Search results

  1. Jackal

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Jamaa ana kipaji cha uzinguaji singanojr
  2. Jackal

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Mpaka Sasa mafanikio ya Drones na missiles zilizorushwa na Iran kushambulia Israeli 🤔 .... Iran’s achievements in the attack against Israel: 1. Wounded Muslim girl. 2. Three missiles fell in Jordan. 3. At least one rocket fell in Iraq.
  3. Jackal

    Iran kazabuliwa kofi la uso yeye karudisha kwa kumsukuma tu Israel

    Drone ya Iran yakwama kwenye nguzo ya umeme nchini Iraq. Wavaa vipedo, misuli na makobazi eti wanashangilia Israeli kushambuliwa na Iran hata kama hakuna madhara 😂 .... https://t.me/hnaftali/8893 kimsboy Ritz FaizaFoxy Alwaz @greenrajab Mathanzua
  4. Jackal

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Wavaa vipedo, misuli na makobazi bhana. Hata wakifeli kwenye missions zao wanashangilia🤔 Hii drone yao imekwama kwenye nyaya za umeme nchini Iraq 🤔 One of the Iranian drones got stuck in electric pole wires in Iraq. https://t.me/hnaftali/8893
  5. Jackal

    Iran kazabuliwa kofi la uso yeye karudisha kwa kumsukuma tu Israel

    Kuna mambo analaumiwa chief Hangaya ni uonevu kabisa 🤔
  6. Jackal

    Iran kazabuliwa kofi la uso yeye karudisha kwa kumsukuma tu Israel

    Mpaka Sasa kwenye huu mtanange Israel inaongoza moja bila dhidi ya Iran. 99% ya drones na makombora toka Iran yamedunguliwa. Israeli imepata green light kushambulia Iran especially vinu vya nyuklia 🤔
  7. Jackal

    Mke wa zamani wa Ricado Kaka afunguka sababu za kumsaliti mume wake, adai utakatifu wa Kaka kwake ulimboa

    Ni pale mwana wa Mungu anapooa mwana wa ibilisi, "Wana wa Mungu ni dhahiri na wana wa ibilisi pia" 1Yohana 3:10
  8. Jackal

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Bibi Tarabushi,Unashabikia?!!! Israeli wakianza Kuretaliate wewe na wavaa vipedo na misuli wenzako msianze kudai Israeli inaua raia wasio na hatia wanawake, watoto na wazee 🤔
  9. Jackal

    Ushahidi wathibitisha Serikali ya Iran kuipatia Hamas shs 500,000,000,000 ili kufadhili shughuli zake za kigaidi

    Kumbe ni halali balozi zake kushambuliwa na Majenerali wake kuuwawa. Ndio hutumika kama vichaka vya kufanya hizi transactions 🤔
  10. Jackal

    Shekh Zuberi Mufti wa Tanzania ni wazi anahitaji msaada

    Bila Bakwata kungekuwa na vurugu mechi huko upande wa pili. Bakwata imesaidia sana serikali kuleta amani nchini. Hao wavaa vipedo, misuli na makobazi ni watu wa vurugu sana. Dunia nzima inajua 🤔
  11. Jackal

    Dkt Sule: Baba yangu alifungwa kwa kuwa na colgate

    Kwenye utawala wa Nyerere kulikuwa na magumu mengi sababu ya vita vya ukombozi kusini mwa bara la Afrika. Wakati Tanzania ilikuwa ikisaidia nchi za kusini(Zimbabwe, Afrika ya kusini, Namibia, Msumbiji, Angola), kujikomboa dhidi ya utawala wa Makaburu wa Afrika kusini. Makaburu hawa walisaidiwa...
  12. Jackal

    Nanunua nguo kila ninapokutana na machinga hata kama sizihitaji, nifanyeje kuondokana na tabia hii?

    Wakati mwingine huwa tunanunua vitu kwa watu ambao ni less privileged sio kwa sababu tunahitaji. Tunafanya hvyo ili kuwapa support na ni namna vilevile ya kugawana riziki kwa wenye uhitaji. So keep it up bro, Mungu akubariki🤔
  13. Jackal

    Dkt. Kigwangala: Ningekuwa kwenye Research au Chuo Kikuu ningeshakuwa Professor sasa lakini hapa nilipo natukanwa tu na Vijana

    Wanyamwezi ni Masnitch sana ndio maana wengi wapo tiss kuendeleza unoko 🤔
  14. Jackal

    Iran inaripotiwa kupanga kushambulia Israel kwa kutumia ndege zisizo na rubani

    Hivi viongozi waandamizi wa kijeshi wa Iran, Majenerali, huwa wanafanya nini kwenye nchi hasimu za Israeli, Syria na Lebanon, kama Sio kupanga hujuma na ugaidi dhidi ya Israeli? Kwa hiyo Israel ikae tu ikiangalia bila kufanya lolote? 🤔
  15. Jackal

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Israeli ina refusha vita vya Gaza ili kukomesha Iran proxies. Sasa hivi Israeli hata ikishambulia Syria na Lebanon Kunakuwa hakuna makelele mengi, manake inakuwa ipo vitani 🤔
  16. Jackal

    Je, tukisema Ole Sendeka anamfahamu aliyemshambulia tutakuwa tunakosea?

    Kwa mantiki hii ina maana kuna wakati mwingine CCM hushambulia watu ila Sio kwa tukio hili la Ole Sendeka? Je, CCM ina Kikundi cha Kigaidi kinachoshambulia watu? Naita Kikundi cha kigaidi manake najua CCM kama chama hakina jeshi rasmi wala polisi🤔
  17. Jackal

    A-Z ya kinachoitwa michango ya kumchangia Rais Samia pesa ya kuchukua fomu ya kugombea Urais 2025

    Kwa hiyo unatueleza kwamba chief Hengaya anakubalika? 🤔
  18. Jackal

    Love juakali alivyomlipa Wema mwanamke mwenzake aliyedai hampendi kwasababu ana sura na umbo baya

    Wewe mtazamo wako ni wa kibinadamu. Mungu haangalii kama mwanadamu anavyoangalia. 🤔
  19. Jackal

    Love juakali alivyomlipa Wema mwanamke mwenzake aliyedai hampendi kwasababu ana sura na umbo baya

    Thamani ya mtu haipo kwenye mtu wa nje (mwili) bali ipo kwenye mtu wa ndani (roho na nafsi) 🤔
  20. Jackal

    Je, ufanye nini kwa waliokuwa wakikudharau, wakikucheka, wakikusanifu na kufurahia mapito yako maishani pale mwenyezi mungu akikubariki kuwazidi?

    Umeshasema aliyekubariki ni Mwenyezi Mungu. Yeye Mwenyezi Mungu anahitaji uwasamehe waliokukosea, imeandikwa , "Wabarikini wanaowaudhi; barikini, wala msilaani" Warumi 12:14
Back
Top Bottom