Search results

  1. K

    Kwanini Nyerere hakumkubali Lowassa?

    Lowassa hawezi kuwa rais laana inamwandama
  2. K

    My Political Analysis:- The Ndoto Ya Lowassa & Its Syndrome!!

    Hakuna kitu kibaya kama umaskini wa fikra. Hakuna kitu kibaya kama kupenda ubwete. unaweza kununuliwa kila kitu kuanzia ubongo na hata mwili wako. Mavi ukalazimishwa uyaite pilau. NDIVYO ILIVYO KWA MAKUWADI WANAOSHABIKIA MAREJECT YALIYOKATALIWA NA NYERERE PALE YALIPOJARIBU KUOTA NDOTO ZA URAIS...
  3. K

    Sumaye Fredrick asisahau haya wakati wa utawala wake

    Ujinga mtupu, siasa za majitaka na uchumia tumbo. Hyo bwana wenu atawalamba hadi jicho.
  4. K

    My Political Analysis:- The Ndoto Ya Lowassa & Its Syndrome!!

    Wewe Pasco unayemwambia mwingine aachane na Lowassa unamaanisha? Wewe ni nani umzuie mtu aliye na haki ya kutoa maoni juu ya watu wanaotafuta uongozi wa nchi? Wewe ni nani unayesimama kumsemea Lowassa? Lini na wapi huyo mzee Malecela amesema anamtu anayemuunga mkono kwenye mbio za urais 2015...
  5. K

    Mwenyekiti wa Wenyeviti wa CCM aunguruma

    Anayebwabwaja kutaka urais, alikataliwa na Baba wa Taifa kuwa si mwadilifu wala mzalendo. elimu bora na maisha bora yanaletwa na viongozi waadirifu na wazalendo. sasa kama hana hizo sifa, maneno hayo si danganya toto? mtu anayetafuta uongozi kwa kumwaga pesa ambazo vyanzo vyake havieleweki...
  6. K

    Rais Kikwete asamehe wafungwa 1475

    unayesema eti JK awaachie Nguza na mwanae wakati Mahakama za chini hadi za mwisho kabisa ziliwaona wanahatia, unamaana gani? Mbona huwazungumzii wafungwa wengine waliohukumiwa kwa makosa ya kubaka na kutaka waachiwe? Ulitaka wakubake wewe au mkeo ndio uamini kwamba walibaka? JK analipiza nini au...
  7. K

    Kusamehe na kutolipiza kisasi, J. KIKWETE anaweza?

    Jibu ni ndiyo, anajua kusamehe. Unadhani u rais ni sawa na kupiga hizo porojo zenu? Gazeti la Mwanahalisi lilifungiwa na Kikwete? Kama Mwanahalisi wanadhani hawakutendewa haki, waende Mahakamani. Nimedhalilishwa sana, nimefezeheshwa sana, nimeumizwa sana na nimehenyeshwa sana katika hili. Mie...
  8. K

    Jumuiya afrika mashariki: Tanzania inastahili kutengwa

    Mtoa hoja ni nani kwa Kibaki na Uhuru kiasi cha kujua majadiriano na makabidhiano yao juu ya ubabaishaji wa Tanzania kwenye EAC? Kama anaweza kufahamu mambo ya ndani ya marais hao, kwa nini watu kama mimi tusiamini kuwa huyu si Mtanzania, na kama sivyo ni mamluki au si mzalendo? Wewe mtoa hoja...
  9. K

    Jumuiya afrika mashariki: Tanzania inastahili kutengwa

    Mtoa mada acha kuleta porojo zako zisizo na maana. Wewe ni nani kwa hao marais wa Kenya Kibaki na Uhuru kiasi cha kuweza kujua walijadiriana na kukabidhiana nini kuhusu JK na ubabaishaji wa Tanzania kuhusu EAC kama unavyodai? Nani kama Tanzania kwa raslimali na fursa za kiuchumi kwa nchi za...
  10. K

    Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

    Jembe la kuzolea mavi, jembe la kukwapua raslimali za Taifa. Ndio maana Nyerere alisema halifai kwa urais.
  11. K

    Lowassa huoni hata haya umekuwa kama ndege aina ya tai, eti maamuzi magumu?

    Kama wewe unaaamulia watanzania wote kwenye chumba cha kupigia kura basi atakuwa rais. ri fithati likubwa lilikataliwa hata na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere. Kilichomnyoa mzee malechela kufikia ndoto zake za urais, kitamnyoa huyo ma mvi. Maamuzi magumu aliyokwisha fanya yeye ni kutuingiza mkenge...
  12. K

    Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

    Kweli ni jembe la; 1. Kuzolea mavi 2. Lililoiba raslimali za Taifa letu. Maana haliwezi kueleza jinsi lilivyopata mali hizo. 3. Lililotuingiza mkenge kwenye kashfa ya Richmwendu, likajipiga chini huku likililia uwaziri mnene. 4. Lililotaka kutuingiza mkenge mwingine eti kuleta mvua kutoka...
  13. K

    Rais Kikwete awasili Afrika Kusini kuhudhuria mkutano wa Amani katika Maziwa Makuu

    Kuna ajabu gani Kiongozi wa nchi kuhudhuria kikao cha wakuu wa nchi husika? Kama huna hoja bora kunyamaza badala ya ku post matapishi. Ziara za Rais zinawakera sana maana zinazaa matunda. Mtakosa cha kuzungumza 2015 na siasa zenu za maji taka.
  14. K

    Sumaye amuunga mkono Kikwete rushwa CCM

    Alichokisema Sumaye ndio ukweli japo ni mchungu kama kwinini. Kwinini ni chungu sana lakini inatibu. Hivyo mnaotoa mapovu kwa kukosoa bila hoja za msingi, dozi imeshawaingia mtapona tu polepole. Wakiwemo mafisadi na wauza unga ambao wanadhani kwa fedha zao ambazo pia hawawezi kuzitolea maelezo...
  15. K

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Ukikataa kutii, utalazimishwa tuu, utapata kisago tu.
  16. K

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Hoja yako ni ya msingi. Nauliza haya; 1. Kuna tamko gani lililotolewa na Serikali kwamba sheikh Ponda ni mtu hatari kwa usalama wa Taifa? 2. Mbona hujakosoa CD na matamko yanayoashiria ubaguzi wa kidini ambayo amekuwa akitoa Sheikh Ponda kwa muda mrefu au hizo ndio njia sahihi za kudai haki ya...
  17. K

    Ni Kweli Sheikh Ponda Ndio Suspsect Wa Waliomwagiwa Tindi Kali Zanzibar?.

    Tunajidai kujua hata kazi tusizosomea na ambazo hatuna ujuzi nazo.Wewe una uhakika gani kama huyo Sheikh Ponda si mtuhumiwa wa tukio hilo? Tusipende kukosoa kila jambo linalofanywa na vyombo vya dola kwa vile tu vinamapungufu katika utendaji wake.
  18. K

    Mtazamo: Mashambulizi ya "kigaidi" ya ulipizaji visasi sasa tuyatarajie kwa vigogo na polisi

    Kuwangisha kichwa kwa jambo ambalo halina kichwa wala miguu, ni kukosa kazi ya kufanya. watu tangu jana mnaleta maneno na misemo ya kila aina. Swali langu, nani kathibitisha sheikh ponda kapigwa risasi? kama hakuna, wekeni hata picha ya tukio au huko aliko ikionyesha majeraha. Tusishupaze...
  19. K

    IGP agoma kujiuzulu, DPP amgeuka Dk Ulimboka

    Poleni wahusika wote. inasikitisha lakini kulaumu, kuzomea, kukejeli. It doesn't help anything. Bora sasa Serikali imeona umuhimu wa kuchukua hatua. Tusubiri utekelezaji
Back
Top Bottom