Search results

  1. B

    Najiuliza saana!! why she Introduce me as brother to her?

    Kama mapenz yalishakisha kaka kinachobaki ni nn? Kuwa bro wake tu
  2. B

    Tablet ya ZTE inauzwa

    du nilikua naitafuta kaka,nina 550,000/= utanipa?
  3. B

    Ukitaka mchumba mzuri/mwanana......

    Popote pale kwa kweli
  4. B

    Nashindwa kuchagua....!

    Mpira kitu gan ww, kweli unampenda au unadanganya? Kama kweli unampenda hata usingejua kama kuna mpira. Angalia marudio kaka.
  5. B

    Nyumba na vyumba vinapangishwa maeneo ya mwenge karibu na mlimani city

    habari JF, Kuna nyumba kubwa na ndogo zinapangishwa karibu na mlimani city. nyumba kubwa ina vyumba vitatu, sehemu ya kulia chakula,sehemu ya jiko, public toilet. katika vyumba hivyo vitatu kimoja wapo ni master bed room. ina tiles ila haina uzio ni dakika tatu kufika mlimani city. kodi ni...
  6. B

    Nyumba na vyumba vinapangishwa maeneo ya mwenge karibu na mlimani city

    habari JF, Kuna nyumba kubwa na ndogo zinapangishwa karibu na mlimani city. nyumba kubwa ina vyumba vitatu, sehemu ya kulia chakula, jiko, public toilet. katika vyumba hivyo vitatu kimoja wapo ni master bed room. ina tiles ila haina uzio ni dakika tatu kufika mlimani city. kodi ni shilingi...
  7. B

    Hii stori inasikitisha na kuchekesha hapo hapo

    Ni vyema huyo mtu apimwe akili yake kama iko sawa....
  8. B

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Kanumba anakubalika jaman,na pia ana damu ya watu..R.I.P kaka.
  9. B

    Lulu: Sina bwana mchumba wala boyfriend

    Du lulu pole mtoto,unaweza kuta hata yeye hakutegemea hilo litokee..
  10. B

    Gossip: Lulu

    Huyu mtoto ana balaa,sheria itachukua mkondo wake ili iwe fundisho kwa wengine.
  11. B

    Polen kwa msiba

    Habar wana JF,polen na msiba wa jembe wetu Kanumba Mungu amweke pema.amein,ninayo furaha kujitambulisha kwenu kama mwana jf hivyo naomba ushirikiano wenu,heri ya Pasaka kwenu wote.
Back
Top Bottom