Search results

  1. O

    Nape ,awapa tano' mawaziri waliojiwajibisha

    Tatizo la watanzania hawasemi ukweli tatizo siyo mawaziri, Mbona huko nyuma Watu walikuwa hawatendi haya, nadhani kuna udhaifu wa kiuongozi unaofanya Watu wajione miungu watu
  2. O

    Katiba ijayo itoe haki kwa wananchi kumiliki ardhi na uwezo wa kuitumia ardhi yao kama mtaji

    Katika katiba ijayo wananchi wapewe haki ya kumiliki ardhi na kuitumia kama mtaji wa kujipatia hisa katika uwekezaji pale wawekezaji wanapotaka kuitumia ardhi hiyo. Hii itawawezesha wananchi kuwa na kipato endelevu inayotokana na ardhi yao waliyopewa na Mungu badala ya mtindo wa sasa ambapo...
Back
Top Bottom