Search results

  1. idete

    Kazi za kuandikisha wapiga kura

    naomba kupata list ya mikoa inayofwata kwa kipindi hichi cha mwezi 6,7,8
  2. idete

    Nauza Toyota Progress Mil 6 Tu

    sasa ipi afadhari kati ya bravic na progress?
  3. idete

    Nauza Toyota Progress Mil 6 Tu

    inakunywa mafuta kushinda Prado,gruger,rav4,forester? kama unapenda gari yenye nguvu basi usiwe muoga wa kuweka mafuta. kweli mafuta inamimina lakini inakimbia pia.
  4. idete

    Mabomu ya machozi Songea

    sio usajiri wa namba mpya?
  5. idete

    Hivi huu mchezo bado upo?

    ukuti ukuti!
  6. idete

    Usiombe kuwekwa chini ya ulinzi wa haka Ka dude

    siwapendi wale jamaa triangle zao. mjeda kawaweza.
  7. idete

    Ndugu zangu nifahamisheni nimuwokee nani?

    nitaokoa anayewezekana kwa muda huo
  8. idete

    TPDC Kumekucha - Call for Interview

    majanga.kazi inataka mtu 1 walioitwa mia 2 na .......
  9. idete

    Rais alisoma hotuba kwa kutumia kifaa kiitwacho TELEPROMPTER

    mbona sio mara ya kwanza kutumia ppt kwenye speech zake.
  10. idete

    Picha ya leo

    hapa inatakiwa unamaliza dashboard ya gari mpk unakopa
  11. idete

    msaada wenu jinsi ya kutumia HUAWEI ASCEND Y300 kama modem

    connect usb cable kwenye simu na kwenye pc yako,arafu fungua form ya setting kwenye simu -wireless&netwrk-more-tethering&hopspot-utakuta kibox cha USB tethering kipo active bali hakina tiki,weka tiki pale.utakuwa umefanya simu yako kama modem
  12. idete

    Website gani nzuri kwa kudownload series

    EZTV ndio baba lao:
  13. idete

    Toyota rav 4 mpya inauzwa

    bei ya prado=rav4:-$
  14. idete

    gari aina ya alteza....

    hata mimi nilipenda achukue subaru sababu gharama ya manunuzi zinakalibiana.subaru ipo vizuri japo spea zipo juu ila ukifunga inakaaa.ila kama altezaa basi busha na ball joint kwa wingi.
  15. idete

    Uwizi mwingine wa tigo

    wapi tcra, eti wizara inasema haki na vigezo vimezingatiwa. wizi mtupu
  16. idete

    Download free JF application for Android

    kitu hichi update yake ipo poa ***** nimekipa 5 star.good programmer
  17. idete

    Kupaa kwa ethiopia airlines (boeing 767) toka arusha airport

    nimependa sana hii movie. pilot ameonyesha ujuzi wake.
Back
Top Bottom