umeuliza swali zuri. Kwa kawaida serikalini mshahara hautumiki kulipia huduma nyingine Kama umeme, maji nk. Malipo ya huduma hizo hufanywa kwa OC. fahamu pia kuwa mshahara hewa ni ule ambao mtumishi ni mtoro au amestaafu au amefariki Lakini anaendelea kulipwa. Kwa utaratibu mshahara wa aina...
U
Umri. He is about 70. Parseko Kone, Kandoro, Msangi, Machibya hawa wote wamefanya Kazi vizuri lakini umri unataka wapumzike ije damu mpya.
Remember Mbwilo alikuwa msaidizi wa mzee Kawawa Enzi hizo.
Inatufundisha mambo mengi kama ifuatavyo:
(i) ni lazima tujipende na tuipende nchi yetu
(ii) kwamba wanaopaswa kusikiliza na kuelewa hotuba zetu ni watanzania kwa manufaa yao
(iii) kutambua kuwa ni kichekesho mwenzio anazungumza lugha ya kwao kwa faida ya wananchi wake wewe unahangaika...
Before the appointment, Eng Kijazi was the Tanzania High Commissioner to India.
He previously served as Permanent Secretary in the then Ministry of Works when President Magufuli was a minister in the docket. Born on November 18, 1956, Eng Kijazi has a Bachelor of Science in Civil Engineering...
Maoni mazuri. Nisaidie hivi NEMC hawahusiki na sehemu nyingine za nchi? Sijasikia mipango yao ya kuvunja nyumba zilizojengwa kando ya ziwa Victoria. Hasa mwanza. Capripoint, mwaloni, etc. Au waliovamia hifadhi ya Mlima Kilimanjaro , Kingo za mto ruaha Kama migoli na izazi. Kilimo kinachoendelea...
Kwa taaluma. Kwa maana ya elimu yake yote Sifuni ni mbobezi wa sheria. Angefaa zaidi kuwa Jaji au katibu mkuu wizara ya sheria badala ya kusimamia elimu. Ni tofauti sana na Ndalichako ambaye by background ni mwalimu. Kitu cha Muhimu sana ambacho Ndalichako inabidi asaidiwe ni kupata mtu wa aina...
Fika uwaulize mapato ya uwanja huo na kwanini mfumo wa kukatia tiketi uliowekwa na crdb kwa milions ulikufa. Waulize pia crdb watarudishaje fedha hiyo iliyopotea
Ukurugenzi ni cheo cha madaraka ambacho Mamlaka ya uteuzi wake ni Rais. Hivyo, kwa majibu wa sheria ya utumishi wa umma, na.8 ya 2002 Rais anaweza kutengua uteuzi Huo akiona haridhishwi na mwenendo wa Utendaji kazi. Anayo pia Mamlaka ya kuvunja bodi za Wakurugenzi. Anaweza pia kumsimamisha...
Acha kueneza chuki na kufarakanisha taifa. Nani kasema watu wa Kilimanjaro na Arusha wote ni CHADEMA? Kuna wana CCM wengi tu. By the way wote ni watanzania. Ni hatari kuitazama Tanzania kwa upeo wa ukanda ukanda, ukabila kabila.
Nimekuwa nikitafakari kwa kina na kujiwa na wazo kuwa uchaguzi uliopita ulikuwa na agenda nyingine maalum ya kuhakikisha wapinga Ufisadi Mara Hii hawaingii bungeni. It was deliberate. Tazama Filikunjombe is no more. Sendeka, Kafulila, Kilango, Lembeli, Mtemvu, Wenje, Baruani, Mkosamali na...
Ni vizuri kuwe na baraza dogo lenye wizara zisizozidi 17. Lenye mawaziri Kama ifuatavyo:
Waziri Mkuu- Harrisson Mwakyembe
Waziri wa M/Nje na Ushirikiano wa Kimataifa- Asha-Rose
Waziri wa Ulinzi - Hussein Mwinyi
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii-
Waziri wa Habari na Mawasiliano- Prof. Mbarawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.