Search results

  1. W

    How can you let it go?

    Pole mpenzi, mim pia nateswa na ki2 kama hicho huu ni mwez wa3 sasa ila najitahidi na nahisi am about to move on, jitahid kuwa busy na mambo yako,jichanganye na friends ambao hawamjui wala hawajui story yako na yeye I mean ambao hawataweza kumuulizia,unapohisi upweke usiwaze sana kuwa angekuwepo...
  2. W

    kuna penzi hapa au nilisha achika kitambo!?!

    Mnaohisi mm nimekuwa mwepec kukata tamaa si kwel nimevumilia hali hii kwa miez kadhaa na huyu mtu nadhani aliniacha muda mrefu mim tu niling'ang'ana maana tumeachana asubuhi jion kasha amishia mwanamke kwake nivumilie lipi lingine jaman,,,lakn inaniumiza sana sana nashndwa kufanya lolote...
  3. W

    kuna penzi hapa au nilisha achika kitambo!?!

    Thanks guys kwa ushauri wenu lakini nadhan nilichelewa kuomba ushauri mwisho ulikua umefika...tumeachana last night think wasn't meant to be
  4. W

    kuna penzi hapa au nilisha achika kitambo!?!

    Hakuna ndoa ya aina yoyote katyetu ni boyfriend to
  5. W

    kuna penzi hapa au nilisha achika kitambo!?!

    I realy luv him huwez amin my ex alikua na uwezo zaid..hataivo anaponitaka hakunambia atanisomesha haya yalikuja badae
  6. W

    kuna penzi hapa au nilisha achika kitambo!?!

    I can't he is married now,,,,,na alisema sana nilipo muacha na kuja kwa huyu mtu hata nahisi ni mkosibsababubalilalamika bsana
  7. W

    Kuna penzi hapa au nishaachika kitambo!?!

    Hapana nduguyangu si play part ya mke mana sifui sipki nashinda hostel ila kulala ilikuwa ni kawaida lazma nilale kwake,,hata nikikaa wiki sifanyi mambo ya mke
  8. W

    Kuna penzi hapa au nishaachika kitambo!?!

    Salito..nasoma ndugu na yeye ndo msomeshaji nifanye nn
  9. W

    Kuna penzi hapa au nishaachika kitambo!?!

    Mzazi wangu wewe jaman unalia hivo hapa yeye ndo analipa ada na wewe unajua ungekuwa unalipa wewe leo siungekua msiba jaman,yeye ndo ananilipia ada jaman
  10. W

    kuna penzi hapa au nilisha achika kitambo!?!

    Unamaana gani billie mimi sina uwezo wowote ni mwanachuo tu mbaya zaid yeye ndio anaenilipia ada
  11. W

    kuna penzi hapa au nilisha achika kitambo!?!

    Sio kuwa mimi napenda najitahidi nashindwa
  12. W

    Kuna penzi hapa au nishaachika kitambo!?!

    Salam kwenu nduguzangu, naombeni kufunguliwa macho mana nahisi mapenz yamenifumba macho. Mimi nina mpenz wangu tuna kama 2years now,lakin miez miwili ilopta mwenzangu anabadirika na sikuzinavozidi kwenda nazidi kupokea vituko,mwez flan alikua hataki labsa kufanya mapenzi na mm akidai mazoez...
  13. W

    kuna penzi hapa au nilisha achika kitambo!?!

    Salam kwenu nduguzangu, naombeni kufunguliwa macho maana nahisi mapenzi yamenifumba macho,mimi ninampenZi wangu tuko na miaka miwili sasa lakini kama miezi miwili ilopita mwenzangu kabadilika sana na sikuzinavo enda nazidi kupokea vituko, mwez flan alikua hataki kufanya mapenz akisema mazoez...
  14. W

    What do you men want???

    Snowhite kanena achana nayoooote learn from snowhite
  15. W

    Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    Oooh yani nyie bila kunyonywa hiyo mi pipi yenu hamjafanya bado ila nyie kuzama chumvini hadi mkusanye mawazo jf yani ungekuwa wangu nakumwaga fasta najivutia mwenzio ambae si chumvini2 ananyonya had makwapa,miguu.hadi ikweta akiamua
  16. W

    Nyumbani hautoi dozi ya kuridhisha na bado unakwenda nje

    Kweli kabisa wao wanaona tunataka wasiende tu huko nje kumbe wanaenda kutu aibisha yana gonga dakika 1 yamemaliza yanajiona maduuuuuuuume akati hakuna ki2 kaacha aibu tu pale
  17. W

    Nitaoa kweli?

    Zaa bana umri umeenda usije zaa matahira huko mbeleni
  18. W

    Gym inaweza rudisha heshima ya ndoa yako kabisaaa.

    Sasa nyie wanaume mnatuchanganya!,,,,mara mtu ukifanya mazoezi sana unapoteza hamu ya mapenzi,mara ukifanya mazoezi unachoka sana hivyo unamaliza haraka,haya hii nyingine tena ukifanya mazoezi unakaa muda mrefu jamani lipi ni lipi????
  19. W

    Nimepoteza mapenzi

    Hujapoteza mapenzi ila hunaimani na anachokifanya mana umezoea kukuta washakufundishia huyu unahisi hawezi..acha uzembe wewe kwenye game uko muda mrefu yeye mgeni mfunze bana si kumuacha na ukimfunza ataikitokea mbeleni hujamuoa atakukumbuka kila anapofanya mapenzi
Back
Top Bottom