mtaweweseka sana lakini ukweli utabaki pale pale msaliti ni mwiba mkari sana ndani ya kundi flani.
  10. M

    Tundu Lissu, ni aibu jamani

    Kavaa vizuri au vibaya haitusaidii sisi wananchi tunachojari ni mchango wake bungeni, wabunge wengi wanavaa vizuri misuti kwa misuti lakini wanaishia kusinzia bungeni nakukurupuka na NDIOOOOOOO hasijue hatakilichiongelewa yeye ni ndioooo tu.
  11. M

    novemba ni mwezi wa kuwakumbuka na kuwaombea malehemu wote

    R.I.P my parents na marehemu wote.
  12. M

    novemba ni mwezi wa kuwakumbuka na kuwaombea malehemu wote

    Kusoma na kupita ni busara zaidi kama wewe sio muumini wa kile kilichoandikwa na mleta mada kuliko kukashifu na kuandika utumbo.
  13. M

    kampuni iliyoingiza samaki walioaribika toka china yatozwa fine ya million moja tu.

    Ukistaajabu ya musa....... Hiyo biashara ya samaki inaendelea kama kawaida na samaki wa aina hiyo hiyo mtaani Sioni sababu yakuingiza samaki katika nchi yenye mito,ziwa na bahari.Sijui watoa vibari wanamaana gani katika ili swala.
  14. M

    Mtoto acheza juu ya meza ya Papa Francis I ona hiyo utapenda

    So interesting! asiyependa watoto anatakiwa kupimwa akili kwanza lazima roho yake iwe mbaya.
  15. M

    Mwanamke mmoja apigwa risasi TRA jijini Arusha

    Utasikia askari kaamishwa mkoa nakushushwa cheo kama anacheo badala ya kumpongeza kwa kazi nzuri. Big up motivated afande.
Back
Top Bottom