Search results

  1. L

    Hongera comrade Humphrey PolePole sasa ni wakati wa kunyakua na wale wengine watano

    Hii ni sawa na Mwalimu anawafundisha wanafunzi then anaenda kuiba mtihani ili shule yake iongoze.
  2. L

    Kinana acharuka: Adai kampuni ni yake lakini meno ya Tembo si yake!

    Na sio tembo tu, sijui watanzania tuna matatizo gani, huyu jamaa alisha tangaza kujitoa kwenye siasa pili ana utata wa uraia then anapewa nafasi ya kuijua nchi na ikulu ya yetu na mbaya zaidi ni mfanya biashara wa mtandao wa bahari, ni hatari sana kiusalama maana yeye ndio mtendaji mkuu wa nchi...
  3. L

    Elections 2015 Mgombea Urais CCM 2015: Ni Bernard Membe au January Makamba

    Pamoja na maelezo marefu bado hukuwa sahii kumtaja Januari kama mtu anaye weza kuwa mgombea urais, kwa Membe, na Lissu you are very right. Au unataka tuendelee kusikia tanzania imetokana na Zimbambwe?
  4. L

    Na hili nalo Nape atiririke...

    Waliojiuzuru sio tu maafisa kama watendaji wa kawaida ni maafisa wa CIA watu ambao wameshiriki kwa kiwango kukubwa kuilinda Marekani wakati wote Obama akiwa katika kampeni.wamejiuzulu na vitu too personal sio wizi wa mafuta wa Gas.demokrasia si kiu cha mzaha, maana ndani yake kuna kitu kinaitwa...
  5. L

    Revealed: Mulugo Waziri Mdogo wa Elimu "KIHIYO"

    Kama kuna kitu wana harakati na watanzania wote tunatakiwa kushikamana ni katika suala hili kuchezea elimu, maana sasa its too much, maana imeanzishwa stail ya ku shade kiasi kwamba sasa hakuna mitihani ya kuandika wala kochora.Huyu bwana kuna siku alikuwa anatoa taarifa ya mtihani wa darasa la...
  6. L

    Walimu watoboa mahusiano ya mwenzao, rpc barlow

    Sasa kazi wanayo ya kuchunguza la mwangosi bado linasumbua. la Mbagala limeenza na hili lina hitaji uchunguzi. Ila kwa nini hakuna anayesema kwa nini alitumia gari binafsi na ni usiku wakati yupo titled kutumia dereva.
  7. L

    Sheik Ponda ni janga lingine la kitaifa

    Huyu mzee lazima awekwe chini ya ulinzi mkali sana maana ametusumbua sana kwenye sensa kiasi kwamba taarifa ya sensa inatiliwa mashaka, sasa analianzisha la udini na ndio hawa wanaisema CHADEMA ni chama cha kikristo.ya Huyu kova angefanya mambo yetu kama yale ya kule Mbeya wakati ule. Huyu...
  8. L

    Operesheni sangara party 2 kuanza wiki ijayo.

    Kama wataweza nguvu ya kutosha ipigwe Dodoma na Moro ni aibu kwa chama kama CDM kukosa muwakilishi kwa mikoa hiyo miwili mikubwa na hasa ukizingatia sasa imekuwa mikoa yenye taasisi za elimu ya juu nyingi.Singida nguvu zote zipelekwe kwa yule bwana mdogo Nchema anatakiwa aone jua likitokea...
  9. L

    Tangazo - m4c iramba mangaribi - august 2012

    Timu hii ni nzuri sana na nina hakika ikifanyika kwa umakini huyu mtu atazimia haraka sana na naomba hapa kiwe kituo chetu cha kudumu cha kuanzia kila aina ya kampeni, tukitoka hapa tunaenda kwa mwenzake Cpt Mstaafu John Komba. Huyu nae anatakiwa kufanyiwa kazi kubwa halafu tumalizi e kwa...
  10. L

    Picha za MNYIKA akitolewa nje ya Viwanja vya Bunge

    Wakati wote binadamu au hata kiumbe hai lazima atakuwa na sifa zinazomtofautisha na wengine ili kumfanya aeleweke na hii si kwa yeye tu mkuu wa nchi hata viongozi wengine Duniani wametamburika kwa sifa zao binafsi kama ukatikili, jasiri, ubishi, dhaifu na nk. Ukipewa mtihani harakahara ubainishe...
  11. L

    Picha za MNYIKA akitolewa nje ya Viwanja vya Bunge

    wkato wote binadamu ah hata kiumbe hai lazima atakuwa na sifa zinazomtofautishana wengine ili kumfanya aeleweke na hii si kwa yeye tu mkuu hata viongozi wengine Duniani wametamburika kwa sifa zao binafsi kama ukatikili, jasiri, ubishsi, dhaifu na nk. Ukipewa mtihani harakahara ubaineshe sifa za...
  12. L

    BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    Tatizo la waisilamu ni kupenda kuishi kwa hisia badala ya facts. Katika ya jamhuri inasema serikali haina dini tafsiri yake ni kwamba hakuna jambo hata moja litakoshughulikiwa kw amisingi ya kidini na ndio maana hata ukienda hospitali hawaulizi dizi zetu, na ikumbukwe sensa ni kwa ajili ya...
  13. L

    Aibu kwa CCM...

    Ukiwa makini utajua kabisa Nape ni zaidi ya CDM kwa CCM, maana yeye ndio alijifanya anajua staili ya Kujivua gamba sasa gamba alivuki anahoji kwa nini kesi za Ufisadi zinachukua muda mrefu kulizo za uchaguzi. Anazungumza maneno haya makambako kwenye kikao cha wananchi huku akujua mafisadi wote...
  14. L

    CCM Kama noma iwe noma, AIBU IEPUKWE Mtwara!

    Njia pekee ya CCM kujiokoa ni ktangaza kushindwa na kuwaachia CDM kuingia ikulu mapema ili na wao wapate muda kutafakari unajua CDM imekuwa nzuri kwa sababu ilipata muda mrefu wa kutafakari. Vinginevyo itapoteza rasilimali zake na mwishowe watahama na nchi na ndio sababu wananjiandaa kupeleka...
  15. L

    STUKA!!; Hii tu ndio janja ya CCM!

    Yaani tangu tarehe 5 mwezi 2 mwaka 1977 bado wanatangaza Chama kwa khanga na T shirt? Hatari sana mpaka waje wafike kujitangaza kwa sera na amendeleo Mlima Kilimanjaro utakuwa umefika Dodoma unarudi kwao.
  16. L

    CCM watueleze, kwanini wanang'ang'ania muungano?

    CCm lazima waunganganie muungano maana bila muungano ccm nayo haipo na ikitokea hivyo italazimu kiundwe chama kipya ambacho kwa muda huo itakuwa too late kwao kupambana na CDM.Ila kwa hali ilivyo sasa ni heri wakauvunja ili kuruhusu watu kujifunza toafauti ya kuishi bila muungano.CCM kama wako...
  17. L

    Selasini akanusha uzushi uliosambazwa

    Mkuu pole sana si unajua wapo wengi wanayotumia hii kitu, wasamehe wakati huu wa majonzi watakutia simanzi kama utawajali watakuongea maumifu.
  18. L

    Anguko la CHADEMA sasa ni dhahiri

    Watu kama hawa wakileta insu ni vyema kuipotezea maana kuijadili ni kama kuwapa njia ya kuijua chadema.
  19. L

    Anguko la January Makamba

    Ni kosa kubwa sana tena ni zarau ya hali ya juu kumlinganisha Januari na Zitoo na mbaya kama atahusishwa na nafasi ya juu ya uongozi aidha wa kichama au hata Kiserikali.Historia yake ya shule na mifumo ya utendaji kazi wake haioneshi kama anaweza kuwa hata katibu tarafa.Ajabu amekuwa mwenyekiti...
  20. L

    viongozi wakuu wa serikari kuwa na wenza.

    Japo haitajwi kikatiba hivi nikweli kuwa na viongozi wakubwa kama speaker bila mwenza?
Back
Top Bottom