THIS IS A VALID STATEMENT.MPAKA MTU AJE KUOA..NI MAROHO MANGAPI AMEBEBA,TENA KWA WATU TOFAUTI TOFAUTI,WA TABIA TOFAUTI TOFAUTI..NDIO MAANA KWENYE NDOA,AU UCHUMBA WATU WANAKUWA HAWAELEWANI,KILA SIKU MAKWAZO,WHY?EITHER BETWEEN YOU COUPLES,KUNA MMOJA WENU AMEBEBA MAROHO YA WANAWAKE WENGINE,SO AKIJA...
Ndo ilivyo na kwa wengine mkuu,hayajakukuta peke yako.ananipenda,but moyo wangu upo pengine kabisa.sasa madhara ya kwa huyu nkimwambia simpendi c atajiskia vibaya?.i have no option.am going to do it now.
Yeh,nahisi alikuwa mgeni kwa mambo hayo,hapo kwenye mimba ndo usiseme,lazima akukamatishe tu,ili utoe malezi na uoe..mwingine hata kutumia kinga hataki..na Gemu utapewa kila muda unaoutaka.c anajua ndo atakapo kamatika mtu.Kumbe kuna wajanja.
Ni Gf wa kaka yangu,juzi juzi kaka yangu kamkuta na hirizi kiunoni mwake..kumuuliza kwa nini anafanya yote yale,jibu alilompa ni kwamba anajiona c mzuri cna kama wanawake wa rafik wa kaka yangu,hivyo kuvaa hirizi ni kawaida kwake kabla hawajaenda kwa gesti.Sasa juzi akajisahau kuivulia nyumban...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.