Search results

  1. I

    Kijana unayehangaika kutafuta mchongo wa kufanya pitia hapa, utakuja kunishukuru

    Mkuu habari,mimi nimekuandikia sms muda mrefu lakini hujajib. Nilisoma nakala yako nikakuambia naomba msaada na mimi kuhusu izo biashara.
  2. I

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Naulizia tensioner ya mazda demio 2005/7 pamoja na shockup za mbele mbili
  3. I

    Kwa wale tulioomba kazi TRA

    Mfumo nadhan haupo sawa,wakati mwingine unasave changes na wakati mwingine hausave.Pole sana mkuu,lakini watu wengi wamepata hii scenario wakisikiliza watajirekebisha na kuwaita,ndio maana wakati mwingine unaona kuna majina yameongezwa kwa ajili ya kufanya interview.
  4. I

    Kijana unayehangaika kutafuta mchongo wa kufanya pitia hapa, utakuja kunishukuru

    Habari mkuu nahitaji mchongo,ahsante kwa makala yako uliyoandika.
  5. I

    Naomba mnijuze mwenye kufahamu kampuni ya Norplan katika ufanyaji kazi

    Wakuu naomba mnijuze mwenye kufaham kampuni ya Norplan katika ufanyaji kazi,benefits na mishahara na culture yao. Ahsanteni
  6. I

    Mwaka 2019 niliulizwa kuhusu wasifu wangu na mtu nisiyemjua na alichukua CV yangu

    Pole sana maana nilishakula shavu lkn unamawazo ya kimaskini sana.
  7. I

    Mwaka 2019 niliulizwa kuhusu wasifu wangu na mtu nisiyemjua na alichukua CV yangu

    Mkuu una akili sana.ndio maana wengi nilikuwa nawaambia pole maana hawajui waongealo na hawajui niko wapi sasa.Hii thread ni kwa manufaa ya wenye uelewa na ndio wanaoweza kupokea ujumbe huu na kuwa chanya katika kuelewesha.JF ni sehem ya kujifunza na kupata taarifa sahihi japo sio wote wafanya...
  8. I

    Mwaka 2019 niliulizwa kuhusu wasifu wangu na mtu nisiyemjua na alichukua CV yangu

    Fikra yako ni ndogo sana,pole sana.Unasikitisha.
  9. I

    Mwaka 2019 niliulizwa kuhusu wasifu wangu na mtu nisiyemjua na alichukua CV yangu

    Unasikitisha sana kwa mtizamo wa mawazo yako.Pole sana
  10. I

    Ficha mambo haya, kisha njoo unishukuru

    Ahsante mkuu.Ubarikiwe
Back
Top Bottom