Search results

  1. LENGIO

    Hongera Jerry Muro umeweza kilichowashinda watangulizi wako

    Haitapendeza kupita bila kumpongeza mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro,kwa kupambana na kuhakikisha Dampo la maji ya chai linafukiwa,leo nikuwa natokea moshi nimeona greda linafukia dampo hilo ambalo ni kero kwa abiria na watali wanaopita barabara ya Moshi arusha.Hakuna mkuu wa wilaya na Mkoa...
  2. LENGIO

    Mkenya afikishwa mahakamani kwa kufanya kazi bila kibali.

    Mfanyabiashara maarufu nchini Kenya anayejiusisha na biashara ya madini katika mikoa ya manyara na Arusha pia ni wakili wa kujitegemea, Raymond Nyange ngoo mwenye miaka 37 mkazi wa Moshono Jijini Arusha amefikishwa mahakamani akikabiliwa na mashitaka matatu. Shitaka la kwanza linalomkabili...
  3. LENGIO

    Mkenya anamiliki migodi Tanzanite leseni 4 na maombi 7

    Mkenya Davis Ngoo na baba yake Antony mragha ngoo ni wakenya wanaotumiwa na tajiri jonhson Muzama ambaye ni mbunge wa kenya na mfanyabiasha mkubwa wa madini ya green na Tanzanite kumiliki migodi Tanzania,Muzama ndio anawafadhili kuchimba migodi hiyo.Hawa wakenya wamejipatia mali nyingi sanaa...
  4. LENGIO

    Mungu aionyesha serikali ya kihasidi humruzuku amtakaye.

    Serikali imewaondoa wachimbaji wa spino epanko mahenge kwa madai madini hayo hayawanufaishi wa kazi wa mahenge.Madini hayo yanaishia Arusha,Mungu alivyo hana mabadala madini hayo yamegundulika simanjiro kitwai.Lengo la serikali kusimamisha migodi hiyo liliwalenga wananchi wa kaskazini ambao...
  5. LENGIO

    Mkuu wa Mkoa Manyara, Mnyeti umekurupuka

    Mkuu wa mkoa Manyara unapotaka sisi wafanyakazi wa migodini Mirerani tulipwe mishahara unaelewa makubaliano yetu au unakurupuka tu. Sisi wafanyakazi wa migodini tupasenti tunazopewa madini yanapotoka,sasa unapokuja na mambo yako ya mishahara huoni kuwa sisi ndio tutakuwa tunapoteza haki zetu...
  6. LENGIO

    Benki kuu ilitakiwa kuifungia exim bank

    Benki Kuu ilitakiwa kuifungia Exim benki tangu 2012,kutoka na uwizi unafanyia wateja wake,Benki ya Exim body yake imejaa maaskari wastafu mmoja wapo aliyekuwa IGP Omary Mahita.Wanaibia wateja nakufuta kumbukumbu zao,wateja wanapoulizia hela zao wanawafungulia kesi ya kutaka kuibia Benki.Mwaka...
  7. LENGIO

    Mkuu wa mkoa Arusha ziara zake hazina maana

    Mkuu wa mkoa Arusha amekuwa anafanya siasa za kupoteza muda kwa kisingizio cha kusikiliza kero za wananchi lakini hakuna chochote kilicho fanyika. alikuja soko kuu tukampa kero zetu hakuna hata moja iliofanyiwa kazi, licha kutoa siku ziwe zimetekelezwa. Anazunguka na maafisa wote serikali...
  8. LENGIO

    Uhamiaji Tanzania waanze misako ya Wakenya migodini

    Wakenya wengi wamefoji vyeti vya urai wa Tanzania nakujimilikisha migodi ya Tanzanite,wanajifanya ni watanzania waliosoma Kenya.Wakenya hao ni chanzo cha utoroshaji wa Madini ya Tanzanite mirerani na green garnet kwenye migodi ya lemishuku.Uhamiaji waanze msako kila mgodi.
  9. LENGIO

    Tanesco emergency Arusha na rushwa

    Hawa jamaa wanaotembea na gari la emergency tumewapa taarifa umeme umekatika kwetu tangu tarehe 30 mwezi 3 wanadai tusiokukwa na umeme tuchange sh,elfu kumi ndio watarudisha na tupo zaidi ya nyumba 100.Hivi rushwa nchii hii itaisha lini?
  10. LENGIO

    Mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite aua kwa bastola Arusha

    Mfanyabiashara wa madini ya tanzanite Arusha, Felex Manga amempiga risasi mtoto wa kimasai. Wakati akisherehekea kuuziwa shamba na baba yake eneo la Terati siku ya Jumamosi. Siku ya tukio mtuhumiwa na familia ya aliyemuuzia shamba walifanya sherehe ya kumkabidhi shamba, ndipo mzee mwenye...
  11. LENGIO

    Edward Lowassa apanga kutangaza nia Urais akiwa Arusha

    Tarehe 18 mwezi huu wa pili waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa, Edward Lowassa atatangaza rasmi nia yake ya kugombea urais mbele ya mkutano mkubwa Arusha ndani ya uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Wapambe wake wameanza kutoa mualiko kwa watu mbalimbali ndani na nnjee ya arusha na kuna mabasi...
  12. LENGIO

    Mkurugenzi wa jiji la Arusha umepotoka

    Mkurugenzi wa arusha kuamua magari daladala yasiingie mjini ni kukomoa wananchi wenye kipato cha cha chini,haiwezekani daladala la moshono lipitie philps mtu anaetaka kushuka nazi ashukie sanawari,wa kijenge na njiro kama anaenda sokoni ashukie unga limited.Hiyo ni kutafuta vurugu na migomo.
  13. LENGIO

    Arusha city park hotel vitu vyao vyatupwa nje

    Hotel ya arusha city park maarufu makaburini wametupiwa vitu vyao njee kwa amri ya mahakama,usiku wa kuamkia leo.
  14. LENGIO

    Kivuko cha Kilombero chafungwa

    kalavati lachukuliwa na maji
  15. LENGIO

    Waliomua Bilionea Erasto Msuya wakutwa kwa sangoma

    Jeshi la polisi mkoa wa kilimanjaro linawashikilia watu wanne zaidi wakidaiwa kuhusika na mauaji ya mfanyabiashara bilionea wa madini ya tanzanite Arusha Erasto Msuya 43 wawili kati yao walikutwa kwa mganga wa kienyeji (sangoma) wakifanyiwa zindiko ili wasikamatwe na vyombo vya dola. Pia jeshi...
  16. LENGIO

    Kesho siku ya usafi mkoani Arusha.

    Kuna gari la matangazo linapita likitangaza kesho ni siku ya usafi mkoani arusha na mgeni rasmi ni mkuu wa mkoa magessa mulongo.Hiyo ni njia anayotaka kutumia kueneza propaganda zake,kuwa chadema haitakiwi tena arusha na kuutubia wananchi.Nawataka wanachadema kutokujitokeza kuungana na muuji...
  17. LENGIO

    Mgombea udiwani wa ccm kata ya kimandolu arusha hafai kabisa kuwa mgombea

    Edna sauli mgombea wa ccm amekuwa akilalamikiwa na wifi zake kwa tabia ya kuwarubuni watoto wakike wa vyuo na kumletea kaka yake gidioni sauli ambae ni mmiliki wa club africo,na huwa anawafungia kwenye gari yake range rover ya blue nyenye tinted ya kutisha na huwa ananzuka nao akiwa na diwani wa...
  18. LENGIO

    Mgombea wa CCM kata ya Kimandolu Arusha anafanya kampeni ya kikabila

    Mgombea udiwani wa kata ya kimandolu Arusha Edna sauli ambae ni mkazi wa Njiro ambae anaungwa mkono na mzee Lowassa ambae ni rafiki mkubwa wa familia yake,ameanza kampeni chafu. Edna anapita nyumba za wamasai na waarusha anaomba kura kwa kusema umefika mwisho wa kutawaliwa na watu wa kuja,nani...
  19. LENGIO

    Kada wa CCM na mwenye kiti wa kata ya Themi atimkia CUF

    Mwenyekiti wa kata ya Themi CCM ambaye alikuwa mgombea wa udiwani kupitia CCM Lobora Peter Ndarvoi amejiengua CCM nakujiunga na CUF baada ya jina lake kuenguliwa kugombea na CCM wilaya. Lobora ambaye aliongoza kwenye kura za maoni jina lake lilikatwa na kupitishwa jina la mgombea namba mbili...
  20. LENGIO

    Kimenuka Kilombero: Vijana wafunga barabara, matairi yachomwa

    Vijana wenye hasira wamefunga barabara eneo la Kilombero karibu na daraja la Kidatu. Nimejeribu kuongea nao hawanielewi naona wanaleta matairi na kuanza kuyachoma barabarani. Sijajua chanzo nini, niko njiani naelekea Ulanga.
Back
Top Bottom