Search results

  1. M

    Wazo langu: Hivi haiwezekani CHADEMA ikafanya mkutano wa hadhara kwa amani?

    kimsingi wewe huna hoja unasema siasa za Bongo wewe ulitaka siasa za wapi? hii inanipa taswira kuwa wewe sio mzalendo wa Taifa lako na unapenda vitu vyakuiga ulitaka siasa za wapi? Marekani yenyewe wapinzani wanafanya mikutano kwanini Chadema wkifanya hapa Tanzania iwe nongwa??? Pili hao Chadema...
  2. M

    Morogoro: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi, vurugu zaibuka!

    kwa kweli ianasikitisha sana hasa katika nchi ambayo inaaminika ni kisiwa cha amani lakini watu wamekuwa wakiuawa bila ya kuwa na hatia yoyote wakiwa hawana silaha bali wakiwa na matumaini ya kuona viongozi ambao watawafikisha katika ile nchi ambayo wanaiwaza kichwani mwao na pia ambayo wanaiota...
  3. M

    Mh. Membe atoa kauli nzito Bungeni kuhusu Malawi!

    vta si kitu kizuri lakini hii ni kwaajili ya Taifa ni lazima tulinde ardhi yetu kwa manufaa yetu na vizazi vijavyo ukiangaliaa haya yote ni kutokana na upuuzi wa Mzee Kamuzu Banda ambaye alikuwa ni mtu wa shari kama majadiliano yatashindakana kwa hili lets be together to show that we are very...
  4. M

    Hamadi Rashid Mohammed

    unafikra Mgando wewe hauna tofauti na jiwe coz haujielewi unachokifanya ni bora upige kimya
  5. M

    Kama CAG anaweza, kwanini TAKUKURU na DPP Washindwe?! Hawa waondolewe mara moja

    tatizo kubwa kuna watu wameshaona nchi ni ya kwao wao na mtu mwingine hana haki ya kufaidika na NATIONAL CAKE watu hawa hawawahurumii watanzania ambao wengi wao ni maskini kweli watu waibe fedha alafu hakuna mashtaka na wakishtakiwa tunawaona mitaani hii sio haki ifikie wakati tuwe na uzalendo...
  6. M

    Anne Makinda: Sitogombea tena ubunge 2015

    hongera sana kwa kuusoma mchezo umekuwa kama messi Makinda kwasababu no more ccm now is time for CHADEMA
  7. M

    Zitto kuwasilisha hoja J3 wamo wabunge watano wa CCM

    ninawapongeza hao wabunge ni mshujaa wasiyo kukumbatia ujinga tu taifa lina teketea kwa ufisadi tupambane na wale wasiopenda maendeleo na waliojiwekeza kwenye ufisadi 2015 itakuwa suluhisho na hao wote watashtakiwa na wafilisiwe kwa kila mali waliyoiba
  8. M

    uraia

    siyo mume but i want to marry foreigner
  9. M

    uraia

    naomba kuuliza je, ndoa inaweza kumfanya mgeni aliyeolewa na mtanzania kuwa mtanzania pia ni hatua zipi za kisheria za kufuata ili mtu aweze kupewa Uraia wa Tanzania??? ninaomba msaada wenu ni muhimu sana,, asanteni
  10. M

    halo!! WADAU

    ni muda mrefu nimekuwa nikitamani kujiunga JF lakini hatimaye nimefanikiwa kujiunga nitashirikiana na nyinyi wadau kuchangia yale yanayojiri kwa mustakabali wa maendeleo yetu vijana na taifa kwa ujumla
  11. M

    Mugabe mahututi Singapore?

    huyu mzee ni mbishi kweli sijui kwanini hataki kukabidhi uongozi kwa watu wengine na hili ni tatizo la viongozi wengi wa Africa
  12. M

    Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    ninashukuru kwa msaada huu ama kwa hakika nimepata kitu muhimu
  13. M

    Kikwete's 'Maisha Bora kwa Kila Mtanzania'

    Ingekuwa hata hivyo tungesifu lakini Watanzania wanapiga chafya tu huku wakiendelea kusubiria maisha bora kwa kila mtanzania sasa ni wakati wa kutumia fursa ya kikatiba ya kupiga Kura kufanya uamuzi sahihi
  14. M

    CHADEMA inaangalia uwezo na uadilifu; maoni binafsi yasichukuliwe kuwa ni msimamo wa CHADEMA

    hiki ni chama makini na huo ndio ukweli wa chama chetu safari ya mafanikio ndio hii sasa tunaomba mshikamano ili kuweza kufikia malengo yetu ya kuwakomboa WATANZANIA
Back
Top Bottom