December 25 2021 NASA kwa kushirikiana na shirika la anga la Canada na Ulaya wamerushe Telescope yenye thamani ya $10 Million yenye Tekinolojia ya hali ya juu sana kwenda kumulika anga za mbali na kutupa data za anga za Mbali kuona matukia ya Miaka 13 Billion iliyo pita.
Ina onesha kama upuuzi...
Nakumbuka nilimtembelea ndugu yangu fulani, Tumekaa sebuleni mtoto kaenda kuleta TV kutoka chumbani kwa wazazi ( kumbuka vile vimeza vya matairi). Kumbe kwenye deki kuna mkanda bwana dogo si ka PLAY kujua ni mkanda gani aurudishe kwenye kasha lake :eek::eek::eek::eek:
vita baridi vilihamia mwezini Miaka ya 1950 ambapa Urusi na marekani walikua wanashindania kufika mwezini. marekani walionesha live kukanyaga ardhi ya mwezini mwaka 1969. Weak leaks wamedukua video inayo onesha kua tukio lile lilikua feki!!!
SIKU KAMA YA LEO MIAKA 31 ILIYOPITA MAREKANI ILIANGUSHA NDEGE YA ABIRIA YA IRAN IKIWA NA ZAIDI YA ABIRIA 200 KWA KILE WALICHO KIITA KUWA WALIDHANI NI NDEGE YA ADUI ILIYO TAKA KUWASHAMBULIA . HABARI ZA MZOZO KATI YA MAREKANI NA IRAN ZILIANZA ZAMANI SANA...
kulaumu si kanakwambamba wapo desparate kwenda MAREKANI! Ni sawa na sisi huku kulaumu serikali za nchi za Kiarabu kunyanyasa wafanyakazi wa ndani HAINA MAANA KWAMBA TUNATAKA KWENDA ARABUNI!
Terrorism nineno mtambuka siku hizi. Hezbollah and Hamas are freedom fighters just like ANC of South Africa was terorist organisation during apartheid. While Hezbollah are fighting along side Russia in Syria, ALQAEDA are fighting along US and Turkey. Meanwhile Kurds supported by US are fighting...
i think if Iran woudl be that weak, americk would have striked long age. Hate tukio lajuzi la malei kushambuliwa na Drone kuangushwa, Tayari wangesha furumusha Ma Tomhawk. Hebu angalia kule Syria, propaganda za chemical attack, jamaa hawajasubiri hata kukuche !!!
Media za magharibi zinauleble utalwala wa iran kama wa kishenzi na hawa"behave" kama taifa la kawaida.
Imefika hatua Marekani imeweka jeshi la iran (IRGC) kuwa kundi la Kigaidi pamoja na vikwazo ambovyo hakuna nchi yoyote ulimwenguni iliwahi wekewa vikwazo vya levo hiyo (yaani Iran is...
Hapa naona mihemko y a kishabiki tu ! Point ni kwamba wamarikani wamedai wameshambulia mfumo wa komputer wa kujihami wa Anga wa Iran na Iran wamesema wamefanikiwa kuzuia !
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.