Search results

  1. M

    Mwenye uzoefu na maswala ya cheque, anisaidie hapa!!

    Anayemlipa Mtu cheque anampa muhusika chequr yake anapeleka mwenyewe bank...otherwise kama ni tranfers sawa..inachukua masaa kadhaa kusoma kwenye account yako.
  2. M

    Hivi sauti ya mwanaume nayo ni kigezo cha kupendwa na mwanamke?

    Hahaaaaaaaa..inaraha yake bana.mbona nyie wanaume mnapagawa na sauti za wanawake..same thing applies
  3. M

    Mkoa gani ni mzuri kuishi?

    Kilimanjaro;pande za upareni! Ukila dona lako na picha ya samaki siku inaenda.
  4. M

    Politician confession

    Hasara za kuchelewa hizo
  5. M

    Msaada: Nakosa Usingizi.

    Ooh,pole sana!for how long have you been in that situation?it might be a serious issue..u mean husinzii mchana even after staying like a watchman all the night long?
  6. M

    Msaada: Nakosa Usingizi.

    The good thing ni kwamba unajitambua.it is obvious kwamba kazi ndio inakupa stress,umeadmit kwamba you have plans and things to accomplish in an exraodinary way..hapa nimenote kwamba unataka kutowaangusha hao wanaokutazama,gud!but find a better way of making division of labour if possible and...
  7. M

    Msaada: Nakosa Usingizi.

    Chunguza style yako ya maisha.Una hofu,unaumwa,kazi nyingi?wakati upo macho unawaza nini?ni vizuri pia ukamuona daktari.Usingizi ni muhimu sana.
  8. M

    Breaking news@ Umeme upo kwenu

    Bahari beach giza!ndugu yangu yupo knyama amegraduate leo bcom yupo gizani,cake italiwaje?
  9. M

    Polio Vaccines hamna nchi nzima?

    Ni kweli hata mimi jana nilikosa matone ya polio,mwanangu ana mwezi sasa.Nimeambiwa hakuna tz nzima eti..inashangaza!
  10. M

    Nimechanganyikiwa!!!wadau naomba mnisaidie...

    Angalia kama ni binti wa type yako.kama siyo achananae,kama ndio funguka bro akujibu ndio au hapana..kama kweli anakupenda atakujibu.Ukweli ni kwamba wanawake wanatabia ya kuweka mapozi hasa anapohisii jambo unalotaka kumweleza.So usikate tamaa,piga simu unapoomba date sio kutuma text.
  11. M

    After -sex-Mistakes

    Duh..nimekupata,inakera kweli.. La nyongeza. *Kuzungumzia mambo ambayo ni nje na tendo.e.g kazi au kukimbilia simu ya mkononi na kuiwasha ili atakaepiga kwa muda huo asikukose..ni vizuri kupozi kwa dakika kadhaa
  12. M

    Ndani ya denda kuna ujumbe mzito? (Don't talk just kiss!)

    blowjob na pussy licking....mmh ndo nini?
  13. M

    ''Kama unataka kuendelea na mimi,bac twende tukapime HIV kwanza''

    Amalize mitihani halafu akapime,kupima muhimu.kama kweli anampenda akapime asije muambukiza binti.
  14. M

    SITASAHAU, true story!

    Duuh..noma
  15. M

    Kufumaniwa na Baba mkwe! ushauri

    Duh..hii kali,za mwizi ni arobaini..aombe msamaha kwa baba na atubu kweli kutoka moyoni kwa Mungu wake na Abadili mienendo yake..
  16. M

    Jaji atupilia mbali madai ya wadai wa Mkosamali

    Ni mbuge wa kibondo
  17. M

    Uaminifu ndani ya ndoa

    Yani inauma........hakuna la zaidi mtu analopata kwa kuvunja uaminifu,starehe zote ni za muda mfupi..na mambo yanarudi tena kule kule,cha msingi ni kuwa muwazi kwa mwenza wako kwa mapungufu yanapojitokeza pamoja na msaada wa maombi kwa nguvu ya Mungu naamini mambo yataenda sawa. Dunia ya sasa...
  18. M

    Unywaji wa pombe

    Mmh.bora uache kabisa,pata juice fresh au maji utaboresha afya yako
Back
Top Bottom