Search results

  1. M

    Jokers -exim bank 15 yrs,just two atm machines in tanga and neither of them are working.

    Sijui wana matatizo gani hawa? Atm machines zote mbili hazifanyi kazi.najuzi tu wamesheherekea 15 yrs in banking industry. Moja ipo kwenye branch yao, na nyingine ipo kange -industrial area for factory workers, nawashauri waongeze atm machines accross tanga city center in order to keep up pace...
  2. M

    Sensa: Hotuba ya Rais Kikwete, yatokanayo

    It was worthy listening President JK Delivering one of his greatest speechs."I listened to what I exactly wanted to listen". The President was very sensitive on the issue, very explainative,the speech was very balanced,never threw blame to either sides.The body languange was absolutely...
  3. M

    Kutoka Bungeni: Wabunge wapinga ongezeko la kodi ya uchakavu wa magari

    Ubora wagari haupimwi kwa mileage.Gari yaweza kuwa imeclock 200,000 mileage lakini engine ikawa bado iko safi kuliko hata gari iliyotembea mileage 70,000. Kingine ni kwamba TRA watapoteza sana kutoza kodi kwa kutumia kigezo cha mileage,kwani mileage zote manual au digital zote zinachakachulika...
  4. M

    Wapi tapata mkopo??

    Naomba list ya hizo FI ni check kama ta afford hizo interest. Kiwango cha mkopo kinachohitajika ni 6.5m. Asante.
  5. M

    Wapi tapata mkopo??

    Nimeajiriwa,take home yangu ni above 800,000.Mwajiri wangu hatoi barua ya mkopo na ameingia katika makubaliano maalum na Bank moja hapa nchini mishahara yote hulipwa kwa kutumia hiyo bank tu,hakubali kulipa .mshahara kwa kutumia Bank nyingine yeyote zaidi ya hiyo bank.Payslips na bank statement...
  6. M

    Msaada!!!

    MIMI NI AGENT WA KUSAMBAZA PAMPERS HAPA BUKOBA MJINI. GARI LANGU LA USAMBAZAJI LIMEHARIBIKA,NAULIZA km KUNA NJIA YEYOTE NAWEZA KUITUMIA KUSAMBAZA PRODUCTS ZANGU BILA YA KUTUMIA GARI??? Natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom