Search results

  1. N

    Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) bado haijafungua dirisha la maombi, kwanini?

    Bodi ya mikopo mlitoa tangazo dirisha la maombi ya mkopo kwa mwaka 2021/2022 litafunguliwa tarehe 01 July 2021, lakini hadi muda huu halijafunguliwa na hata website yao inasumbua kufunguka. Ingekuwa vzr kama kuna mabadiliko yoyote mngetujulisha wadau tukajua.
  2. N

    Msaada wa dawa ya ugonjwa wa Arthritis

    Wadau mama yangu anasumbuliwa na huu ugonjwa hospitali anapewa pain killer tu. Naombeni msaada kwa wengine wanaofahamu tiba maana penye wengi hukosi msaada. Asanteni
  3. N

    Naomba kujuzwa uhusiano wa uvimbe kwenye kizazi na tumbo kuwa kubwa kwa mjamzito

    Naomba kuuliza wataalamu Kuna Uhusiano gani Kati ya uvimbe kwenye kizazi na tumbo kuwa Kubwa kama mjamzito?
  4. N

    Mtalaka wa Best

    Mtalaka wa Mabeste anaaiibisha wanawake yaani amefikia hatua ya kumshtaki mzazi mwenzie wakati wote walifanyiwa interview na Kila mtu alieleza kisa cha kutalikiana. Sijaona kosa la Mabeste hadi kwenda kumshtaki Polisi.
  5. N

    Ugonjwa wa Kisukari

    Message…Wapendwa nauliza ugonjwa wa kisukari unaweza kusababisha kushuka kwa kinga ya mwili? Kufahamu kuhusu kisukari soma Vidonda Vya Kisukari: Fahamu Chanzo, Athari, Tiba na Kinga
  6. N

    Dawa ya kuondoa cholesterol mwilini.

    Naulizia dawa ya kuondoa cholesterol mwilini.
  7. N

    Matibabu ya romatizimu

    Ndugu zangu mama yangu anaumwa romatizimu nimeshindwa kuiandika kitaalamu. Anapata maumivu makali ya mikono hadi analia. Hospitali walimpa diclofenac na muvera lakini hazijamsaidia. Kwa anayefahamu dawa naomba anisaidie.
  8. N

    Marehemu Hassan Miundombinu

    Juzi nilipita maeneo ya kinondoni makaburini nikakutana na kundi la watu wengi mno wanaenda kuzika. Nikauliza mbona watu wengi sana ni nani aliyefariki nikatajiwa jina la marehemu na pia walisema alikuwa maarufu kinondoni nzima. Kwa wanaomfahamu naomba wanipe A B C D zake maana ule umati haukuwa...
  9. N

    Dawa ya mtu aliyeungua na maji ya moto

    Ndugu zangu naulizia dawa ya vidonda vya mtu aliyeungua na maji ya moto. Ndugu yangu ameungua anatumia dawa ya kupaka inaitwa Silverex ila analalamika maumivu bado ni makali. Halafu ana kisukari pia. Naombeni msaada wenu.
  10. N

    Maumivu ya miguu na kiuno

    Mama yangu anaumwa sana miguu na kiuno anapata maumivu makali sana. Alipimwa KCMC akaambiwa mifupa kwenye uti wa mgongo imelika ndiyo maana anapatwa na maumivu ya viungo na hakuna dawa ya kutibu ila tu atumie dawa za kutuliza maumivu. Nimeleta hata kwa kuwa kuna wataalamu wengi wa dawa haya za...
  11. N

    Dina Marios na Clouds Tv

    Mimi ni mshabiki wa Dina Marios napenda sana utangazaji na ubunifu wake wa vipindi. Alipotoka martenity alituahidi kurudi kazini kupitia clouds Tv yaani atakuwa anaonekana kwenye runinga na si kwenye redio tena. Lakini umepita mwaka sasa hatukuoni runingani umekuwa kimya kbs. Mi kama shabiki...
  12. N

    King'amuzi cha Startimes

    King'amuzi cha startimes sijui kina tatizo gani chanel ya itv inascratch toka juzi hatuipati vzr. Ukija TBC haina sauti karibia wiki ya tatu sasa.
  13. N

    Msaada: Alama ya Zebra (kivuko) Mbezi kwa Msuguri

    Alama ya kuvukia (Zebra) eneo la kituo Mbezi kwa Msuguri imefutika kabisa hivyo kuleta usumbufu na kuhatarisha maisha kwa wanaoendesha magari na wanaovuka barabara. Alama imefutika kabisa kiasi kwamba ukiwa unaendesha gari unashtukia kikundi cha watu wanavuka na wewe upo kwenye speed ya kupita...
  14. N

    Mafuta kwenye ini

    Nilikwenda kufanya kipimo cha ultrasound kwa ajili ya tatizo la uzazi dokta akanipima ini na figo akaniambia kuwa ini lina mafuta. Naomba wenye utaalamu mnieleweshe mwenzenu ini kuwa mafuta kunasababishwa na nini. Nitumie nini kuondoa hayo mafuta. Huwa sipendelei kula vyakula vyenye mafuta...
  15. N

    kipindi cha one show

    Nimekuwa nikifuatilia kipindi cha the one show kinachorushwa na TV1 lakini naona hakijarushwa kwa muda sasa. Wamebadili muda wa kukirusha au kuna mabadiliko mengine. Anayejua anijuze.
  16. N

    Hongera Husna Abdul na Gea Habib

    Nawapongeza sana Husna Abdul na Gea Habib kwa kunogesha kipindi cha Leo Tena. Kipindi kimechangamka sana. Husna amefit vizuri sana na hamna mapungufu. Kuna baadhi ya watu walidhani kuondoka kwa Dina Marios kipindi kitadorora sana kumbe wala wadada wanakamua vizuri sana. Big up sana Gea...
  17. N

    Dawa ya ngoka

    Wadau kwa ambaye ameshatumia dawa inaitwa ngoka 11 je kweli ni nzuri inaponya presha?
  18. N

    Unywaji wa kahawa chungu

    Naomba kuuliza wataalamu wa afya kuhusu unywaji wa kahawa chungu ambazo watu hunywa na kashata. Je haina madhara kiafya? Nilijaribu kuonja siku moja nikaona ni chungu mno lakini watumiaji wanakunywa kila siku. Je haina madhara?
  19. N

    Msaada wa kiafya

    Mimi nina tatizo la kisukari. Toka ijumaa najisikia vibaya nasikia kutapika mwili hauna nguvu, natokwa na jasho, kizunguzungu na kuchoka. Nimeenda hospitali nimepima malaria sina, mkojo sina maambukizi na sukari ipo 9. Hii hali inaweza kuwa nini maana inanikosesha raha kabisa.
  20. N

    Mawifi kuingilia mapenzi ya kaka zao

    Hii tabia ya mawifi kuingilia ndoa na mapenzi ya kaka zao naichukia sana. Yani mtu unajitahidi kuwaonyesha wema na upendo lakini mwisho wa siku unaonekana mbaya. Sasa najiuliza hawa watu huwa wanataka nini na sometimes wengine ni wake za watu kabisa wameolewa lakini hawaishi kufuatilia maisha...
Back
Top Bottom