Search results

  1. Fortilo

    Hakuna Kauli mbovu na ya kizembe niliyowahi kuisikia kama hii ya "Tafuta Hela"

    One of the most reckless statement ever... Kauli ya kizembe sana.. Mtu anafanya kaz serikalin au kwa Kampuni binafsi unamwambia tafuta hela? Unataka aibe au? Na hii kauli ya reja reja sio ya bahati mbaya, ni ya machekbobu wanaotamba kwenye mitandao na scraps za dola 10-15k. Hii kauli inakuwa...
  2. Fortilo

    Kwanini shutuma zote za wizi na Ubadhirifu awamu ya sita hazijibiwi?

    Wakuu Salam, Hakuna kipindi kigumu serikali ya awamu ya Sita inapitia kama hili la kuitwa wezi na wabadhirifu. Hizi shutuma ni kubwa na kama sio kumbeba Magufuli kimzobe mzobe 2015 almanusura CCM iteme bungo. Sasa ivi shutuma ni nyingi na " wanafiki" wame mute na wamegeuka " chawa" ili...
  3. Fortilo

    Ni mkakati wa kumuangusha Rais Samia kisiasa?

    Kuna mambo yanaendelea nchini unajiiza hizi Habari kwanini zinatoka sasa bila maelezo? Mawaziri viburi na majibu ya rejareja kwenye mambo mazito yanayohitaji utulivu wa akili. Mambo haya yafuatayo yanamfanya Rais aonekane anatoa maelekezo kwa manufaa ya wachache wasio na uchungu na taifa...
  4. Fortilo

    Mchengerwa: Yeyote atakayejaribu kuichezea Serikali hatutamuacha salama

    Mchengerwa ameyasema hayo akiwa Rufiji mkoa wa Pwani. Swali. Hivi nchi hii nani anataka kuvuruga amani? Na Mchengerwa anadhani anatisha wengine yeye kama nani, yeye sio IGP, RPC wala sio waziri wa mambo ya Ndani. Hii kibri anapata wapi? "Yeyote atakayejaribu kuchezea serikali...
  5. Fortilo

    Hawa hapa 30 bora,(Top Bongo Music Beast) watoto wa mjini, bila hawa Bongoflava isingekuwepo

    Hii hapa ni list ya wasanii wa bongo hiphop, kizazi cha zamani kilichoshine wakati wote.. waasisi wa Bongoflava. Kipindi hicho Tanzania kukiwa na radio tatu tu na TV moja ya burdani, yes *EATV Credits to MJRecords, Bongo Records.... Mambo yalikuwa sawa sana mpaka pale muovu alipoingia...
  6. Fortilo

    Wananchi Lushoto warudisha kadi za CCM kukosa imani na viongozi, Tazama video

    Katika hali iliyotabiriwa, na inayotabiriwa kuelekea 2025, wananchi wa Lushoto warudisha kadi za chama kwa madai ya kutoridhika na utendaji kazi wa viongozi wa wilaya na vijiji. ----- Hali hii naomba chama kianze kuidhibiti mapema kwa kufanya kazi mara mbili zaidi kuelekea uchaguzi mkuu...
  7. Fortilo

    Alilaumiwa Magufuli kuhusu Maded: Leo Samia afukuza Kazi maded walioruhusu Kadi za CCM kurudishwa

    Najiuliza wajibu wa MA DED na DC ni kulazimisha wanachama kubaki CCM? Chadema mliingia kwenye Maridhiano kichwa kichwa, haya lazima yawatokee puani 2025 kama ilivyokuwa 2020. Bila kukomaa na Katiba mpya msahau uchaguzi huru na haki.
  8. Fortilo

    Gazeti la Mwananchi linatumika kuhujumu wafanyabiashara wadogo wadogo nchini?

    Kwa wafuatiliaji wa gazeti la Mwananchi kwa Muda mrefu watakubaliana na mimi kwamba, Hili gazeti linapoteza umakini wa habari kadiri siku zinavyoenda. Gazeti pengine linalopendwa na kusomwa na wapenzi wengi wa Magazeti nchini nikiwemo. Kwasasa kuna Habari wanatoa kama vile ni agenda...
  9. Fortilo

    Wanawake msikate tamaa, mwaka 2018 nilivunja ndoa ya dada yangu. Tuna vijana wa hovyo sana kama taifa

    Wakuu Habari, huu uzi ni wa kuwatia moyo kina Dada walioamua kuachana na wanaume malofa na kuamua kufuata ndoto zao. Ipo hivi; Nina Dada yangu nampenda sana, baada ya kumaliza masomo tukamsisitiza aendelee kupambana na masomo apate kaz nzur, kama wenzake. Akakataa akasema anataka aanze na...
  10. Fortilo

    Moshi, The most underrated city in Tanzania. Angalia maoni haya mzungu, ni safi kama Kigali, ameipenda kuliko Nairobi

    Wakuu umofia kwenu, Pengine ukimya wa watu wa Moshi na roho yao ya Maisha popote ndio inafanya wasidai moshi yao kama ilivyo. Angalia mawasiliano ya huyu mzungu anavyoisifia Moshi. Kwamba anashangaa kwanini inasifiwa Arusha pekee na sio Moshi? Serikal yenyewe inapeleka mirad yote ya...
  11. Fortilo

    Familia ya Karume imetengwa?

    Familia ya mzee Abeid Amani Karume imetengwa na mfumo wa Chama tawala? Kumbuka CCM ina tabia ya kuwabeba sana watoto wa viongozi wastaafu na kuwapa nyadhifa mbali mbali, na hata isipotosha huwanyooshea njia zao kwenye biashara au kaz wanazofanya. Vip kwa Familia ya Karume? 1. Karume Jr, Rais...
  12. Fortilo

    RC Adam Malima ashauri Serikali kuwa makini kwenye Mkataba wa DP World, ili tusipigwe kama kwenye Mikataba ya Madini

    Akizungumza katika kipindi cha Good morning Wasafi FM, Malima ambae marehemu baba yake aliwahi pia kuwa waziri wa fedha kipindi cha Nyerere, amesema Kinachopingwa sio ufanisi wa bandari bali ni vipengele vya mkataba, na huko nyuma, 1998 Tanzania iliwahi Ingia mikataba mibovu ya madini, na...
  13. Fortilo

    Tunaweza mlaumu sana Rais Samia kwa hili, lakini hii nchi iliharibiwa sana na watangulizi wake, ni ile tu ukweli hausemwi

    Wakuu umofia kwenu. Niende moja kwa moja kwenye Mada... Nianze na lawama kwa watu wa serikali, na hasa kina Msigwa, kukwepa wajibu wao wa kusema ukweli, badala yake wanalipa hela nyingi wapiga porojo( nazungumzia hili la DP world) Tanzania nchi yetu kwa bahati mbaya sana ni nchi yenye...
  14. Fortilo

    Mshtuko: Bajeti ya Wizara ya Elimu Zanzibar ni karibu nusu ya Bajeti ya Elimu Tanzania Bara

    Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Bi. Leyla Mohamed, leo amewasilisha bajeti ya wizara yake na kuomba kuidhinishiwa kias cha shilingi 457B. Wakati hapo nyuma Kidogo Wazir wa Elimu Tanzania aliomba kuidhunishiwa kias cha Shilingi 1.55Trln. Nikiwa natambua kwamba Elimu ya Juu ni jambo...
  15. Fortilo

    Hivi unapima mtoto 'DNA' ili iweje?

    Wakuu Salam, Kuna ndugu yangu ananiomba ushauri kwamba mke wake amejifungua ila anahisi mtoto si wake, hivyo anataka kupima DNA ili ukwel ujulikane. Nimemwambia kama utani, kwamba wewe unajua vip kwamba baba ako ndio ni baba yako kweli? Angepima DNA ingekuwaje, jamaa kaniletea blah blah za...
  16. Fortilo

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni: Katika Mgomo wa wafanyabiashara, kosa la Mwigulu Nchemba ni lipi?

    Wakuu Salam, Naomba nitangaze maslahi, mimi ni mfanyabiashara, nipo Kariakoo, nje ya Kariakoo na mkoa wa Pwani. Malalamiko yetu wafanyabiashara mengi ni justifiable, lakini hili la kumlaumu Mwigulu Nchemba bila supporting evidence is ungrounded. Kuna watu wanatumia udhaifu wa migogoro ya...
  17. Fortilo

    Kama una pesa kuishi Kanda ya Ziwa bila silaha ni kujiweka wazi kabisa na kifo

    Wakuu Habari. Nimebahatika kuishi na kufanya kaz Kanda ya ziwa kwa muda mrefu kidogo. Ipo hivi, Kanda ya ziwa ni eneo lenye watu wakarimu sana.... tatizo ni moja, wengi sio waeelewa kwenye masuala anuai, hivo kuhatarisha maisha ya mtu ikiwa tu mtatafautiana mitazamo katika...
  18. Fortilo

    Tanzania yapata mkopo wa nyongeza Dola Mil 153 kutoka shirika la fedha duniani (IMF)

    Kwa Mujibu wa handle ya Twitter ya Tanzania Business Insight, Tanzania itapokea mkopo wa dharura na haraka wa $153M kwa ajili ya ku support budget yetu. Katika marejeo ya Shirika hilo la fedha duniani, inaonekana Tanzania inafanya vizur licha ya changamoto kubwa za uchumi duniani . Sasa...
  19. Fortilo

    Mahakama yaamuru Mali za Maxcom Afrika zipigwe mnada

    Kwa wanaokumbuka kabla ya 2015 hivi. Hii kampuni ilitamba sana bongo na kuwezesha malipo ya Serikali, wakuitwa MaxMalipo... Story yao kwa sasa inasikitisha kidogo, baada ya bank ya Stanbic kuiburuza mahakamani wakidai walipwe malimbikizo ya deni la Bil 12. Mahakamani walijitetea kwamba baada...
  20. Fortilo

    Wakati magari mengine yakitupwa na kutelekezwa, Tamisemi waomba magari ya Bil 16, kununua magari 81

    Wakuu Salam, Hata kama nchi haina vipaumbele, hata umasikini wa watu wetu hatuuoni? Katikati ya kutupa magari tunanunua megine...? Kairuki kaomba mengine ya bil 16, magar 81. Tizama video ya magari yaliyotupwa👇 ====== Waziri wa TAMISEMi, Angellah Jasmine Kairuki amewasilisha Bungeni...
Back
Top Bottom