Search results

  1. kiLimIlire

    Nikiongea na wanawake, naambiwa mimi ni mkali sana nisaidieni

    inawezekana upo serious sana na maisha, hivyo unajikuta mara nyingi hupendi upuuzi au mambo yasiyokuwa na faida katika maisha... hivyo ukiwa karibu na wanawake au mwanamnke unayevutiwa naye, akili inakuwa inamchambua kama ni mtu makini ama la, hivyo wao (yeye) wanakuona you are not romantic...
  2. kiLimIlire

    Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    kwa hiyo wewe umeona 'of help' ndiyo sahihi zaidi!? ...hujui kitu na hujui kuwa hujui... huna tofauti na mstaafu kwenye hii stori
  3. kiLimIlire

    Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    Mkuu Apostoo umeamza kuchelewesha portion kumbe upo na Mzee KY anakuvuruga akili, mwambie akukatie kiasi cha maana utambae... achana na jiji, kisha rudi kwa mganga akugange dhidi ya mstaafu! vinginevyo utawaangaisha wazazi wako kwa mara nyingine...
  4. kiLimIlire

    Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    tukumbushe ratiba, wengi hatusomi comments kabisa, ni mwendo part to part
  5. kiLimIlire

    Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    nimeifuatilia hii stori mwanzo mwisho... hongera sana mkuu
  6. kiLimIlire

    Wakuu ni kazi gani naweza fanya kwa Smart Phone yangu

    wewe ndiyo una tatizo! maana ye kaomba kupewa mawazo yanayoweza kumnufaisha kutokana na simu yake... badala ya kumshirikisha fikra jengefu unaishia kumfanya ajione boya! Sasa wewe usiye boya ndo umweleweshe kwa namna iliyo bora ili aone tofauti yake na wewe! vinginevyo wewe haswaa ndiyo hufai...
  7. kiLimIlire

    Wanawake ndiyo wanaongoza kuwasema vibaya wanaume mbele ya watoto

    Pole utazoea, kuepekana na hayo jiepushe na marumbano na mkeo/mpenzi... ni sawa na kufungulia sub-woofer kisha ukalalamia sauti kubwa. Kila mara ignore, ukiona dalili za kujibizana mpuuze... huo ndo uimara wa mwanaume.
  8. kiLimIlire

    Mwigulu na CAG nani amedanganya umma suala la malipo ya Bilioni 350 kwa Symbion?

    hivi Mwigulu alimjibuje spika kuhusu trab na trat...! kwamba ni nini vile?
  9. kiLimIlire

    Kuna Kila dalili tukapata coalition ya CCM na CHADEMA kabla 2025 huku bara

    swali lako haliko wazi ila na kuhusu people's power ni kweli ni falsafa nzuri ikiwa na watu sahihi wa kuisimamia. Viongozi wa CHADEMA (wale waliokuwa wakiibua kashfa ufisadi dhidi wa serikali kiasi cha kusababisha kujiuzulu kwa waziri mkuu) hatunao tena kiuhalisia. Wamebaki watu tu waliokatishwa...
  10. kiLimIlire

    Matuta ya barabarani yanavyoweza kutumika kuzalisha umeme kuwasha traffic lights usiku

    matusi na kejeri vinakufanya uwe bota kuliko huyo uliyemkosoa. fanya kkuboresha alipoishia yeye ili uwe bora kuliko yeye
  11. kiLimIlire

    Kuna Kila dalili tukapata coalition ya CCM na CHADEMA kabla 2025 huku bara

    nadhani hujamuelewa, kile anachokiwasilisha hapa ndicho pia ninachokiwaza. CHADEMA ya sasa sio tena ile iliyowafanya wananchi wengi kuipenda na kuiamini kuwa ilikuwa mbadala wa CCM katika kushika mamlaka ya kuiongoza nchi yetu. Hii ya sasa ipo kujipoza na machungu waliyoyapata kutoka katika...
  12. kiLimIlire

    Kutoka kwa wadau waliyopo Qatar

    Hapa bongo mambo mengi ni trab na trat... yaani yaani yaaani yyaaa yyyya yan trab na trat. Linchi la ajabu sana hili lenye viongozi wasio na maono
  13. kiLimIlire

    Jicho la tatu: Kombe la Dunia Qatar litautangaza zaidi ushoga kuliko kuupunguza

    Mbona wewe unautangaza kwa kuuandikia post, ni mwendelezo wa kile unachokiwaza tu. Mbona tunaishi na visu ndani na hatujichomi wala kujikata. Anayechagua kufir₩a ni hiari yake wala si kwamba ukijua kuna ushoga lazima ufir₩e, chagua kuwa kile unachotaka kuwa. Ukiona kisu cha jikoni kinafaa kwa...
  14. kiLimIlire

    MSAADA: Nimepata mgonjwa wa ajabu nyumbani

    Utajua kama grand malt zimemsaidia siku ukiacha kumnunulia hizo grand. Tiba ya kwanza ianze na dhamira yake binafsi kuacha pombe. Waweza pia mshirikisha mpango wa maana ambao utamchukulia pesa zake (labda pesa zake hazina matumizi mazito, hivyo zipo huru kufanywewa pombe) kiasi kwamba atazionea...
  15. kiLimIlire

    Sensa kwenye jicho la kimahusiano

    Masista 5%, wasagaji 3%, wanawake gerezani 2%, wanawake walemavu wa akili 2% toa wagumba 1% wanawake halisi 31%[emoji38][emoji38][emoji38]
  16. kiLimIlire

    Wanaume (baadhi) wa Tanzania kufurahia Sensa, Low IQ!

    Kuchelewa kufa hakumaanishi hufi, wala hakuoneshi kuwa wewe uliyechelewa ni mjanja kuliko aliyekutangulia. Vinginevyo tambua kuwa moja ya sababu ya vifo vya wanaume ni wanawake wenyewe. Wingi wa wanawake ni asili tu (nature). Fikiria tangu kutungwa kwa mimba, uwezekano wa kupatikana kwa mtoto...
  17. kiLimIlire

    Kaseja mchambuzi Clouds FM

    Ataweza tu kwa kuwa bongo hakuna wachambuzi mahiri, karibia wote wanaelemea simba au yanga... kwa maana nyingine hakuna mtanzania asiyeweza kuchambua soka... kibongobongo kuchambua soka ni kama kuchambua mchele. Hakuna weledi hata chembe.
Back
Top Bottom