Search results

  1. E

    MEYA Jerry Silaa asema SIASA za UJAMAA na KUJITEGEMEA ni MBAYA, NYERERE alituharibu...

    Anayetukana ujamaa ni wa kuogopwa kama ukoma Nyerere angeendesha ubepari hakuna kiongozi angesoma wa leo ,tusilewe madaraka raka hili ni kosa la kikwete kuteua watu kama huyu kamati kuu bila kufikiri huyu kijana hana busara kabisa amekuliafamilia ya kitajiri baba rubani hajuishida za watanzania...
  2. E

    Sikiliza Pinda: Kwa kuhalalisha Uhalifu Umewapa Wananchi Haki ya Kujitetea wakipigwa!

    Nimesikitishwa sana matamushi ya Pm wetu juu ya vurugu za Arusha hivi tatizo nini za mkuu huyu? je hasira au kujisahau ni mara ya pili kukiuka katiba mara wauwaji wa Albino nao wauwawe safari hii polisi wapige watu hii kupiga ni sheria gani ina ruhusu ?inaonyesha anakiuka katiba yetu niombe...
  3. E

    Nape: Mlipuko wa bomu la Arusha yawezekana ulipangwa na CHADEMA wenyewe

    Binafsi nimesikitika sana Tanzania kuchafuka ,kisa udini au siasa? ,hebu turudi kwenye utanzania wa Amani yetu aliyo tuachia mwl baba wa taifa, ali asisi amani ,sasa nani anatupeleka kwenye machafuko?naomba asakwe na vyombo vya dola bila kujali ninani hapo tutalinda amani yetu ,pia haiingii...
  4. E

    Ccm itashindwa vibaya Arusha

    Mi nasubiri kesho
  5. E

    Ccm itashindwa vibaya Arusha

    Ni kweli ccm itashindwa vibaya Arusha uchaguzi wa madiwani ,Arusha ni ya chadema na ukweli ni huo ila uchaguzi ni kama mpira dk 90 tusubiri kesho tunaomba Amani tz yetu
  6. E

    Kupinga serikali tatu kwa kisingizio cha gharama ni upuuzi

    Serikali tatu ni jibu la muungano wetu kwa sasa hakuna mbadala, wako watu wanafikiri kinyume cha serikali tatu ,watu hawani wanafiki wasiopenda ukweli ufanyekazi ,tumepata matatizo mengi ya serikali mbili maneno yasiyoisha kilasiku wazanzibar wanalalamika wanataka watambuliwe kimataifa sasa...
  7. E

    Kwanini sisi Waafrika ni Masikini?

    Hakuna jibu sahihi la umasikini ,mungu alikuwepo na atakuwepo na yupo pia ujumbe mungu wa hapa duniani ni baba yako na mamayako ,ukiwakutamajiri nawe unakuwa tajiri ,ukiwakuta masikini nawe unakulia kwenye umasikini
  8. E

    Dr Slaa ulifika Tunduma siyo wilaya ya Momba makao makuu

    Katibu wa chadema alitembelea Mbeya na akafika Tunduma sehemu ya wilaya tu na hakufika ,makao makuu ya wilaya ya momba ni chitete siyo tunduma. Najua wanaokwepesha ratiba hii ni pamoja na mbunge Silinde na amekuwa mara zote huyu mbunge hafiki makao makuu ya wilaya yeye waliomuchagua ni...
  9. E

    Ushauri mchumba wangu anatembea na lecturer wake

    Mambo mengine bwana yanafurahisha,kuwa ww umegekwa? sasa unasubiri nini bro achana naye hayo yamekukuta wengi leo yalishakutawengi,wakaachana nayo leo hao ni wakurugenzi wanawakimbia wanawake kwani ni wengi ,achana, naye huyo soma haowako wengi utajawakimbia dogo take care
  10. E

    Sakata la Bomu: Pengo afichua siri

    Kudai kuwa Askofu pengo hakutoa tamuko humu jf ni jambo la kuchangaza hivi hakuna watu wa kukanusha jf ambao ni wasaidizi wake kuanzia karani zake hadi maaskofu wasaidizi wake?napata mashaka na aliye jibu eti ni wahuni wa jf waliandika kuwa pengo kasema ww unaye kanusha ulishindwa kukanusha kuwa...
  11. E

    Sakata la Bomu: Pengo afichua siri

    Ukweli Askofu pengo alipo pata taarifa ya bomu la Arusha,kama kawaida yake alitoa tamko safari hii kwa haraka kwa kukosea ,alisema mtu kamupa taarifa na anamwamini sana huyo mtu na kwamba kupitia kwa huyo mtu hilo tukio hali husu, dini eti ni la Kigaidi ukweli kauli ya pengo imekatisha tamaa...
  12. E

    Lukuvi: Standardization ifanyike ili matokeo ya wanafunzi yalingane

    Nikweli kabisa,hawa wanasiasa watawafanya wanafunzi wasisome kwani wanategemea standazation hizi za kipuuzi wameharibu sasa ,wanaingiza siasa kwenye taaluma hii ni hatari
  13. E

    Kumsema Rais Kikwete bungeni ni ujinga wa fikra

    Namukumbuka karume aliwaambia wana ccm hivi kuweni wavumilivu nyie,sasa matusi kukosoa maandilo spelling kumetoka wapi mie situkani naweza kutukana mtoto humu wa jf waingereza waliasa dont argue with afool the wise wo'nt notice the difference ila ukweli hapa siyo burundi au Rwanda najua baadhi...
  14. E

    Kumsema Rais Kikwete bungeni ni ujinga wa fikra

    Mimi siyo mwanachama wa chama chochote nimekuwa narudia kauli hii kuwaambia walevi wa vyama kuwa sie ni watanzania tupo wengi hatuna vyama ,sasa wale wanao diriki kumseme Kikwete mara eti mdini mara legelege au dhaifu ni viongozi au wabunge wajinga wa fikra kwanini bunge ni lao wametakiwa...
  15. E

    Kwanini AFRICA,SIYO

    Najaribu kufikiri juu ya bara la AFRICA, sipata jibu kwanini Bara hili halina maendeleo ya kiuchumi, elimu, na fikira, angalia siasa za vyama vingi ni matatizo tu hakuna amani kwenye chaguzi nyingi hebu nenda Zimbabwe ni shida tu pale Uganda ni ubabe hadi leo Kenya ni kizungumukuti aliyeshinda...
  16. E

    Amini usiamini CHADEMA waweza futwa au kusambaratika kabla ya uchaguzi mkuu

    Chadema ni chama makini lakini kwa haya niliyo sema wamekosa umakini sana nyie chama cha Cdm ,hivi mkanda wa Lwakatare chanzo chake nini ,aliye record je alilekodi miti au binadamu picha za lwakatare alitoa wapi naje lwakatare yy ni kweli ali lilishwa maneno pale ?ndio maana nasema chadema...
  17. E

    Amini usiamini CHADEMA waweza futwa au kusambaratika kabla ya uchaguzi mkuu

    Amini usiamini ukuta wa berini ulibomolewa wahusika hawakujua bt ulibomoka chukua tahadhari pia pima uzito ninacho kuambia
  18. E

    Amini usiamini CHADEMA waweza futwa au kusambaratika kabla ya uchaguzi mkuu

    Mi sina chama lakini napenda mapinduzi ya fikra yanayo weza letwa na upinzani , CHADEMA ndicho chama pinzani kikubwa kwa sasa na kina viongozi mahiri wasomi kwa ujumla weredi, ila kinacho endelea kwa sasa kila uchwao ni wazi CHADEMA, waweza wasifike uchaguzi mkuu ujao na wakiweza fika basi...
Back
Top Bottom