Search results

  1. N

    Wizi wizi mkubwa wa airtel kwenye moderm zao za promotion.

    Naomba nikufahamishe kitu ndugu yangu, wanapokuambia kifurushi cha mwezi maana yake ni kwamba "expire date" yake ni baada ya siku 30. Kwa hivyo kama matumizi yako siyo makubwa unaweza kukitumia ndani ya muda huo, na kama ni makubwa unaweza kukimaliza hata ndani ya dakika 10.
  2. N

    Hali mbaya ya hewa Zanzibar

    Mi nachukia sana kuona wana JF wanachangia mada za udini, ubaguzi na chuki dhidi ya wengine. Haiko poa kabisa. Nawashauri wajifunze kupenda kila mtu kwa sababu hii dunia ni kubwa sana, hivyo huwezi jua ni nani siku moja atakuwa msaada kwako. Si ajabu, siku moja unaemchukia na kumbagua anakuja...
  3. N

    Kudai nauli kwenye daladala kwa kugongesha sarafu ni utamaduni ama ni kwa sheria ipi?

    Mi nadhani kufanya hivyo kondakta ndo anajisikia yupo kazini, lakini kwangu mimi naona ni kero tu, sidhani kama ni sheria, broo.
  4. N

    Watanzania wanavyoliwa kiulainiiiiiiiii!!!!!

    :A S-confused1: mamma yangu!!!!??? Hebu sikia hii; mwekezaji analipia eka moja ya ardhi Tsh. 220 kwa mwaka. Imekaaje hii wana JF? Source: Bunge Jioni hii.
  5. N

    Airtel: Kifurushi cha intaneti cha TSHS 2,500/-

    wanadai kwamba bundle yako ikiisha ndo utalipia sh150/mb1.
  6. N

    Airtel: Kifurushi cha intaneti cha TSHS 2,500/-

    Mi airtel wananichanganya sasa, hizi bundle zao mpya wameweka MB chache kwa hela nyingi wakidai kwamba zina kasi zaidi. Mbona sioni tofauti yoyote na ile ya 400MB/2500Tsh, au ndo kuibiana kisayansi. Pia wanadai kwenye simu tunaongea kwa Tsh1/sek, ni uongo mtupu, tunalipia zaidi ya Tsh2/sek...
  7. N

    Tahadhari ya Tsunami kanda ya pwani Afrika Mashariki...

    Wana JF, haya ni maajabu ya mussa, hivi kwenye dunia hii kuna mji unaitwa KAAMBOONI? Hebu angalia na wewe kwenye hiyo web waliyoorodhesha miji itakayoathirika na tsunami, labda nimesoma vibaya.
  8. N

    Bungeni leo: Martha Mlata; Kanumba alitakiwa awe na Bodigadi na hakustaili kuishi Sinza

    Huyu mama ni mpuuzi kabisa £/<@§:~{¤*#`¿ zake. Anaacha kutoa hoja binafsi kuhusu umeme, kupunguza foleni Dar, mfumko wa bei, watoto wanakwenda form 1 hawajui kusoma wala kuandika, wagonjwa 8 kitanda kimoja, air Tanzania, reli ya kati nk. anaongea ujinga huu. Hebu mzomeeni kwanza!!
  9. N

    Gavana ballali hajafa- source:gazeti la fahamu

    :disapointed: Ndugu! bado unaumiza kichwa kuhusu Balali. Kibongobongo huyu mtu ameshakufa, hata akija leo serikali itasema "ni mzuka wake tu, wananchi msiogope"
  10. N

    Utaratibu kuhusu saluti

    Askari akiwa ndani ya sare anaruhusiwa kuipigia saluti maiti ya kiraia, kijeshi, hata ya mtoto mchanga. Ila huyo raia aliyevaa magwanda ya chama sijui amepata wapi authority ya kupiga saluti ya kiaskari. Akifanya tena, hebu mlete kwangu haraka sana nimfunze nidhamu. Sawa?
  11. N

    Mkuu wa zamani wa Majeshi ya Ulinzi is NO MORE

    Ndugu yangu utapata shida bureee, kwanza utaulizwa sasa hivi "kyaro ndo nani" waandalie watz maelezo ya kutosha, unayo?
  12. N

    Nani kafanyia taifa makubwa kati ya awa?

    Mi ndo nimeboreka kabisa, eti na tv ya taifa nayo inarusha matangazo ya msiba live. Jamani mi nshachoka na mambo ya hii nchi.
  13. N

    Je, kanumba kambaka lulu? Umri wake chini ya miaka 18?

    Hawa viongozi wetu mi hata siwaelewi. Hii inanikumbusha ileee... Obama kashinda urais, Kenya wakafanya sikukuu (hawakwenda kazini) wakati Marekani kwenyewe hawakuwa na muda wa kufanya upuuzi huo. What a shame!
  14. N

    Baba Ya Kanumba

    Hata mimi nashangaa, labda mzee wa watu amejiweka kando kwa kuwa mwanae alishautangazia uma kwamba ham-mind baba'ke.
Back
Top Bottom