Search results

  1. M

    Natafuta GDI

    PM me
  2. M

    Wivu, hasira, zinanisumbua

    Unahitaji Councelling and prayers to deliver you from that spirit
  3. M

    Rupia: Hazina ya Mjerumani

    Mkuu Makoshneli Asante sana, endelea kutirirka sasa nimeanza kuelewa vizuri, maana kuna wakati nilikua nasiliza kipindi cha njia panda, nikawa nasikia jamaa alivokua akihadithia safari yake ya kusaka hizo rupia, nikama hadithi za Allan quaterman kama King solomon mines, si mchezo
  4. M

    Katiba Mpya: Kakobe aungana na Wapinzani Jangwani

    Nami kasema ni makosa, viongozi wa kidini ndo wanaotakiwa kuikemea na kuishauri serikari pale inaonekana haiendi sawa, think outside the box
  5. M

    Tumeripoti polisi na Mhe. Sugu

    Ww sio mzima
  6. M

    Tumeripoti polisi na Mhe. Sugu

    ni wapuuzi tu ndo wanatetea uonevu na ukandanizaji wa serikali kwa wapinzani we cannot take it any more remember to every action there is equal reaction, sugu alikua anajitahidi kujikwamua kutoka mikononi mwa mabaradhuli mbwa wa chukua chako mapema so akawa ameshika mike na ikachomoka bahati...
  7. M

    Nateswa na dawa za kuona wachawi hasa usiku

    ukiwaona vunja masharti ya hiyo dawa, andaa bakora, ukiweza mkia wa taa, ukiona charaza
  8. M

    Mama mkwe ameniuliza mimi na mtoto wake tulikutana wapi?

    Be positive, kwa nini umewahi kuhisi kua huenda ana nia mbaya, labla ilikua ni ku-get aquinted with you, na akakosa namna sahihi ya kuanzisha stori. Mwambie tu ni long story kama hujisikii kusema mlimeet wapi, take it easy
  9. M

    Friends in Mwanza

    Unawaza kungonoka tu na si lolote, hata hivyo nashukuru nilipata pm na nilishapata rafiki asanteni sana
  10. M

    Je Hili ni sahihi au mie ndio sielewi

    Mario huyo achana nae
  11. M

    Friends in Mwanza

    Am stranger on the city a good company will also guide me appart from making new friend
  12. M

    Friends in Mwanza

    Siko huko kabisa, dont get me wrong!
  13. M

    Friends in Mwanza

    Please pm
  14. M

    Friends in Mwanza

    Thanks JF I got a friend in Mwanza
  15. M

    Tujikumbushe wana Azania

    Namkumbuka Nyau huyu alikua anafundisha Biology, kipindi hicho alitokea tambaza baada ya tambaza kufungwa kwa muda, kuna Robort huyu alikua anatukimbiza hadi muhimbili, kuna Ryoba alikua poa sana, tokyo namkumbuka sana alikua mshakaji kweli vipi mnaukumbuka mti mawazo pale nje ya hostel?
  16. M

    Sehemu ya kwanza ya Madudu Yaliyonikimbiza CHADEMA, Kesi ya UBAKAJI/RAPE inayomkabili LEMA UK

    Flora Bahati Lyimo Kwenye picha hapo juu ndie anaedaiwa kufanyiwa shambulio la ubakaji, ingawaje ukifatilia madai aliyopeleka police ( Flora sasa) yeye anadai Lema alitishia kumuua na sio kumbaka, kwenye blog yake anasema Lema kambaka na kutishia kuumua ( Contradicting!) ukiuliza proof hakuna...
  17. M

    Unlimited internet Inauzwa kwa mwezi mzima sh 10,000 tu

    si uandae maelezo ya kutosha then mtu anaeonyesha yuko interested una copy na kupaste tu kwa pm yake, au andaa FAQ si unatangaza biashara boss au?
  18. M

    Unlimited internet Inauzwa kwa mwezi mzima sh 10,000 tu

    I am interested naomba ni pm kwa maelezo ya kutosha
  19. M

    Hivi ni kwanini familia nyingi huwa zinafuata mtiririko huu a maisha especially Tanzania?

    satans mission- to kill steal and destroy...what else?
Back
Top Bottom