Search results

  1. S

    Majina ya utani ya Timu za Mpira wa Miguu Duniani

    Juventus - old lady Man city - the citizens
  2. S

    Majina ya utani ya Timu za Mpira wa Miguu Duniani

    Hello JF members, Hebu tufahamishane majina ya utani (nicknames) ya timu za mpira wa miguu duniani. 1. Simba - wekundu wa msimbazi 2. Bournemouth - cherries 3. Norwich - the canaries Nitajie zako
  3. S

    Kwanini neno 'Sijambo' lina mwitikio chanya?

    Na maneno mengine yanachanganya
  4. S

    Kwanini neno 'Sijambo' lina mwitikio chanya?

    Imekaa vzr hii, sikubaliani yenyew imejitosheleza
  5. S

    Kwanini neno 'Sijambo' lina mwitikio chanya?

    Naona kama Unanitoa kwenye reli
  6. S

    Kwanini neno 'Sijambo' lina mwitikio chanya?

    I don't have that time.
  7. S

    Kwanini neno 'Sijambo' lina mwitikio chanya?

    Ili kapu la taka, ntukane tu. Its a comment too
  8. S

    Kwanini neno 'Sijambo' lina mwitikio chanya?

    Sure, mpaka kwenye makabila kiswahili kipo
  9. S

    Kwanini neno 'Sijambo' lina mwitikio chanya?

    [emoji23][emoji2]So tume swanglish
  10. S

    Kwanini neno 'Sijambo' lina mwitikio chanya?

    Habari wana JF Mneno mengi yenye mwitikio has yanaanza na 'si', mfano sitaki, sipendi, sijui nk. Lakini neno sijambo ni positive acknowledgement, kwanini tusiitikie 'nijambo'? Hebu tupeane maneno mengine yenye mwitikio chanya kama sijambo lakini yenyew yanaonekana kukanusha
  11. S

    Makabila na jinsi wanavyoshangaa

    Hahaha hawa wambulu bhana wakiisema hiyo 'ddah' utafurah mwenyew Sent using Jamii Forums mobile app
  12. S

    Makabila na jinsi wanavyoshangaa

    Kilimanjaro hiyo Sent using Jamii Forums mobile app
  13. S

    Makabila na jinsi wanavyoshangaa

    [emoji2][emoji23][emoji23]Dah Sent using Jamii Forums mobile app
  14. S

    Makabila na jinsi wanavyoshangaa

    Mbe kwa kichaga ni baba
  15. S

    Makabila na jinsi wanavyoshangaa

    [emoji2][emoji2][emoji23]
  16. S

    Makabila na jinsi wanavyoshangaa

    Hello JF members Hebu tuangalie makabila ya Tanzania na jinsi watu wake wanayo shangaa. 1. Waarusha/masai - shee. 2. Wa haya - shoo. 3. Chaga - mburaa/mbuta 4. Bondei - boo 5. Sambaa - tee. 6. Sukuma - ishh/hiiii Kabila lako wanashangaaje?
  17. S

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Nitalipa mpaka goals za KCFC zote kwako
  18. S

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Jambo kenyew litazua mjadala, tuache tu kama vipi tuendelee kula bata
  19. S

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ushindi wa simba ni wakiahujaa ila wameonesha kukosa umakini
  20. S

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Hatuvijali na kuthamini tulivyonavyo sijui kwanini tupo hivi
Back
Top Bottom