Search results

  1. M

    Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

    Adui ni adui tu. Unapodhamiria kummaliza adui na hasimu wako mkuu unapaswa kutumia kila njia kummaliza. Na njia rahisi ya kummaliza ni kujiunga na wale wote waliojeruhiwa na adui yako ili muweze kumsawazisha kwa nguvu kidogo. Our enemy is the ccm which has been on power for almost 50yrs with...
  2. M

    Nape hakuna kauli ya CCM juu ya mauaji ya kinyama ya Mwangosi?

    Huyo JK atume au asitume salamu za rambirambi in sawa tu. System imehusika ktk mauaji hayo. Nadhani yuko busy kujiandaa kwenda Lesotho kwa mfalme Mswati kushuhudia sherehe za kila mwaka za mabinti MABIKRA kupit robo tatu uchi mbele ya mfalme ili aweze kujichulia kinda bichi. Si unajua tena huyu...
  3. M

    sitaipenda CHADEMA HADI KUFA

    Kama huna la kuandika nakushauri uende kujisaidia walau huo uchafu ulioko kwenye mfumo wa mwili wako utoke kwani ndio unaokusababishia kuakaa nakuandika pumba kwenye mtandao huu. We have a lot to think and do. To hell with your nonsense post
  4. M

    Nape akihutubia umati mkubwa

    Wee acha tu. Unaweza ukamuona mtu ana macho mawili kumbe makengeza. Msimlaumu bure. Makengeza yanaonyesha double double. Sio kosa lake.
  5. M

    Mambo makubwa waliofanya wabunge wa CHADEMA majimboni kwao

    Katika watu wenye mawazo VIZA wewe unaongoza. Wewe ulitaka halima akuletee hela nyumbani kwako? Chemsha bongo yako. Information is POWER. Hawa CHADEMA wamejitahidi sana kutupa taarifa motomoto za madudu serikali inayofanya. CDM imekuwa kama remote control kwa ChamaCha Majambazi wa nchi hii. CDM...
Back
Top Bottom