Search results

  1. T

    Lowassa na kundi lake la CCM walikwamisha Katiba ya Warioba sasa wanaililia baada ya kuwakata

    ... CCM kamwe haiwezi kukubali katiba itakayoitoa madarakani, pili Maslahi ya Kanisa katoliki yemfungamana kwenye mfumo wa Serikali ya CCM jambo linalopelekea CCM kubaki Madarakani as long as Kanisa litaendelea kuwa na waumini wapumbavu. Tatu watanzania ni wajinga sana, suala la uchaguzi...
  2. T

    Mbowe atolewa nje ya bunge

    Kafanya gani? funguka
  3. T

    Bunge kupiga kura kuamua ama kuendelea au kuahirisha mjadala wa marekebisho ya katiba

    wanataka wale wote wa CCM waliosema HAPANA/SIONI washughulikiwe kama yule jamaa yetu wa Zenji
  4. T

    Bunge lijadili kwa dharura hali ya usalama ,polisi wamezidiwa

    mhhhh duuuuu laaaaaaaaaaaa eeebwanaaaaaaaaaeeee
  5. T

    William Lukuvi amvua nguo Tundu Lissu

    Umeandika kishabiki sana, kumbe kajibu hoja lakini wewe unapamba, wangapi wamedanganya na hawajafanywa kitu, nawe hapa JF lazima uchukuliwe hatua kali za kiuandishi.
  6. T

    Tumekwisha: Mke wa Ndoa ataka kumuua mumewe arithi mali

    Wanauwawa wengi tu, huyu ana bahati sana, na kwataarifa yako zaidi ya 60% ya vifo vya magetini ni women planned
  7. T

    Tuhuma nzito kwa CHADEMA: Barua yao ya kuhujumu nchi yanaswa!

    Sio hasa hizi, ugaidi wamevuka tafuta mabaya yote lakini kama hawajafanya laana zote hawatapata.
  8. T

    Membe: Tutawashinda Malawi katika mgogoro wa Ziwa Nyasa

    Kumbe na Msumbiji waligombea ziwa? wamezoea hao
  9. T

    Matokeo ya matokeo form iv 2012 kufutwa ccm imejichanganya

    Serikali lazima itulie na iangalie maamuzi yake yatakuwa na athari gani baadaye na siyo kufikiria sifa za leo tu, itafute ni kwanini tumefikia hatua hii? Asante
  10. T

    Kufutwa kwa POAC kuna siri nzito

    Pole sana kaka POAC-Parastatal Organizations Accounts Committee-Mashirika ya umma PAC-Public accounts Committee-Serikali kuu n a idara zake Njoo usome Government accounting utaelewa sana mambo ya bunge mzee Kuna watu wanatuuliza wanasema POAC za Zittio iliyovunjwa ni Gari au Nyumba?
  11. T

    Meya Jerry Silaa kweli hulijui hili....?

    Pole Sana, Heading yako Myeya ni nini na Jrrry una maan ya Jerri? pls clarify before i come for further actions
  12. T

    Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

    Huyu Jamaa namjua anameza sana notise za mwalimu lakini hana uwezo wa kusolve swali jipya, ndiyo maana hata leo hii akiambiwa kitu anatapika kama kilivyo kwa wapinzani bila kupima kina mdhara gani baadaye, he can not reason, simply is a poor in future thinking
  13. T

    Wassira kama Tyson, aandaa kuumiza Taifa aingie Ikulu!

    Hata mimi naogombea kweli nawambia!!!!
  14. T

    Rage: Hivi Haya Ni Kweli Jamani?

    Wote wanaopinga hii hoja ya kuhoji uraia ni WAPAMBE wake, ndiyo maana wanataka nchi ishikwe na wakimbizi kama watz original hawana akili!! wanatoa povu kutetea bila sababu!!! kunaubaguzi gani hapo?
  15. T

    Deogratius Kisandu wa BAVICHA ajiuzulu uanachama CHADEMA

    Huyo ndiyo nani? mbona hata jina sijawahi kulisikia na anajihisi anaweza kugombea urais, dahh kweli very simple anaota ndoto za mchana. Mwache aende zake kashindwa kazi aliyotumwa.
  16. T

    Badhi Ya Viongozi Zanzibar Wameamuwa kutojishabihisha Na Uisilamu

    Mambo ya Imani hayana majibu, naomba muachane nayo ongelea vitu vingine pls
  17. T

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    Wazanzibari wanafaidi zaidi kuliko wabara, angalia hatawakitangaza nafasi za kazi lazima waweke sharti kuwa muombaji awe mzanzibari ilihali bara hatuweki sharti kama hilo.
  18. T

    Mpaka wa Tanganyika na Zanzibar (Muungano ukivunjwa)

    Bahari yote ya Zanzibar
  19. T

    Kujiongelesha

    msikilize
Back
Top Bottom